mzamifu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2010 Posts 6,400 Reaction score 3,853 Apr 10, 2022 #21 Wakudadavuwa said: Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa? View attachment 2182401 Click to expand... Hizi stori za uchumi wa kati wakati wananchi wanakabiliana na hali ngumu hebu tuzuache. Sisi wananchi ndo tuseme sasa hali zetu zinarnda vizuri kwa kuwa tunaziona. Rais juzi tu kasema tumeondoka huko na tunamuamini
Wakudadavuwa said: Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa? View attachment 2182401 Click to expand... Hizi stori za uchumi wa kati wakati wananchi wanakabiliana na hali ngumu hebu tuzuache. Sisi wananchi ndo tuseme sasa hali zetu zinarnda vizuri kwa kuwa tunaziona. Rais juzi tu kasema tumeondoka huko na tunamuamini
W Wakudadavuwa JF-Expert Member Joined Feb 17, 2016 Posts 17,506 Reaction score 16,003 Apr 10, 2022 Thread starter #22 Tafuta Hela said: Mkuu kwa jirani kuna msiba na kwako kuna harusi Swali Utalia au utafata ubweche Click to expand... Jikite kwenye hoja
Tafuta Hela said: Mkuu kwa jirani kuna msiba na kwako kuna harusi Swali Utalia au utafata ubweche Click to expand... Jikite kwenye hoja