Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu


Gaga hizi tips kwa mtazamo dume baadhi yao zina athari mbaya sana kama kiberiti dume kitakuwa kimejaa. hivyo washauri jamaa wamsome mtuhumiwa kwanza kabla kuapply hizi tips! zinaweza zikawork kwa some lakini zinaweza zikawa hurricane Irene kwa wengine.
 
Umesema tuachane na ushauri wake not worthwhile, wewe unaweza ona hivo ila wenzio ikawa vingine, na kama wewe ni perfect sana uwe wa kwanza kumtupia jiwe, hii hata mungu hapendi, kuangalia vibanzi vya wenzako....mazuri mangapia ametuambia hapa wewe umebaki na cheating ya miaka nenda rudi wao wenyewe wameshafunga chapter hiyo,wanaendelea na maisha
 
gaga,heri umetukumbusha. ila hiyo namba 5, hapo kwenye red roses unataka kesi ya jinai eeh? ila yote inafanya kazi aisee, hapo utaona digidigi anamfukuzia simba mwenyeewe,lol!
 
Kwa jinsi navyowajua mafundi bomba walivyo hodari wa kupinda mgongo siwezi kuruhusu huo upuuzi
wee nenda kamfanyie bwanako uliyemzidi umri
 
She's escalating things herself...


One thing for certain is i was so glad you let go maana sio kawaida
yako to let go that easily.... Mtu yeyote aweza panick for ilikua kama
mmemvamia; and she is soo mild and peaciful katika hali ya kawaida...
Thus the inevitable escalation....
 

Brother CQ.....Ahsante sana kwa hii useful post.....Umenipa kicheko ambacho sikumbuki nimekipata lini...Ukweli umenipa dawa ya maana sana ingawa wewe mwenyewe ulizikwa siku nyingi!!!!
 

My opinions are my opinions. I give them as I see fit. They are not the gospel truth and should not be taken as such. No one is obliged to take them nor did I force anyone to accept them.

So what is your beef madam?
 
One thing for certain is i was so glad you let go maana sio kawaida
yako to let go that easily.... Mtu yeyote aweza panick for ilikua kama
mmemvamia; and she is soo mild and peaciful katika hali ya kawaida...
Thus the inevitable escalation....

Kavamiwa na nani?

Hivi hamtaki mpingwe hoja zenu ee?

Hayo ya mild and peaceful sisi hapa kwenye thread hii yametuhusu na kitu gani?

Ukiweka hoja mezani tarajia kupata upinzani kwa hoja zako, yeye ndio amegeuza personal.

Mimi sihusiki na personal life yake na nime judge kile kilichoandikwa hapa tu.
 
kwani shopping ni mlimani city tu? kwenye magulio huko kuna viwalo vya sh 300!nenda arusha tengeru unapata ki-tracksuit cha buku huwezi amini! na imeongelewa saving,mwanamke kubana matumizi babu wewe!
point moja gaga amesahau: financial independence! hiyo inaleta heshima and keeps the man on their toes. japo kupika maandazi,kulima bustani, kufuga kuku japo 2!
<br />
<br />
 
One thing for certain is i was so glad you let go maana sio kawaida
yako to let go that easily.... Mtu yeyote aweza panick for ilikua kama
mmemvamia; and she is soo mild and peaciful katika hali ya kawaida...
Thus the inevitable escalation....
Yaani sipati picha
 
Kweli kabisa king'asti na chakula pia nimesema ugali na maharage , kuna the cheapest zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…