World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

Hatujachoka kama Kenya mazee, nyinyi ni maskini sana, jokes aside, kuwazidi Zimbabwe? Zimbabwe? De poorest in sadc. Mkae kimya tu, mnajiaibisha na English yenu
Zimbabwe ambayo ni middle income wakati Tanzania ni LDC ndio unasema ni poorest in SADC?🀣🀣🀣
 
Hoja zikikutoka kichwani sasa ni kukurupuka na picha.Basi Naibu Rais Ruto kapigwa picha na bibi kama kashikilia bakuli.hii ina uhusiano gani kitakwimu na mada?Itabidi sasa tuwe tunatumia kiswahili maana naona kiingereza kimemewazidi si siri

Kama kula yako ni ya kusua sua, wewe ni masikini. Kwa hiyo kwenye ile takwimu na wewe umo.
 
Kama kula yako ni ya kusua sua, wewe ni masikini. Kwa hiyo kwenye ile takwimu na wewe umo.
Wacha kuhamisha goli kisa kua umechengwa eleza jinsi picha ulioiweka hapo juu inavyo wiana na takwimu.wacha blah blah za kanipiga kisa kua sikua nimevua shati
 
Wacha kuhamisha goli kisa kua umechengwa eleza jinsi picha ulioiweka hapo juu inavyo wiana na takwimu.wacha blah blah za kanipiga kisa kua sikua nimevua shati

Ile picha inaelezea wananchi wenye hali nzuri ya maisha, ambao kwenye zile takwimu za UMASIKINI hawamo.
 
Mzee jiwe alipokea nchi yetu ikiwa na 9.7 percent maskini lakini hadi anaondoka kwenda kuwa mkuu wa malaika masikini walikuwa asilimia 27.2. Kwa maana nyingine tushiwapita Zimbabwe kwa umaskini wenye 23. Angejaa mitano tena tungefikia aslimia 60. Ashukuriwe Mungu kwa kutuondolea Kayafa huyo
 
Ona hii, Tz sio LDC tena, alafu it's 2021
Tz was demoted back to LDC. Uko dunia gani wee?

 
Mzee, according to WB we are mid income, hao imf watz tunawajua since nyerere's Era, na iyo report yao inatambuliwa na haters kama nyinyi, inawapea orgasm wakunya that you are better than us, whilst you're the poorest hapo kwa category ya mid income, poorer than Zimbabweans, yani mko hapo mkiani, above the red line, [emoji23], that's vry bad, mlikuwaga above Zimbabwe, what happened.
 
Fanya leta tangible source, tuisome, sababu jiwe anasingiziwa mengi sana lately, ilhali amefanya mengi tunayoyaona.
 
Hivi nyinyi Watanzania hudhania kila mtu ako na nia ya kuwafinyilia chini? Yani IMF iachane na miinchi kama Uchina, Marekani, Ufaransa, Japani et al ianze kupotezewa usingizi na Tanzania ambayo uchumi wake haufikii 1/3 hata wa kitown kimoja kidogo cha USA kama Austin hivi? 🀣 🀣 🀣
Alafu tuletee hiyo ripoti yako ya World Bank maanake Wabongo mnajulikana kwa kutoelewa maripoti vizuri na kurukia tu mnaposikia Kenya imetajwa pabaya.
 
Ivi nyie wakenya ni asilimia ngapi mna access ya chakula?
 
Wanafurahiaga kusikia TZ tupo HoheHaded. Sijui wakoje jiraniz
Mdada, masikini wa Tanzania ana unafuu mara mia kwa masikini wa kenya failed state.

Masikini wa Tanzania ana uhakika wa kula, ana shamba analolima mazao yake ila masikini wa kenya hana hivyo vyote zaidi ya banda la bati after bati.
 
Two different things and it's 2021 remember
Hiyo ni ripoti ya October last year (2020) meaning it's so recent. Tuletee yako ya 2021 inayoonyesha the situation has improved.
 
Tatizo ni kwamba mnakubaliana na data za IMF na World Bank pale tu Tanzania inapotajwa in a positive way. Lakini mambo yakiwa kinyume, wanakua mabeberu. Mko na shida sana watanganyika
 

Hii comment yako imesababisha nicheke sana, hawa waliharibiwa na Ujamaa wa Nyerere ambao uliwafanya waishi maisha ya kujikweza kwamba dunia inawawaza sana na kila siku inaumiza akili ikiwaza namna ya kuwahujumu pamoja na walivyo maskini wa kutupwa.
 
Bado unadandia hii propagandaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, pole pambana na hali yenyu bro., Hapa mtachukua mda kutoka, your brains ziko slow sana!
View attachment 1765341
2017 versus 2021 🀣🀣🀣🀣

Miaka 5 nyuma 🀣🀣🀣🀣

Kipindi hicho hata middle income hatupo 🀣🀣🀣🀣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…