Jamaa anajifanya hajui maana ya failed state. Kwa sasa wanataka kuuza mashirika yao kufidia badget alafu anadai hajui maana ya failed state. Huyu zuzu wa korogosho hanaga point hata sikumoja.Ngoja tumwabudu maana anaipigania nchi yetu. Nyie hangaikeni Uhuru aliyeifanya nchi yenu kuwa failed state. Siku nyingine mukituma wengine tunafyekelea mbali kimya kimya. Tunasikia kuna wengine kumi mumewatuma kama walimu wa primary, siku wakiingia kwenye anga hawatarudi Kenya.
Brah brah nyingi😂😂😂😂 Hivi unataka kusema tanzania hakuna viwanda vya viberti?? It seems mnatumia old stone tools kuwashia moto.... Ukiangalia mashilika yalio binafsishwa nakushindwa kufanya kazi Magifuli kayaludisha serikalini. Ukianza na TTCL pamoja na TRC. Usiongee tu kwa sababu unajua kuongea.Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!
hakuna ulinzi hapo....ni ujinga tu wa kumwabudu sijui rais kama Mungu....mnamwabudu wote kama kondoo na kila anachokisema mnatii bila maswali...asiyetii anapigwa risasi au anatokomea asijulikane aliko...au ile habari ya Lissu, na diwani aliyechinjwa kwa panga pamoja na wanahabari na waimbaji waliokamatwa pia ni ulinzi? wewe usituone wajinga buwana...ni nani hajui kwamba wanahabari tz wamo hatarini
Tulisonga mbele kuelekea wapi? Mbona kama tunarudi nyuma?.Hata marekani walitunyima fedha ya REA ila tulisonga mbele na mradi
N.Korea pia wamezingirwa na marafiki tajiri kama vile Uchina na Urusi. Hawa LDC wamezingirwa na LDCs kote ispokuwa kaskazini waliko Wakenya ambao wamewafanya maadui. Little brains are very dangerous.Korea Kaskazini wao nafuu maana wana viwanda vyao vya ndani, hawa wenzetu hadi sindano wanaagiza, yaani mzungu akipiga chafya wanajamba.....
Unaongea na machozi yanakutokaHata marekani walitunyima fedha ya REA ila tulisonga mbele na mradi
Kwani Kenya kuna kiwanda kimebakia kwa umma?Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!
Wakati wa kunyimwa fedha za MCC nilisema hivi.Unaongea na machozi yanakutoka
Kwani Kenya kuna kiwanda kimebakia kwa umma?
TB..Joshua alitutabilia mabaya ila hatukumuelewa tu mapema.
Umezaliwa ushoga umeukuta upo tu. Na hautaweza ukemea wala umaliza hata siku moja. Mambo mengne ni kututoa nje ya reli. WB wamezungumzia mambo menginzaid ya ushoga.Kama yatupate sababu ya kuukana ushoga,Mungu atutie nguvu.hatuwezi chekea wabanduliwa mikundv.
Hujui kuwa kwenye REA awamu hii pesa ime double😂😂😂Tulisonga mbele kuelekea wapi? Mbona kama tunarudi nyuma?.View attachment 928262
Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!
Wewe kwa sasa huna malinda. Upo hapa unatetea ajira yako kupitia WB. Lipi la ziada wamelisema WB.Umezaliwa ushoga umeukuta upo tu. Na hautaweza ukemea wala umaliza hata siku moja. Mambo mengne ni kututoa nje ya reli. WB wamezungumzia mambo menginzaid ya ushoga.
Soma bandiko la WB...kma hujui kizungu usinichoshe mieWewe kwa sasa huna malinda. Upo hapa unatetea ajira yako kupitia WB. Lipi la ziada wamelisema WB.