Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

aaaaah klorokwini, ok ngoja nianze kukuonea wivu mpaka ukome
 
<br />
<br />
Thats it, uko juuu.... It seems una considerable experience
 
I'm proud that I was born a hero by a woman,I could be not happy at all,if would had been born a woman.Being wom .....,
 
I'm proud that I was born a hero by a woman,I could be not happy at all,if would had been born a woman.Being woman .....,
 
namna saba iko poa sana gaga ukiitumia ipasavyo unaweza usitumie zingine zote
 
aaaaah klorokwini, ok ngoja nianze kukuonea wivu mpaka ukome
Ana wengi huyo, kumuonea wivu huyo ni sawa kuwonea wvu king mswati kazi bure, lazima mwaka ufatao aoe tu
 
Nimekuelewa ahsante kwa maelekezo
 
Mi ntamsaidia down payment ya asilimia 10...
Huu ndio uzuri wa JF. anione haraka while stock is last, akichelewa mpaka nitakapokwenda UK mwezi wa 11 ndio nitakuja na mzigo mkubwa. unajuwa watoto wa vyuo sasa hivi wananunuwa sana, na naishukuru facebook inanisaidia kuniongezea oder za hawa mateneeger. maana wao na facebook huwaambii kitu.
 
Ngeleja tayari ameshachukuwa megawats zake, nitarudi baadae maana betri yangu iko down.
 

Hapo kwenye bold, AshaDii na Gaga wacheni fixi zenu za sexy lingerie, hayo ya kizungu mabibie. Vaa kanga yako moja ya kichina (zile laini na transparent ....... ndembendembe), imefukizwa udi kidogo, chumba umepanga vizuri ..... uone kama kama huyo mume ataondoka huko chumbani.
 
Unaweza kuzigeuza zote kwa kiwango cha lifestyle yako, hata kama huna pesa ya salon nywele unakata na wembe,au unasuka twende kilioni, hizo lingerie ndio kanga kama unavosema, au biti unakuwa na marafiki zako mnaenda baa pia si kawaida sana?
 
Nimependa namba moja mpaka tatu na namba saba hizo zingine kwangu hazifanyi kazi shosti, thou nimependa idea pia,thanks kwa thread nzuri
unaendeleaje kwanza na afya
 
Are u serious? mpaka leo hii bado unategemea umeme wa Ngeleja? nione nikupatie genereta utanilipa kwa instalment 4.
he! Mrembo upo! sielewi kwa nini wewe na mchungaji Masa wote mmehadimika kwa mpigo, something behind the screen? by the way Generator ninalo ila nimelifungia store naona linaniongezea gharama za maisha, nimefunga Inventor za Rex investment lakini sasa ni kama wiki mbili ina matatizo nawasubili mafundi wao.
Nadhamani umenisoma,..... na nimekumiso sana.
 

Nipo sema tangu umeacha kuniSIGNATURE yako nimekosa msukumo wa kuingia humu!!LOLZZ
Haahahahha......hamna cha behind wala infront of the screen....Rev nadhani atakua anapumzika baada ya pilikapilika za Eid!!

Alafu sasa we na ujanja wako wote unadhani kuliweka store ndo unakua umesave?Kalichukue kesho lipige mnada alafu ufanya mpango wa kununua solar panels ili badala ya kulalamika jua kali uombe liendelee kuwa kali!!
Missed you too!!:A S 109:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…