Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!