World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020


Hapo suluhisho ni kuongeza uzalishaji tu na kuimarisha sekta zote za kiuchumi. Hakuna haja ya ku conrol population growth.

Population growth kuwekwa katika kipimo cha GDP ni janja ya kuzuia ukuaji wa watu. Na ndio maana nchi nyingine zinafanya sensa feki na kutoa idadi ya population ambayo sio sahihi ili kuonekana wana GDP kubwa. Kuna ka nchi fulani masikini ikiko jangwani na kanchio kadogo tu ila kina population ya 55million people, ila kwenye sensa yao feki wanasema wako na watu 47million.[/QUOTE]🀣🀣🀣..unajua pia..kuwa stable currency against USD inasaidia toka magu aingie Tzs haijayumba sana..kama kipindi cha nyuma..imagine Tzs ilitoka 1100 hadi 2000 ndani ya miaka kumi
 
🀣🀣🀣..unajua pia..kuwa stable currency against USD inasaidia toka magu aingie Tzs haijayumba sana..kama kipindi cha nyuma..imagine Tzs ilitoka 1100 hadi 2000 ndani ya miaka kumi
[/QUOTE]

Kabisa, kuwa na stable currency kunasaidia ukuaji wa uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei. Hili limewezekana kwa udhibiti uliofanyika katika maduka ya kubadilishia fedha. Na jinsi sasa BOT inapowekeza kwenye kuhifadhi madini kwenye reserve yake ndio shilingi itazidi kuwa imara na himilivui dhidi ya USD.
 
Ni wimbo nimeusikia tangu kuijua Tanzagiza.

SGR Dar to Morogoro ilikuwa ifunguliwe November 2019 , one year later bado tunangoja. [emoji16]
Sgr yetu ni kisu cha ngariba wewe endelea kuvuta subira hapo kibera station ya dar inakuja soon tuone na hizo za kichina
Dar station inameremeta kama tanzanite sikuizi mmepunguza kusema inatisha baada ya kuona picha zake hivi majuzi
 
Nimeingia kwenye hio website ya World Bank. Nimefurahi sana kuona World Bank wameshabadilisha Tanzania kutoka LDC hadi MIC kwa website yao. Kwa hivyo ni rasmi kuanzia leo kuwa TZ ni middle income country. Swali langu moja ni je mbona serikali yenu imekaa kimya, haipigi makelele ili dunia nzima ifahamu kuwa nyie sio watoto tena ili kuvutia investors. Hapa Kenya serikali yetu na media zetu zinajua kujipigia debe. Nyie endeleeni kulala tu.
 
Wewe ni kipofu nikitazama nchi yenu ninaona damu tena ninaona nchi zaidi ya moja yaani kunasiku Kenya itagawanyika kama sudani
Hivyo sijui kama uchaguzi wa 2022 utakuwa na amani ,, shika haya maneno yangu
 

Habari zetu nyingi huwa tunapenda majirani zetu watangaze. Kama walivyoshadadia COVID tunataka na hii waitangaze piaπŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hapo suluhisho ni kuongeza uzalishaji tu na kuimarisha sekta zote za kiuchumi. Hakuna haja ya ku conrol population growth.

Population growth kuwekwa katika kipimo cha GDP ni janja ya kuzuia ukuaji wa watu. Na ndio maana nchi nyingine zinafanya sensa feki na kutoa idadi ya population ambayo sio sahihi ili kuonekana wana GDP kubwa. Kuna ka nchi fulani masikini ikiko jangwani na kanchio kadogo tu ila kina population ya 55million people, ila kwenye sensa yao feki wanasema wako na watu 47million.[/QUOTE][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni kweli kabisa mkuu
 
Leo tarehe moja mbona hakuna hiyo issue.. hata kwenye web ya wolrd bank hakuna.

Je ni uzushi?
 
Leo tarehe moja mbona hakuna hiyo issue.. hata kwenye web ya wolrd bank hakuna.

Je ni uzushi?
Kuwa makini kabla ya kulalamika kila wakati. Rudi nyuma kasome post nambari 185 ya Meela Gift. Amekuwekea link ya World Bank ambayo inaonyesha wazi World Bank wamebadilisha TZ kutoka Ldc hadi Mic. Jifunze saa zingine kuclick link na kusoma. Link haipo hapo kwa sababu ya mapambo. Uvivu wa kusoma ndio unayo.
 
Icho kidonge kinawafaa watu wote wanaopotezea kusoma link humu jf nakuualiza maswali yakuchosha
 
Kweli kabisa hata mm nilimuelewa kwmb ni mvivu kusoma na ndiyo maana nika screen shot nimuwekee picha.
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitangaza ,sisi siyo kama nyinyi mlijipendekeza kutolewa kundi LA chini sisi hata hakukuwabembeleza na serikali ilisema tutatoka 2023 hivi ,,,,Mara PA!!!!! Tumetoka kwa kasi ya hapa kazi tu
 
Icho kidonge kinawafaa watu wote wanaopotezea kusoma link humu jf nakuualiza maswali yakuchosha
 
Wewe ni kipofu nikitazama nchi yenu ninaona damu tena ninaona nchi zaidi ya moja yaani kunasiku Kenya itagawanyika kama sudani
Hivyo sijui kama uchaguzi wa 2022 utakuwa na amani ,, shika haya maneno yangu
Hii ni reasoning ya 1980s hata hivyo Tanzania ya Sasa ni Kenya ya 80s kwahivyo nakuelewa kwa fikra zako duni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…