Haya sasa nimerudi,
Hiko hivi yule mwanaume naweza kusema ndiye “MWANAUME PEKEE” niliyewahi kumpenda kwa akili zangu toka nimefika duniani.!!
Tatizo lake kubwa “HAJIAMINI”
Yani ni mtu ambaye always ana mashaka, visirani na gubu.!!
Anahubiri vitu ambavyo yeye haviishi.!!
Sipendi kuingia sana deep ila ni mwanaume hajui anachokitaka.
Unaweza ukaongea na mtu kawaida ila yy akajipa tafsiri tofauti, amejaa malalamiko km Gen z wa Kenya.!!
Lakini upande wake ni mshenzi nikianza kuweka mitabia yake ntajaza saver.!!