World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Uzuri sisi hatupangiwi, sababu zile zile alizotoa mkapa, japo hazipo sasa hivi magu hatakubali hata mara moja.

Ni kama atakuwa anasaliti kaka zake.

MWIKO
 
Hehehe!!! Kwanini huamini kwamba mnaaga LDC, ila fanyeni hima mtoke huko hamna sifa kwenye umaskini.
Inasadia kupata taarifa zaidi...sio kwamba siamini
 
Inasadia kupata taarifa zaidi...sio kwamba siamini
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
 
Sio tunakaribia kutoka ldc bali we are no longer an ldc country, pia naomba u update hyo avatar yako cz inaongopa.
 
Hongera watanzania sio hongera JPM
Hongera ya Jpm kusimamia kodi vizur Kwan Watanzania toka hapo mwanzo tulikuwa tunalipa na lasilimali zinauzwa ila pesa zinaishia Kwa vigogo ndio maana hongera zote kwa MUHESHIMIWA JPM maana ukisema hongera Watanzania hata mbowe mtanzania ila hapendi kuona haya maendeleo unampaje hongera?
 
Magufuli aliyoyafanya kama angefanya JK muda huu tungekua tunakusanya mapato maradufu,Kipindi ambacho ke ndio mlikua mnaongoza kuuza Tanzanite hakiwezi jirudia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Uzuri sisi hatupangiwi,sababu zile zile alizotoa mkapa,japo hazipo sasa hivi magu hatakubali hata mara moja.

Ni kama atakuwa anasaliti kaka zake.MWIKO
Sisi ulaya tutapeleka bidhaa gani mikataba hii itawafaidisha wao ndio maana wanang'ang'ania .Sisi na hatuna uwezo wa kushindana biashara na ulaya mkataba huu unamfaa China, India
 
Unajua JK alikuwa anakusanya sh ngapi ukicompare na JPM, same resources, but JPM outperformed JK, u know perfect well, lkn sababu unamwonea wivu JPM, mnatafutaga tusababu twa kifara kumdiscredit jiwe.

Kila goti litapigwa awamu hii, hata kisirisiri.
 
Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1493018
Itawachukua miaka 50+. Hawa ni watot iyo siyo level yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241]
 
Wamechelewa tu tulisha toka kitambo toka2017[emoji16][emoji16] tumeipokea kwa fraah sababu ya kelel za wakenya, humu ndani mtanyoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…