Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

Ama kweli mzazi wako alo kulea kala hasra
Ama kweli mwalimu walo kufundsha kala......
Mama mtaka umoja kala hasara uyoooo......

Wamekugeuza kisinia.........
Wamekugeuza gunia......
Kuweka kila aina ya taka

Chanda chema/zumbukuku/kala hasara
by ally star
Siukumbuki vizuri kumbe wapo nilijua ni nyimbo tu
 
Ndo mana tunaambiwa usishindane na mwanaume hata siku moja.......tumeumbwa na mbavu zao ujue
Amehands up sa hv ni marafiki na harmo had kwny birthday ya dai walikua wanacheka ote.naakiangalia vibaya ataliwa kiwiziwizi nna harmony
 
Ama kweli mzazi wako alo kulea kala hasra
Ama kweli mwalimu walo kufundsha kala......
Mama mtaka umoja kala hasara uyoooo......

Wamekugeuza kisinia.........
Wamekugeuza gunia......
Kuweka kila aina ya taka

Chanda chema/zumbukuku/kala hasara
by ally star
Siukumbuki vizuri kumbe wapo nilijua ni nyimbo tu
Mkuu hii ngoma ngoja nikaisake youtube kitambo sana.
 
tatizo la huyu ni bandika bandua.....saa ngapi atapata muda wa kuchunguza kama anaingia kwenye mikono salama au la!!! leo akiachana na 'kitoto' hiki kesho ana kingine
Mi mwenyewe nipo kwenye foleni nasubiri zamu yangu[emoji16] [emoji16]
 
Ama kweli mzazi wako alo kulea kala hasra
Ama kweli mwalimu walo kufundsha kala......
Mama mtaka umoja kala hasara uyoooo......

Wamekugeuza kisinia.........
Wamekugeuza gunia......
Kuweka kila aina ya taka

Chanda chema/zumbukuku/kala hasara
by ally star
Siukumbuki vizuri kumbe wapo nilijua ni nyimbo tu


Wewe si wakutania wengi wanapongezana, wanavyokugombania kama mpira wa kona
Umegeuka gunia kubeba kila aina,
Ama kweli mlezi wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mzito wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mwalimu wako alokufundisha Kala hasara,
Ama kweli na mume wako atokuoa Kala hasara,

Mdogo wakimo una mambo wewe, una mambo,
Nimeshaamini Chochote kizur hakikosi kasoro,
Mama mkatae umoja Kala hasara huyo.

Kitega uchumi kumbe naweweseka humo,
Japo hauvumi kumbe nawe humo,
Uko mitaani umepewa Jina waitwa mama huruma wee,
Sikutegemea Wala sikudhani kwamba una mambo,
Wala ufanani wavyako vitendo una mambo wewe.

Kila uonacho wakitolea macho wataka kukichukua,
Japo siochako wakitolea macho wataka kukichukua,

Mekusaidia kidogo menikumbushaa mbaliiiii😛
 
Hahahaaaaa umejua kunikosha nafsi........huu mwimbo si unafaa lakin km dedication ama mekosea
 
Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzik ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataakin kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi nyambafu zake
amtafutie wapi huyo mtu mzima maana wote wameshtuka na hali ilivyo wamerudi kwa wake zao. Hawa wasanii wamechezea sana ujana wao ndio maana sasa hivi wanaokotwa na kila anayewajaribu.
 
Back
Top Bottom