Women are trouble makers

mwanamke ni taswira ya matatizo
Hapa mama yako yupo?? Au mama yako mwanaume??
Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke
Umeendeshwa zaidi na mhemko, hasira, papara,ushamba, ulimbukeni, chuki, ujinga na upumbavu.
Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.
Tupe ushuhuda kutoka katika familia yenu. Muulize baba yako kabla ya kuoa alikuwaje na baada ya kuoa alikuwaje. Hiyo familia inapatikana vipi?? Je, wewe ni malaika?? Hukosei??
 
Pole kwa maumivu, haikua nia yangu kukulenga wewe.
 
 

Attachments

  • IMG_5257.jpeg
    54.9 KB · Views: 3
  • IMG_0591.jpeg
    279.3 KB · Views: 3
Kwaiyo kama kweli una tatizo husika haupo tayari kubadilika kwa sababu mwanaume wako hajiamini?

Weka pembeni kigezo cha confidence ya mwanaume, wewe mwenyewe hauna akili ya kutambua ninachoambiwa ni kweli natakiwa kubadilika?

Kama kigezo ni confidence ya mwanaume akitokea mwanaume ambae anajiamini akakushawishi ufanye jambo ambalo ni kinyume na moral codes zako mfano anal sex, je utakubali kwa sababu umeshawishiwa na mwanaume anaejiamini?

Kwamba confidence ya mwanaume ndio determinant factor na wewe mwenyewe hauna akili ya kujua hili jema na hili baya?

Wanawake mna akili timamu mnajua jema na baya acheni hii tabia ya kumbebesha mwanaume jukumu la ku-adapt na kuzibadilisha misbehaves zenu.
 
Mshaanza kupuuzwa hakuna mwanaume mwenye muda wa kutumia nguvu au akili kubwa kwa malaya ambae amefuata hela tu. Tunajua ego yenu ishakua kubwa, hamuwezi kukubali kuweka silaha chini na kurudi kwenye miiko ya mwanamke wa kiafrika. Harakati za kuwa-empowered zimewapumbaza kiasi cha kujivika thamani na ungangari ambao hamna.

Kwa sasa mnaweza mkajiona ni washindi kwa sababu bado kuna kundi kubwa la nice guys na simps ambao wanawafanya muendelee kuamini mwanaume hafurukuti kwenye himaya yenu lakini hii trend ya redbill inayoendelea kusambazwa mitandaoni nakuakikishia mabinti zenu watakuja kukutana na kizazi cha wanaume wasiokua na huruma hata chembe kwa mwanamke.

Stay tuned.
 
Ngoja nikwambie... Kwasababu either uko slow sana au umezaliwa juzi hivyo haujui wanawake TUMEPUUZWA toka lini, Miongo na miongo wanawake tumepuuzwa kwa kila kitu, mbona sasa tuko PAZURI? Huku kupuuzwa na kuaminishwa we belong to the bedroom and home ndio kuliwafanya seniors wetu wakakae beijing wajadili namna gani ya kumrescue huyu mwanamke kutoka kwa WAMILIKI WA ULIMWENGU.

We unazungumzia harakati? Dunia is full of harakati and agendas, na sisi wanawake tunayo yakwetu inaitwa Feminism. Na humo ndani tumeungwa mkono na wanaume ambao wametambua kuwa nao ni wamiliki wa mabinti hivyo hawana budi kutengeneza dunia salama kwaajili ya wanawake "kimfumo"

Kwahivyo, usishangae na hiyo harakati yenu tukawaunga mkono sababu hata sisi wanawake tunamiliki watoto wa kiume, Now you know how the world works....

Katika kupuuzana huku, bado watu wanapendana, wanaoana, wanaachana, wanapendana tena na kuachana tena and the circle goes ndivyo dunia ilivyo, Punguza hasira uishi na ufanye harakati zako vizuri. Dunia haisimami wala haimsubiri mtu.

Hapo nilipobold we mwenzetu mgumba?
 
Ndio maana nikaikataa kauli uliyoitumia kwamba tuishi na nyie kwa akili. Ninachotaka kusema kwamba wote muwajibike ku-apply akili zenu, shida ni kwamba mnahalalisha misbehaves zenu kwa kisingizio kwamba mwanaume ameshindwa kuku-handle
Wewe mgumu kuelewa, km unajiamiani ni kichwa kwanini mwanamke akuyumbishe?
Wanaume wengi ni waoga na hamjiamini.!!
 
Kwahiyo unatumia nguvu kuendesha husiano lako? 😹😹
Lazima kikulambe, mwanamke ukitaka asikuelewe kabisaa basi tumia nguvu.!!

Na kwanini unalazimisha mwanamke wako awe malaika lakini wewe ubaki shetani??!
Tatizo lenu wanaume aina yako β€œHamjiamini”
 
Mate huyo ndio kanishangaza eti TUMEPUUZWA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Humu JF nyuzi nyingi za malalamiko ni kuhusu wao wanaume kulaumu wanawake.!!
Sasa kitu unachokipuuza kwanini kikukoseshe amani muda wote unakiongelea??
Mimi nawaambia tatizo lao kubwa HAWAJIAMINI
 
Unaweza kuoa mwanamke mtiifu ila mitabia yako ikambadilisha, unapotamani kuishi na malaika kwanza jitazame wewe pia malaika??
 
Confidence na Anal sex vinahusiana vipi??
Mwanaume anayejiamini hawezi kuongelea mambo ya hovyo, hizo tabia ni za watu wasiojiamini.!!

Wewe naona unashindwa kunielewa au unafanya kusudi ili kuficha mapungufu yenu.!
Kila mtu ana mapangufu yake lakini wewe mwanaume usiwe kigezo cha kujifanya malaika kulazimisha mkeo abadilke wakati wewe huna mabadiliko.
 
Mwanaume hatumii nguvu,anataka atafuata hataki unaachana nae,why nitumie nguvu uanayoifikiria wewe wakati naweza kupata wengine wengi watakaoweza kutii amri zangu ?😁😁

Mwanaume hatumii nguvu unaypijua wewe kwa mwanamke,anampa maelekezo akiyaweza anafanya hayawezi unaachana nae.

SIfa moja ya mwanaume ni kuwa na machaguo mengi ya wanawake.

Nguvu ni Amri,kuwa straight to the point na sio kulea upumbavu wa mwanamke,aspokuwa tayari mlango upo wazi aende zake.

Akili ni kujua wapi nitumie nini,kuna maeneo lazima utumie nguvu am amri na kuna maeneo you just applying diplomacy.

SAsa kama unadhani nguvu ni kupiga mafimbo na magumi mimi sina comment
 
Sasa km mna machaguo yote hayo kwann mnalalamika??
Hata wanaume pia mpo wengi 😹😹
 
Sasa km mna machaguo yote hayo kwann mnalalamika??
Hata wanaume pia mpo wengi 😹😹
😁.
tunaonesha utaratibu ambao tunao,ndio maana wanawakw mnaambiwa hamujui kusikiliza wala kusoma maelekezo na kuyaelewa.

Mfano mzuri ni wewe😁
 
😁.
tunaonesha utaratibu ambao tunao,ndio maana wanawakw mnaambiwa hamujui kusikiliza wala kusoma maelekezo na kuyaelewa.

Mfano mzuri ni wewe😁
Mimi mwanaume wa kuniendesha awe MWANAUME KWELI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Km wewe hivyo ulivyo hata makofi nakuwasha km hujiamini ohhh.!!
 
Mimi mwanaume wa kuniendesha awe MWANAUME KWELI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Km wewe hivyo ulivyo hata makofi nakuwasha km hujiamini ohhh.!!
🀣.

Mimi ukinipiga makofi sikurudishii nakuwacha tu,kupigana na mwanamke ni kudhihirisha kwamba unalingana nae uwezo.

The best ni kumuwacha akupige then mimi najua nitakupiga wapi HAYO MAKOFI.😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…