Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooooo!!!Asipotangaza atapotea yeye ni celebrity
Mkuu hii ngoma ngoja nikaisake youtube kitambo sana.Ama kweli mzazi wako alo kulea kala hasra
Ama kweli mwalimu walo kufundsha kala......
Mama mtaka umoja kala hasara uyoooo......
Wamekugeuza kisinia.........
Wamekugeuza gunia......
Kuweka kila aina ya taka
Chanda chema/zumbukuku/kala hasara
by ally star
Siukumbuki vizuri kumbe wapo nilijua ni nyimbo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!sasa hivi kuna wachaga wa kichina ndio wanahuo upuuzi.Hivi wachaga siku hz wamekua malaya ee
Mi mwenyewe nipo kwenye foleni nasubiri zamu yangu[emoji16] [emoji16]tatizo la huyu ni bandika bandua.....saa ngapi atapata muda wa kuchunguza kama anaingia kwenye mikono salama au la!!! leo akiachana na 'kitoto' hiki kesho ana kingine
Mi mwnyw huyu mbongo movie kanifanya niikumbuke mkuuMkuu hii ngoma ngoja nikaisake youtube kitambo sana.
Ama kweli mzazi wako alo kulea kala hasra
Ama kweli mwalimu walo kufundsha kala......
Mama mtaka umoja kala hasara uyoooo......
Wamekugeuza kisinia.........
Wamekugeuza gunia......
Kuweka kila aina ya taka
Chanda chema/zumbukuku/kala hasara
by ally star
Siukumbuki vizuri kumbe wapo nilijua ni nyimbo tu
amtafutie wapi huyo mtu mzima maana wote wameshtuka na hali ilivyo wamerudi kwa wake zao. Hawa wasanii wamechezea sana ujana wao ndio maana sasa hivi wanaokotwa na kila anayewajaribu.Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzik ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataakin kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi nyambafu zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwemye nayo anaiambia HAPA KAZI TU