Women are trouble makers

Mwenye matatizo ni wewe baada ya kumvuruga huyo jamaa ulijifunza!! Huwa mnajifunza too late
 
Wanataka attention, wakiikosa wanafanya lolote tu ilimradi uwepo wao utambulike
 
Tuendelee kuhubiri Injili ya Redpill tuwakomboe wanaume masimps.
 
Mwenye mwatatizo obvious ni yule anaye shape-wa
 
Sema ukweli, yule wa kwanza hukumpenda ndo maana hukubadilika akatumia nguvu nyingi.

Ila wa pili ulimpenda ndo maana ikawa rahisi kubadilika.
Hii huitwa hypergamy.
Haya sasa nimerudi,
Hiko hivi yule mwanaume naweza kusema ndiye “MWANAUME PEKEE” niliyewahi kumpenda kwa akili zangu toka nimefika duniani.!!
Tatizo lake kubwa “HAJIAMINI”
Yani ni mtu ambaye always ana mashaka, visirani na gubu.!!
Anahubiri vitu ambavyo yeye haviishi.!!
Sipendi kuingia sana deep ila ni mwanaume hajui anachokitaka.

Unaweza ukaongea na mtu kawaida ila yy akajipa tafsiri tofauti, amejaa malalamiko km Gen z wa Kenya.!!
Lakini upande wake ni mshenzi nikianza kuweka mitabia yake ntajaza saver.!!
 
Nimekuelewa kama Nabii wa Injili ya Redpill.
Kiufupi tuseme hukumtarajia awe vile.
 
Huwezi kuhubiri una roho nzuri halafu huwezi kusaidia wahitaji hapo unakuwa ni UNAFIKI.
Kabla ya kuhitaji mwanamke abadilike je wewe una mabadiliko??
Au una tabia ambazo ni kioo mkeo akijiangalia anaona udhaifu wake?
Mabadiliko yaanzie kwako unayetaka mwingine abadilike.!!
 
Naunga mkono hoja...ukioa tu stress ndo zinaongezeka maradufu
 
Wanawake kama wachawi, kwenye amani lazima alete Vita,.huwa Wana miss kugombana...

Ukikaa na mwanamke miezi mitatu hajaanzisha drama,bro jitafakari Kuna jambo halipo sawa...
Kwa watu mnaopendana hiyo kawaida ndio ups & down za kimapenzi.!!
Kikubwa ugomvi usiwe wa usaliti au kuumizana.!!
Kuna muda kuna kitu anahitaji thou anakiwakilisha kwa njia ya ugomvi..!!
Wanawake ukitujulia wala hutokaa utuchukie bro
 
Kila mmoja awajibike na ajirekebishe kwa matendo yake, wewe ni mtu mzima una akili timamu unajua jema na baya kwaiyo utakaopoona unakosea sehemu jirekebishe wala hauna haja ya kumuangalia mwanaume kama kioo, usitumie kauli ya kuishi nanyi kwa akili kutaka kuhalalisha misbehaves zako kwa kufikiri kwamba mwanaume ndie anatakiwa kukulekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…