pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
" Jamani wambea wenzangu, ninsikia habari ya mjini"Jamani wambea wenzangu, ninsikia habari ya mjini ni kuwa kuna bwana Mcongo anampunga balaa, anamwaga madolali, sasa bwana alimtumika Steve Nyerere kumpata Wema. Ninavyosikia share ya Steve ilikuwa $500, akafikisha ujumbe na mambo yaliandaliwa date iwe ile siku Wema alikuwa na show akachukua ukumbi wa King Solomon. Mzee alishukua hoteli moja mjini na bidada aliambiwa aende.
Idris alinusa mchezo mchafu, kwani bidada alitaka akavalie nguo kwenye hiyo hoteli, Idriss alimwambia bibie leo tunakwenda wote, wamefika hotelini ilibidi Wema achukue chumba cha pili na danga likalipia, sasa wakati wanatoka Idriss aliona sivyo ndivyo danga likiwa linasubiri kwenye corridor Idriss alimpiga denda bibie ndio hapo negative ilipoungua, akadai "we Idriss acha uchokozi ndio nini". Danga kuona vile akamwaga manyanga na kurudi nyumbani Idriss aliona isiwe shida. Ndio sababu ya Miss Tanzania 2006 kuugua ghafla juzi.
Danga liliishia kujiopolea Wolper, nae kumbe alikuwa amejiegesha tu kwa dogo. Sasa miss anaumeia madolali yanakwenda kwa Wolper.
mod tunaomba waongezee jukwaa