Ama kweli mzazi wako alo kulea kala hasra
Ama kweli mwalimu walo kufundsha kala......
Mama mtaka umoja kala hasara uyoooo......
Wamekugeuza kisinia.........
Wamekugeuza gunia......
Kuweka kila aina ya taka
Chanda chema/zumbukuku/kala hasara
by ally star
Siukumbuki vizuri kumbe wapo nilijua ni nyimbo tu
Wewe si wakutania wengi wanapongezana, wanavyokugombania kama mpira wa kona
Umegeuka gunia kubeba kila aina,
Ama kweli mlezi wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mzito wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mwalimu wako alokufundisha Kala hasara,
Ama kweli na mume wako atokuoa Kala hasara,
Mdogo wakimo una mambo wewe, una mambo,
Nimeshaamini Chochote kizur hakikosi kasoro,
Mama mkatae umoja Kala hasara huyo.
Kitega uchumi kumbe naweweseka humo,
Japo hauvumi kumbe nawe humo,
Uko mitaani umepewa Jina waitwa mama huruma wee,
Sikutegemea Wala sikudhani kwamba una mambo,
Wala ufanani wavyako vitendo una mambo wewe.
Kila uonacho wakitolea macho wataka kukichukua,
Japo siochako wakitolea macho wataka kukichukua,
Mekusaidia kidogo menikumbushaa mbaliiiii
π