Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hiyo hata kwa wanaume ipo.Exception cases zipo lakini kiujumla wanawake almost wote wapo ivyo, ni kama watu ambao hawapendi amani idumu kwa kipindi kirefu. Mkikaa muda mrefu bila kukwaluzana mwanamke atatafuta hata sababu ya kipumbavu tu kuanzisha malumbano.
Mfano mzuri humu humu majukwaani wanaume mnaongoza kugombana na kutukanana sana.!!