World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Huwa mnawaita mabeberu, sasa kwa hii mpige kimya na kuufyata maana hamna namna, ni hawa hawa waliosema ukuaji wa uchumi wenu umeshuka mkawatukana sana. Sasa hapa wamesema hatimaye mumepiga hatua kuondokana na mateso ya umaskini na ukata, labda nyie wa mitandao ndio msifie lakini serikali ipige tu kimya na kuwatuma nyie.
Ila we jamaa kiswahili chako nakifurahia
 
Unajua Nigeria ni biggest economy in Africa?! Rudi kakate miti kule porini. Tutakurudisha kwenu ukajifunze ustaarabu.
We nae una kipaji cha kukurupuka..Mantiki yangu ni kwamba nashangaa inakuaje biggest economy ya Africa bado ni ldc(LMIC),sasa hapo Nigeria ina nini cha kujivunia kama sio umaskini sawa tu na Mwanza inavyoongoza kwa umaskini wakati ni second biggest city in Tzn
 
Ujui nguvu ya tz wewe na historia yetu hao EPA watatii tu kwa tz
hahaa hii ndo inaitwa kuwa naive! haha, ngoja mbaniwe uone vile mtapiga magoti mbio mmbio mkiomba msamaha
 
Afrika kuna nchi zaidi ya 50 lkn unaweza kuona nchi ambazo ni MIC btw najua umeumia sn cz itapelekea kuonekana kwmb arguments zako ni irrelevant, ila ucjal cc wala hatuna tatizo na watu wabinafsi km ww cz tunajua soon utakimbia Jf kwa aibu.
Wewe mbulukenge,shukrani zote kwa JK ndio uchumi wake ulikua kwa upward gragh toka 2005-2015 kama gragh ya GNI inavyosomeka lakini huyu mchumi wenu miaka 5 trend ni increasing at decreasing rate yaani within 5 years alichomudu ni average ya GNI ya 80 tu wakati Jk within his 5 years GNI ilikua zaidi ya 200 na ikaendelea hivyo hadi anakabidhi kijiti
Kama hiyo haitoshi uchumi wake ulikuwa una tricle down tofauti na huyu wenu wimbo wake ni sgr na stiglaz toka 2015 to date lakini hali ya uchumi hasa ya watu ni mbovu sana.
Hata Jk anaondoka 2015 alijikita zaidi kwenye kuondoa umaskini wa kipato wakati huyu wenu yuko bussy na miradi tembo mweupe style kama sgr nk nk..Na mbumbumbu kama nyie mnaitikia kwa shangwe bila kujielewa mnachofanya..Nataka unijibu swali langu ni barabara gani ya mkoa kwa mkoa au nchi na nchi mumejenga? maana mikoa aliyoianza jk hamjakamilisha bado
 
Unaweza kunitajia ni nchi gani au taasisi gani nyingine imetusamehe madeni apart from Brazil?

Sababu unaongea as if kila siku tunasamehewa madeni.

Anyway hakuna haja ya mimi kutafuta nani mwengine ka wasamehe kihistoria, point ni kwamba nchi zenye ziko kwa low income haziwezi kulazimishwa kulipa madeni zinaposhindwa kulipa ndio maana maana mara nyingi utakuta hua hazipewi mikopo mikubwa mikubwa hata na kina WB........
Lakini ukishaingia MIC unapata access kwa mikopo mingi na yoyote upendayo lakini na we usiwe na tamaa nyingi manake ukishindwa kulipa hakuna mtu atakutetea ukianza kupokonya nchi.
 
We nae una kipaji cha kukurupuka..Mantiki yangu ni kwamba nashangaa inakuaje biggest economy ya Africa bado ni ldc(LMIC),sasa hapo Nigeria ina nini cha kujivunia kama sio umaskini sawa tu na Mwanza inavyoongoza kwa umaskini wakati ni second biggest city in Tzn

Haiya like seriously?? Nigeria bado ni LMIC? Afrika basi tuna safari ndefu sana....
 
Anyway hakuna haja ya mimi kutafuta nani mwengine ka wasamehe kihistoria, point ni kwamba nchi zenye ziko kwa low income haziwezi kulazimishwa kulipa madeni zinaposhindwa kulipa ndio maana maana mara nyingi utakuta hua hazipewi mikopo mikubwa mikubwa hata na kina WB........
Lakini ukishaingia MIC unapata access kwa mikopo mingi na yoyote upendayo lakini na we usiwe na tamaa nyingi manake ukishindwa kulipa hakuna mtu atakutetea ukianza kupokonya nchi.
Unaongea pumba tu

Inaangaliwa GDP yako ratio yake na mkopo unaotaka ndio maana ninyi saivi ni vigumu kukopesheka sababu mnadaiwa zaidi ya 65$b na GDP yenu ya 98$b

Mbona huko kuwa mic kusiwasaidie kupata mikopo mikubwa sababu juzi mlitaka WB iwape msaada wa 4$b kwa ajili ya budget yenu mkaambulia msaada wa 1$b tu.
 
We nae una kipaji cha kukurupuka..Mantiki yangu ni kwamba nashangaa inakuaje biggest economy ya Africa bado ni ldc(LMIC),sasa hapo Nigeria ina nini cha kujivunia kama sio umaskini sawa tu na Mwanza inavyoongoza kwa umaskini wakati ni second biggest city in Tzn
Sasa wewe na ujuaji wako umeshindwa kujua kuwa population ndio inaishusha Nigeria? Punguza chuki na nchi inayokulea.
 
Nategemea mh. Mbowe na Zitto kuipongeza serikali maana mabeberu wenyewe wametangaza, mziki wa Magufuli ninomaa!
 
Sasa wewe na ujuaji wako umeshindwa kujua kuwa population ndio inaishusha Nigeria? Punguza chuki na nchi inayokulea.
Jukumu la viongozi wa nchi ni kuhakikisha inatumia rasilimali zake kustawisha maisha ya watu wake tofauti na hapo ni useless failed state ndio maana unaona hao wa Nigeria wanakamatwa kila siku Mediteranian sea wanataka kulowea kwa wazungu..
 
Back
Top Bottom