Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 2,962
- 7,856
Shida huwa ni population..ukiweza kukua kuliko population yako then Middle income...gawanya 62bil usd kwa _58mil tanzanians utapata around 1080usd..sasa tukiweza kukuza GDP na pop.ikabaki almost stable..then tutamaintain status...
Ethipoia ana GDP kubwa ila population nayo ni kubwa inafanya abaki kwenye 980usd...
We need either to grow much much our gdp control pop growth
Hapo suluhisho ni kuongeza uzalishaji tu na kuimarisha sekta zote za kiuchumi. Hakuna haja ya ku conrol population growth.
Population growth kuwekwa katika kipimo cha GDP ni janja ya kuzuia ukuaji wa watu. Na ndio maana nchi nyingine zinafanya sensa feki na kutoa idadi ya population ambayo sio sahihi ili kuonekana wana GDP kubwa. Kuna ka nchi fulani masikini ikiko jangwani na kanchio kadogo tu ila kina population ya 55million people, ila kwenye sensa yao feki wanasema wako na watu 47million.[/QUOTE]🤣🤣🤣..unajua pia..kuwa stable currency against USD inasaidia toka magu aingie Tzs haijayumba sana..kama kipindi cha nyuma..imagine Tzs ilitoka 1100 hadi 2000 ndani ya miaka kumi