World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania.

Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?

IMG-20220410-WA0029.jpg
 
Ndugu zangu,

Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania kuwa uchumi wa kati imetokea.Ilizua utata baada ya Rais Samia kutamka kuwa Tanzania imeshushwa hadhi.

Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?

View attachment 2182401
Viroboto mna tabu sana. Tulishaondolewa huko. Uwe unamwelewa rais wako. Na usimpinge
 
Kwa hiyo Rais Samia alidanganya au hajui hayo mambo ipasavyo?
Busara ni msemaji wa serikali au waziri wa fedha kuja sasa na kulitolea ufafanuzi upya.
 
Kuna faida gani nchi inapata ikiitwa ya uchumi wa kati wa chini hadi mnatokwa na mishipa hivi kukomalia hili jambo ?
Ndugu zangu,

Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania kuwa uchumi wa kati imetokea.Ilizua utata baada ya Rais Samia kutamka kuwa Tanzania imeshushwa hadhi.

Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?

View attachment 2182401
 
Nina amini Rais alisema kweli ,wala hana sababu za kudanganya.

Rais wa nchi,ikiwemo Tanzania ana informations nyingi ambazo mimi na wewe hatuna.

Ngongo kwasasa Dodoma,mjengoni.
 
Kwa hiyo Rais Samia alidanganya au hajui hayo mambo ipasavyo?
Busara ni msemaji wa serikali au waziri wa fedha kuja sasa na kulitolea ufafanuzi upya.
Mama Samia alikosea tu, Tz haikuondolewa uchumi wa Kati. Japo uchumi wenyewe wa Kati ni majanga tu.
 
Nina amini Rais alisema kweli ,wala hana sababu za kudanganya.

Rais wa nchi,ikiwemo Tanzania ana informations nyingi ambazo mimi na wewe hatuna.

Ngongo kwasasa Dodoma,mjengoni.
Raisi ni binadamu, aliteleza
Tz haijaondolewa uchumi wa kati
 
Hivi huo uchumi wa kati unawasaidia katika kuinua uchumi wenu wa mtu mmoja mmoja? Magufuli alikuwa mpenda sifa tu.
 
Wewe Wakudadavuwa kati ya kijigazeti hiyo na Rais wa nchi unamwamini nani? Tena gazeti lenyewe ukute mwandishi taarifa hiyo ni Musiba. Aiseee?
 
Mkuu kwa jirani kuna msiba na kwako kuna harusi

Swali

Utalia au utafata ubweche
 
Wewe Wakudadavuwa kati ya kijigazeti hiyo na Rais wa nchi unamwamini nani? Tena gazeti lenyewe ukute mwandishi taarifa hiyo ni Musiba. Aiseee?
Mwananchi wamewahoji WB na wamethibitisha. lakini pia hata WB kwenye statement zao bado Tz ipo uchumi wa Kati
Tukubali raisi ni binadamu anakosea
 
Wewe Wakudadavuwa kati ya kijigazeti hiyo na Rais wa nchi unamwamini nani? Tena gazeti lenyewe ukute mwandishi taarifa hiyo ni Musiba. Aiseee?
 
Labda mganga wake alimwambia tumeshaondolewa. 😂😂😂
 
Ahsante kwa taarifa, uchumi wa kati kwa wachache...
 
Back
Top Bottom