World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

Sasa kumtusi imebadilisha ukweli wowote kuhusu hiyo taarifa aliyoleta Kutoka World Bank? Ukweli Ni kwamba extreme poverty iko juu Tanzania kuliko Kenya
🀣 🀣 🀣 Margret Ngina kakuelimisha hayo!?
 
[emoji44][emoji23]
Hawa ni mafukara sana hawa, ukitembea nchi yao ndio utajua, ila wanajua English.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Wameandika more than 50%, we unakuja na 40%
Kwa hivyo hata kusoma pia hujui? Nitajie/screenshot mahali 50% imetajwa kwenye hiyo article. Mimi kitu nimeona ni 40%. Nionyeshe 50% iko wapi hapa
 
Nadhani ukiweka in terms of % ndio Kenya inaongoza, haiwezekani report iseme kwamba Tanzania hakuna mafukara au Kenya ina mafukara watupu; mafukara wapo every country in this world but ukiweka kwa % ndio hapo sasa WB wanasema Kenya inaongoza.
Kwa Kenya hata mimi ni shahidi, jamaa kiuchumi (kwa maana ya mtu mmoja mmoja ) Tanzania tupo mbali sana kuliko wao
 
Kwa hivyo hata kusoma pia hujui? Nitajie/screenshot mahali 50% imetajwa kwenye hiyo article. Mimi kitu nimeona ni 40%. Nionyeshe 50% iko wapi hapa View attachment 1765589
Aya, more than 40%, ukiround off ni kama 50% tu, but Mahn, 17% higher kuwashinda Zimbabwe? [emoji44][emoji23].
Aloo mko na hali mbaya sanaa
 
Kwa hivyo hata kusoma pia hujui? Nitajie/screenshot mahali 50% imetajwa kwenye hiyo article. Mimi kitu nimeona ni 40%. Nionyeshe 50% iko wapi hapa View attachment 1765589
Besides this was propaganda, I downloaded the whole report nika post link hapa, am sure Southern zombies walikwepa, it's totally speaking about something else, so the writer aliandika zake, besides it speaks more of Tanzania, Rwanda and Burundi in East Africa, Kenya ni mention kiasi tu., nothing written in this article is substantial!πŸ˜‚., Wanalazimisha tukue nao ligi moja lakini wapi., The full report iko kwa website ya world bank, released in January 2021., hawa nimewazoea wako so desperate kwa sasa, huu mwaka niliwaambia kama vile ilikua 2020 kila mti watajaribu kukwea utateleza.
Did u read post ya remittance posted by Geza Ulole?., wanakurupuka bila kuelewa, wanajikaanga wenyewe na mafuta yaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
 
Unaandika maandishi mengi mno kama mpumbavu. Au huna kazi nyingine!? Mama Ngina anakulipa kiasi gani!?
 
Weka comparison data Tz vs Kenya from World bank uone vile unaumbuka sasa hivi!., Please harakisha, tukiweka mtasema tumepika., so hurry.., mko hapa
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Unaandika maandishi mengi mno kama mpumbavu. Au huna kazi nyingine!? Mama Ngina anakulipa kiasi gani!?
Pambana na hali yako ya uchochole kijana zombie, mko ovyo hauna lolote, teseka pole pole wacha kulia lia, tafuna ndimu kama mwanaumeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pambana na hali yako ya uchochole kijana zombie, mko ovyo hauna lolote, teseka pole pole wacha kulia lia, tafuna ndimu kama mwanaumeπŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa unaandika takataka humu. Nenda kanywe chang'aa huko kibera
 
I read it too and realized that Kenya is sparingly mentioned there. Actually nothing substantial just like you say. Ni mauchungu tu ndio wako nayo alafu pia usisahau kizungu ni kizungumkuti kwao.

I have given them a World Bank report directly mentioning Tanzania as having 28 million people living in extreme poverty (the third highest in Africa). Guess what their response is? Matusi as always. Wanataka sana tufanane nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…