World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

Kenya ndio nchi pekee wananchi wanakufa na njaa halafu serikal haipeliki msaada.
 
Nchi kukaa Lockdown mwaka mzima lazima wawe mafukara
 
Nchi kukaa Lockdown mwaka mzima lazima wawe mafukara

Si lakini walipata hela za mabeberu kwa ajili ya kujifungia ndani? Wawagawie hizhizo wananchi ili nao wapate afueni ya maisha. Siyo viongozi tu ndiyo wagawane.
 
Hapo ni kwako manzese uwanja wa fisi.Maskini kichaa wewe
Kwangu ni hapa. Nioneshe kwako na mumeo muuza chang'aa.
images - 2021-04-27T141353.638.jpeg
 
Report mpya ya world bank inasema Kenya yaongoza katika nchi zenye ufukara wa kutisha, huku ikibainisha kwamba zaidi ya 50% ya wakenya wote wanaishi kwenye umaskini wa kutosha.

Report inaenda mbele zaidi na kudai hata Zimbabwe ina hafueni ukilinganisha na aina ya ufukara unaopatikana Kenya, wakati huo huo Newport kutoka WB hiyo hiyo inadadavua katika kipindi cha corona zaidi ya wakenya million 4 wametupwa kwenye ufukara ambao awali hawakuwepo.

View attachment 1764693View attachment 1764694
40% of 52 million Kenyans is 20 million people. Compare and contrast with Tanzania's figures from the same World Bank
PhotoGrid_1605162481588.jpg
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Back
Top Bottom