Hehehehe!!! Mpo MIC borderline, soma hayo mahesabu. ingizeni kichwa chote ndio muwe ndani ya kundi la wanaume kamili.
Ila we jamaa kiswahili chako nakifurahiaHuwa mnawaita mabeberu, sasa kwa hii mpige kimya na kuufyata maana hamna namna, ni hawa hawa waliosema ukuaji wa uchumi wenu umeshuka mkawatukana sana. Sasa hapa wamesema hatimaye mumepiga hatua kuondokana na mateso ya umaskini na ukata, labda nyie wa mitandao ndio msifie lakini serikali ipige tu kimya na kuwatuma nyie.
Usichoshe vidole vyako, wengine co wa kuwajibu.China sio Ldc. Kama huelewi mambo ya uchumi si ukae kimya.
Haah hah haaa Alisikika [emoji205]mmoja kutoka kibera akisemaHii ni reasoning ya 1980s hata hivyo Tanzania ya Sasa ni Kenya ya 80s kwahivyo nakuelewa kwa fikra zako duni.
We nae una kipaji cha kukurupuka..Mantiki yangu ni kwamba nashangaa inakuaje biggest economy ya Africa bado ni ldc(LMIC),sasa hapo Nigeria ina nini cha kujivunia kama sio umaskini sawa tu na Mwanza inavyoongoza kwa umaskini wakati ni second biggest city in TznUnajua Nigeria ni biggest economy in Africa?! Rudi kakate miti kule porini. Tutakurudisha kwenu ukajifunze ustaarabu.
hahaa hii ndo inaitwa kuwa naive! haha, ngoja mbaniwe uone vile mtapiga magoti mbio mmbio mkiomba msamahaUjui nguvu ya tz wewe na historia yetu hao EPA watatii tu kwa tz
Wewe mbulukenge,shukrani zote kwa JK ndio uchumi wake ulikua kwa upward gragh toka 2005-2015 kama gragh ya GNI inavyosomeka lakini huyu mchumi wenu miaka 5 trend ni increasing at decreasing rate yaani within 5 years alichomudu ni average ya GNI ya 80 tu wakati Jk within his 5 years GNI ilikua zaidi ya 200 na ikaendelea hivyo hadi anakabidhi kijitiAfrika kuna nchi zaidi ya 50 lkn unaweza kuona nchi ambazo ni MIC btw najua umeumia sn cz itapelekea kuonekana kwmb arguments zako ni irrelevant, ila ucjal cc wala hatuna tatizo na watu wabinafsi km ww cz tunajua soon utakimbia Jf kwa aibu.
Unaweza kunitajia ni nchi gani au taasisi gani nyingine imetusamehe madeni apart from Brazil?
Sababu unaongea as if kila siku tunasamehewa madeni.
Mwambieni asome trend ya gragh kati yake na mtangulizi wake ndio atajua nani anastahili kupongezwa na ajitathmini aina ya uchumi na maisha anayoyajenga maana umaskini wa kipato unaongezekaHatimaye JPM ameongea
">July 1, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
We nae una kipaji cha kukurupuka..Mantiki yangu ni kwamba nashangaa inakuaje biggest economy ya Africa bado ni ldc(LMIC),sasa hapo Nigeria ina nini cha kujivunia kama sio umaskini sawa tu na Mwanza inavyoongoza kwa umaskini wakati ni second biggest city in Tzn
Unaongea pumba tuAnyway hakuna haja ya mimi kutafuta nani mwengine ka wasamehe kihistoria, point ni kwamba nchi zenye ziko kwa low income haziwezi kulazimishwa kulipa madeni zinaposhindwa kulipa ndio maana maana mara nyingi utakuta hua hazipewi mikopo mikubwa mikubwa hata na kina WB........
Lakini ukishaingia MIC unapata access kwa mikopo mingi na yoyote upendayo lakini na we usiwe na tamaa nyingi manake ukishindwa kulipa hakuna mtu atakutetea ukianza kupokonya nchi.
Mpo desperate sana na JPM kuliko watanzania wenyewe.Hatimaye JPM ameongea
">July 1, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
Sasa wewe na ujuaji wako umeshindwa kujua kuwa population ndio inaishusha Nigeria? Punguza chuki na nchi inayokulea.We nae una kipaji cha kukurupuka..Mantiki yangu ni kwamba nashangaa inakuaje biggest economy ya Africa bado ni ldc(LMIC),sasa hapo Nigeria ina nini cha kujivunia kama sio umaskini sawa tu na Mwanza inavyoongoza kwa umaskini wakati ni second biggest city in Tzn
Jukumu la viongozi wa nchi ni kuhakikisha inatumia rasilimali zake kustawisha maisha ya watu wake tofauti na hapo ni useless failed state ndio maana unaona hao wa Nigeria wanakamatwa kila siku Mediteranian sea wanataka kulowea kwa wazungu..Sasa wewe na ujuaji wako umeshindwa kujua kuwa population ndio inaishusha Nigeria? Punguza chuki na nchi inayokulea.
Laba wampongeze Jk ,huyu apongezwe kwa lipi wakati gragh ya uchumi inainamia kibla?Nategemea mh. Mbowe na Zitto kuipongeza serikali maana mabeberu wenyewe wametangaza, mziki wa Magufuli ninomaa!
Amazing,CongltSource ni kama hili jambo lilitokea Kitambo huko, back in 2018 View attachment 1489618View attachment 1489620