Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Viroboto mna tabu sana. Tulishaondolewa huko. Uwe unamwelewa rais wako. Na usimpingeNdugu zangu,
Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania kuwa uchumi wa kati imetokea.Ilizua utata baada ya Rais Samia kutamka kuwa Tanzania imeshushwa hadhi.
Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
View attachment 2182401
Ndugu zangu,

Si mlimpinga JPMKuna faida gani nchi inapata ikiitwa ya uchumi wa kati wa chini hadi mnatokwa na mishipa hivi kukomalia hili jambo ?
Mama Samia alikosea tu, Tz haikuondolewa uchumi wa Kati. Japo uchumi wenyewe wa Kati ni majanga tu.Kwa hiyo Rais Samia alidanganya au hajui hayo mambo ipasavyo?
Busara ni msemaji wa serikali au waziri wa fedha kuja sasa na kulitolea ufafanuzi upya.
Raisi ni binadamu, alitelezaNina amini Rais alisema kweli ,wala hana sababu za kudanganya.
Rais wa nchi,ikiwemo Tanzania ana informations nyingi ambazo mimi na wewe hatuna.
Ngongo kwasasa Dodoma,mjengoni.
Mwananchi wamewahoji WB na wamethibitisha. lakini pia hata WB kwenye statement zao bado Tz ipo uchumi wa KatiWewe Wakudadavuwa kati ya kijigazeti hiyo na Rais wa nchi unamwamini nani? Tena gazeti lenyewe ukute mwandishi taarifa hiyo ni Musiba. Aiseee?
Kweli kabisaNdugu zangu,
Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania.
Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
View attachment 2182401
Anaupiga mwingi, hajui hata nchi yake ipo uchumi wa kati au wa juu! Bangi mbaya.Kwa hiyo unataka kusema nini ,kuhusu Mh.Rais!