World Bank cancels LDC Tanzania missions over safety concerns and human rights violations

Ngoja tumwabudu maana anaipigania nchi yetu. Nyie hangaikeni Uhuru aliyeifanya nchi yenu kuwa failed state. Siku nyingine mukituma wengine tunafyekelea mbali kimya kimya. Tunasikia kuna wengine kumi mumewatuma kama walimu wa primary, siku wakiingia kwenye anga hawatarudi Kenya.
Jamaa anajifanya hajui maana ya failed state. Kwa sasa wanataka kuuza mashirika yao kufidia badget alafu anadai hajui maana ya failed state. Huyu zuzu wa korogosho hanaga point hata sikumoja.
 
Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!
Brah brah nyingi😂😂😂😂 Hivi unataka kusema tanzania hakuna viwanda vya viberti?? It seems mnatumia old stone tools kuwashia moto.... Ukiangalia mashilika yalio binafsishwa nakushindwa kufanya kazi Magifuli kayaludisha serikalini. Ukianza na TTCL pamoja na TRC. Usiongee tu kwa sababu unajua kuongea.
 
hakuna ulinzi hapo....ni ujinga tu wa kumwabudu sijui rais kama Mungu....mnamwabudu wote kama kondoo na kila anachokisema mnatii bila maswali...asiyetii anapigwa risasi au anatokomea asijulikane aliko...au ile habari ya Lissu, na diwani aliyechinjwa kwa panga pamoja na wanahabari na waimbaji waliokamatwa pia ni ulinzi? wewe usituone wajinga buwana...ni nani hajui kwamba wanahabari tz wamo hatarini
IMG_20181109_204752.jpg
 
Am Tanzanian but I hate this Tanzanians leaders they don't have any future to this nation # makonda supposed to be sacked
 
Korea Kaskazini wao nafuu maana wana viwanda vyao vya ndani, hawa wenzetu hadi sindano wanaagiza, yaani mzungu akipiga chafya wanajamba.....
N.Korea pia wamezingirwa na marafiki tajiri kama vile Uchina na Urusi. Hawa LDC wamezingirwa na LDCs kote ispokuwa kaskazini waliko Wakenya ambao wamewafanya maadui. Little brains are very dangerous.
 
TB..Joshua alitutabilia mabaya ila hatukumuelewa tu mapema.
 
Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!
Kwani Kenya kuna kiwanda kimebakia kwa umma?
 
Kama yatupate sababu ya kuukana ushoga,Mungu atutie nguvu.hatuwezi chekea wabanduliwa mikundv.
Umezaliwa ushoga umeukuta upo tu. Na hautaweza ukemea wala umaliza hata siku moja. Mambo mengne ni kututoa nje ya reli. WB wamezungumzia mambo menginzaid ya ushoga.
 
Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!

Duh! Mwanzi1
 
Umezaliwa ushoga umeukuta upo tu. Na hautaweza ukemea wala umaliza hata siku moja. Mambo mengne ni kututoa nje ya reli. WB wamezungumzia mambo menginzaid ya ushoga.
Wewe kwa sasa huna malinda. Upo hapa unatetea ajira yako kupitia WB. Lipi la ziada wamelisema WB.
 
Back
Top Bottom