World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

Ndugu zangu,

Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania.

Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?

View attachment 2182401
Hizi stori za uchumi wa kati wakati wananchi wanakabiliana na hali ngumu hebu tuzuache. Sisi wananchi ndo tuseme sasa hali zetu zinarnda vizuri kwa kuwa tunaziona. Rais juzi tu kasema tumeondoka huko na tunamuamini
 
Back
Top Bottom