The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
KuumbeeHuyo sio mtz huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KuumbeeHuyo sio mtz huyo
Na ukitegemea kuna faida zitokanazo na kuwa LDC, hii inaweza ikawa ni habari mbaya kwaoHahaha yani mnataka JPM aitishe press na kutangaza TZ kuingia MIC!? Hiyo kitu haipo, kwanza kwa mipango ya maendeleo ya nchi ilikuwa tunajua bado kufikia huko middle income. Ni kihere here tu cha WB kutupeleka huko. Hivyo sio ishu kubwa ya hivyo. Najua ingekuwa ni hapo kunyaland mngefanya dhifa kubwa ikulu na kuteketeza a lot of tax payers money.
We nawe kusoma hupendi, ukipewa link husomi unabaki kulaumu tu.Hadi muda huu hakuna sehemu world bank imepublish huu uongo wa wabongo
The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.
Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hongereni watanzania!
Tumepata nini sisi?Hongera watanzania sio hongera JPM
Wana wivu wa kijinga mnoo.Cicero,
Huu ni uongo mtupu. Dunia itapasuka katikati kabla ya hili kufanyika.
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
1. Denial
2. Negotiation
3. Acceptance
Na huwa wanapita hzo hatua kwa kasi ya umeme [emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee baba, hariri Avatar yako hiyo Isha expire teyari.
Na nilimjibu kule juu [emoji3][emoji3]Soma hii comment [emoji23][emoji23][emoji23]Wana wivu wa kijinga mnoo.
Na ukitegemea kuna faida zitokanazo na kuwa LDC, hii inaweza ikawa ni habari mbaya kwao
Sasa kwa akili yako we unadhani TANZANIA itaridi Tena chini (LDC)?Hehehehe!!! Mpo MIC borderline, soma hayo mahesabu. ingizeni kichwa chote ndio muwe ndani ya kundi la wanaume kamili.
China sio Ldc. Kama huelewi mambo ya uchumi si ukae kimya.China hadi leo ni LDC
Chuki yako inakutoa akili.China hadi leo ni LDC
Chuki mbaya sana.Hadi muda huu hakuna sehemu world bank imepublish huu uongo wa wabongo
Leo hater wetu umetukubali kiainaHehehe!!! Kwanini huamini kwamba mnaaga LDC, ila fanyeni hima mtoke huko hamna sifa kwenye umaskini.
Huyo ni kundi fulani huku Tz tunaita Nyumbu. Kazi yao ni kupinga tu.Kuwa makini kabla ya kulalamika kila wakati. Rudi nyuma kasome post nambari 185 ya Meela Gift. Amekuwekea link ya World Bank ambayo inaonyesha wazi World Bank wamebadilisha TZ kutoka Ldc hadi Mic. Jifunze saa zingine kuclick link na kusoma. Link haipo hapo kwa sababu ya mapambo. Uvivu wa kusoma ndio unayo.
Unajua Nigeria ni biggest economy in Africa?! Rudi kakate miti kule porini. Tutakurudisha kwenu ukajifunze ustaarabu.Kumbe nchi kibao tu za Kiafrika zilishatoka huko,Nchi kama Zambia,Nigeria,nk nk hadi Zimbabwe
Kaka wewe ni mmoja wa Watanzania ambao huwa naona wana akili hata kwenye kupanga hoja zao, na nikijadili na watu kama wewe huwa inabidi niweke pembeni mambo ya ligi na kuvuta aerial ili tuendane vizuri, ila hapa najaribu nikuelewe nashindwa nini haswa unachobishia, utawalaumu vipi wale watoa mikopo, wao hushinikiza itumiwe vizuri lakini hawana uwezo wa kuja kukagua tofali kwa tofali, hilo sio jukumu lao.
Mimi nimefanya miradi kadhaa iliyogharamikiwa na Benki kuu ya dunia (WB), walikua wanatuma wakaguzi mara moja moja kufanya high level survey, na kila tukikamilisha tulikua tunawapa reports, ila hawakua na uwezo kuingia kwenye kila kitu kukagua, ilikua jukumu la maafisa wa serikali kuhakikisha ubora wa miradi yenyewe sio WB.
Sasa hapo unakuta hao maafisa kwanza wanapiga hela kupita maelezo na hamna mwenye jeuri ya kuwahoji. Lakini upande wa pili miradi yenyewe ilikua na umuhimu mkubwa kwa jamii.
UongoChina hadi leo ni LDC