Wolper na Mkongo wa US$

" Jamani wambea wenzangu, ninsikia habari ya mjini"

mod tunaomba waongezee jukwaa
 
kwahiyo harmonize analelewa??
Ilikuwa panadol tu ile, wenye pesa wamechukua kifaa. Tena ninasikia generali ana mke na bidada ameambiwa ajiheshimu kwa jambo hilo first wife is very much a wife na mchepuko ni mchepuko tu.
 
Ilikuwa panadol tu ile, wenye pesa wamechukua kifaa. Tena ninasikia generali ana mke na bidada ameambiwa ajiheshimu kwa jambo hilo first wife is very much a wife na mchepuko ni mchepuko tu.
maskini hamonize,ngoja nisubiri anaeza akatunga wimbo mkali kwa kupigwa kibuti
 
Nae ana nyota ya Kinshasa! Si alisema mkongo alimfilisi kamwacha matako wazi yaan hana nyumba wala gari analala hotelini! Mpaka Harmonize alipompa hifadhi kama umoja wa mataifa unavyohifadhi wakimbizi! Au ni mwingine mcongo?
 
Ngoja nijifunze umbea
Mbona nasikia eti aliugua kwakuwa bepari upara kawa mkalia kiti cha chama?
Namimi nilisikia hivyo ingawa haikuniingia akilini kabisa yaaan kisa ngosha na mkwele?
 
[
Halelewi yeye ndio alimpa hifadhi dadayako! alikuwa anaishi gest sijui lodge au hotel hana kodi wala gari! Labda ameshapata pumzi atatega mitegovyake vzr nae
mbona jaq alikuwa na nyumba mikocheni b,jirani dolphin
 
Nae ana nyota ya Kinshasa! Si alisema mkongo alimfilisi kamwacha matako wazi yaan hana nyumba wala gari analala hotelini! Mpaka Harmonize alipompa hifadhi kama umoja wa mataifa unavyohifadhi wakimbizi! Au ni mwingine mcongo?

Huyu ni mwingine, ni mwanajeshi na kikundi chake kipo kwenye mashambulizi ya kumtoa Kabila madarakani, kwahiyo ana US$ kutoka kwa wafadhili. Harmonize nilimuona kwenye party ya aunty Ezekiel anatia hurumua, mmakonde alikuwa hajalijuwa jiji, jiji si uungwana wa kukaribisha homeless, jiji ni pesa.
 
Halelewi yeye ndio alimpa hifadhi dadayako! alikuwa anaishi gest sijui lodge au hotel hana kodi wala gari! Labda ameshapata pumzi atatega mitegovyake vzr nae

Na Harmonize alinunua na gari akijitahidi kwenda na mwendo kasi, kumbe wenye pesa wana speed ya 240km/per hour.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…