Women are trouble makers

Exception cases zipo lakini kiujumla wanawake almost wote wapo ivyo, ni kama watu ambao hawapendi amani idumu kwa kipindi kirefu. Mkikaa muda mrefu bila kukwaluzana mwanamke atatafuta hata sababu ya kipumbavu tu kuanzisha malumbano.
Hiyo hata kwa wanaume ipo.
Mfano mzuri humu humu majukwaani wanaume mnaongoza kugombana na kutukanana sana.!!
 
Punguza hisia na kupenda kuabudiwa, hapo mwenye tatizo sikuwa mimi.!!
Tatizo ni la mwanaume wa kwanza ambaye alitumia hisia zaidi.!
 
😂Endelea kuamini karma yako.

Kama ingekua ni karma wazungu wasingekua hapo walipo hasa kwa walichowafanyia waafrika enzi za utumwa.

Kitu ambacho hujui ni hujui tu, karma yenyewe umekaririshwa na wazungu kama ulivokaririshwa amri kumi kukuweka gerezani kifikra😂




Anyway keep it up sio lazima wote tujue
 




Upo sahihi Ila unabidi kujua human being is spiritual creature -

Kwahiyo kuna negative inatoa matokeo pia kuna positive inatoa matokeo.


MTU anayekuwa na haya mambo Chuki, roho mbaya , n.k huyu Mimi ntadili naye kuwa nice toward him or her


Maana yake Mimi ntaendelea kupokea mambo chanya uku yeye akipata mambo negative.


So hizi njia zote kati ya kuwa negative person na kuwa positive person nimezipitia Ila ukianza kuwa positive utaona mabadiliko makubwa katika MAISHA yako.


This world is governed by spiritual warfare - so whatever you send out will comes back to you .

So being nice to people is inevitable. Mainly if ur a spiritual person.
 


Ndo uzuri wa imani mkuu unaamini kile ambacho umeamua kuamini .
 
Ishi nae lakini weka mipaka sehemu ambayo hatakiwi kusogea
 
Hiyo hata kwa wanaume ipo.
Mfano mzuri humu humu majukwaani wanaume mnaongoza kugombana na kutukanana sana.!!
Lugha isikutishe ni aina yetu tu ya mawasiliano but when it comes to brotherhood everything is fine. Kusikia marafiki wa kiume wanaitana fala ni kawaida tu tofauti na nyie mnaoitana majina mazuri mazuri lakini ndani ya mioyo mmewekeana chuki na husuda.
 
Katika kitu ambacho sikubaliani nacho ni huo upumbavu wa karma. Zinachukuliwa rejea za wachache waliokutwa na majanga by coincidence tu ila kuna wengi ambao wanafanya mabaya na wanapeta hawaangaliwi
 
Leo umeongea point.


Zamani huko yashawahi kunikuta.

Mimi kuna jamaa yangu mno rafiki wa siku nyingi, tulishirikiana kibiashara. Mtaji ukakua vizuri tu. Jamaa akapata mpenzi akaona aoe kabisa. Baada ya hapo mapichapicha yakaanza. Mwanamke alianza kuleta MANENO maneno mengi jamaa yangu wa siku nyingi mno anageuka anaaza kunituhumu mambo ya ajabu, mke wake ananituhumu wizi mara wizi, siku nyingine ananisakizia ninamtaka kimapenzi (ni mzuri mweupe na ana tako kubwa). Mimi na jamaa yangu tulikuwa na utaratibu wa kukuza mtaji tokea kwenye faida. Mwanamke wake akaanza kuwa anataka hela moja kwa moja toka kwenye biashara kwa ajili ya matumizi yake na mtoto. Pesa akipata ni kujiremba , nguo na kununua mawigi. Nikikataa kumpa hela ananizushia namtaka. Mara ananidanganya mme wake kamtuma nimpe hela. Nikimpigia jamaa yangu anasema yeye hajamtuma, halafu mwanamke ananiruka anasema hajataka hela, anaanzisha varangati. Ikabidi niwe na daftari la mahesabu mwanamke akawa anakula faida na mtaji wa upande wa jamaa wangu ambaye ni mume wake, jamaa yangu nikimuelezea anakuwa haelewi ananiona mimi mbaya, mke wake anaanzisha varangati. Siku zikaenda Nilijicontrol hasira, Siku moja uvumilivu ulinishinda, mwanamke akaanza varangati kama kawaida, nilimwasha kibao kimoja heavy tu mpaka wigi likaruka juu yeye akaanguka chini. Watu wakaja kunishikilia ikawa vurugu kweli kweli.


Jamaa yangu akaja akataka kuleta vurugu, watu wakamshikilia, mimi na rafiki yangu wa siku nyingi tukawa maadui rasmi. Mwanamke akasema nilikuwa namtaka mara aseme nilikuwa nataka kumbaka.

Jamaa yangu wa siku nyingi akanichukulia RB polisi. Nikalala ndani. Nilivyotoka tukaamua tugawane biashara. Kila mtu achukue chake. Tukaanza kupiga hesabu kumbe mwanamke amekula hela nyingi mno toka kwenye biashara. Nilitoka na 70% jamaa yangu 30%. Kila mtu akajitegemea.

Mimi mpaka leo nipo. Ila kule kwa jamaa yangu kiliumana zaidi. Mwanamke wake aliifilisi biashara ikafa kabisa halafu mwanamke ni spender anapenda lavish lifestyle nguo kali, nywele, viatu simu kali. Waliishia kugombana na jamaa wangu walishaachana na huyo mwanamke wake. Ni single mother huko. Jamaa yangu alikuja kupiga magoti kuniomba msamaha ofisini kwangu. Jamaa anasema huyo mwanamke kamfilisi na kamletea mgogoro na kila mtu kuanzia na mimi rafiki wake wa kibiashara, majirani, ndugu zake. Jamaa yangu alikuwa anazungumza machozi yanamlengalenga. Nilimboost kidogo angalau asife njaa.




Omba Mungu akuepushe na Mwanamke Mgombanishi
 
Maandiko yamesema ishi na mwanamke kwa akili...zingatia neno AKILI
Hayo maandiko yaliandikwa zamani sana, yashakua outdated kwenye dunia ya leo. Usikubali upumbavu wa ku-adapt na tabia za kijinga za mwanamke na kupambana kumbadilisha. You are not rehabilitation centre, just let her go, as an adult she is responsible for her bad behaviours.
 
Katika kitu ambacho sikubaliani nacho ni huo upumbavu wa karma. Zinachukuliwa rejea za wachache waliokutwa na majanga by coincidence tu ila kuna wengi ambao wanafanya mabaya na wanapeta hawaangaliwi
Ni nadharia wakubwa waliiweka ili ku control watu, maskini na wanyonge wengi huonewa na kunyanyaswa na kushindwa kujitetea kwa kisingizio cha kumuachia mungu na wengine kusema wanaiachia karma huku matajiri wakipeta tu na maisha mazuri.

Hii dunia ina siri nyingi ni wachache wanaoelewa
 
Kaka zako wapumbavu. Samahani kwa hilo mkuu.

Mwanamke kutoka familia nyingine anawezaje kukufanya mchukiane na ndugu yako wa damu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…