digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka uje kutangazwa inabidi umaointain for several years, unless kutokee sudden shocks sidhani kama tutarudi nyuma hapa ni kwenda mbele tu!Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
Wakija utawasikia ela zenyu za madafuuuuu!Wavivu sn hawa jamaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Ghana ni middle income toka zamani.Hizo ni zile zinazopandishwa madaraja kwa sasa.Ukubwa unakuja na changamoto,hii mambo ya kuitwa Lower middle Income bado ni matusi ingawa ni hatua nzuri.Vipi kuhusu Ghana mbona siioni hapa
Mpaka kutangazwa inabidi uingie na ukae huko for at least miaka mitatu mfululizo sio unaingia tu afu ushatangazwa nooo utaratibu hauko hivyo.Tanzania ilikuwa imeingia huko since 2018
https://www.google.com/url?sa=t&sou...Vaw3p-ZgaibOPHC7sYlN4Foqk&cshid=1593501005154
Kumbuka hapo ulipo hauwezi Kula wala kupata maendeleo bila ya Tanzania ila The Tanzania inaweza kusonga mbele bila ya Kenya kwasababu ishazoea maisha hayo.Huu ni uongo mtupu. Dunia itapasuka katikati kabla ya hili kufanyika.
The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.
Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hongereni watanzania!
Lengo ni kuwa upper middle class? Kwa mipango gani mliyonayo? Au hamjioni kuwa mnarudi reverse? Wakenya kuna mda mnafurahisha sana.Kenya tuna Gdp per capita ya $ 1,710 as of the year 2018 according to world bank data
GDP per capita (current US$) - Kenya | Data
Nyie mna Gdp per capita ya $1,080 chungeni msirudi nyuma mkawa Ldc tena. Fanyeni kazi kwa bidii. Sisi hatuwezi kurudi kuwa Ldc tena kwa sababu sisi tunaendelea na safari na lengo letu ni kuwa Higher middle income.
Karibuni kwenye ligi ya watu wazima mtoke huko kwenye ligi ya watoto.Dah! Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati tupo peke yetu tu. Tumezungukwa na wabangaizaji..
Hata kama tungekuwa high Kwan hayo si makubaliano ya biashara au Kwan lazima ? Ndio maana tunazema Kenya wanamawazo ya kitumwa, yaani kitu akisema mzungu Kwa uelewa wao wa akili hautakiwi kupinga du mpaka huruma.Jibu ni kwamba bado EPA agreement inatakiwa kuangaliwa upya.. Hata kama tutaingia uchumi wa kati, yani kuwe na fair trade!View attachment 1493127View attachment 1493128
Hahaha, eti mnaendelea na safari, kwa hiyo sisi wengine tunafanya nn?mwaka huu mtachanganya mpaka mkome.Kenya tuna Gdp per capita ya $ 1,710 as of the year 2018 according to world bank data
GDP per capita (current US$) - Kenya | Data
Nyie mna Gdp per capita ya $1,080 chungeni msirudi nyuma mkawa LDC tena. Fanyeni kazi kwa bidii. Sisi hatuwezi kurudi kuwa Ldc tena kwa sababu sisi tunaendelea na safari na lengo letu ni kuwa Higher middle income.
Huu ni uongo mtupu. Dunia itapasuka katikati kabla ya hili kufanyika.
Nnachowapendea Wakenya huwa mnapitia hz stages vzr sn [emoji116][emoji116]Mauritius inakuwa first world? Yaani wanaitwa high income country. Hongera sana kwao.
Natumai ulikuwa unamjibu huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Propaganda dhaifu!
Natumia takwimu za hao hao mabeberu ambao wamewakuna leo kwamba mtatoka kwenye umaskini na kuja huku tuliko, kipindi cha JK walikua wanataja ukuaji wenu kwenye zaidi ya 7.2% na kwa awamu ya sasa wakashusha mkang'aka sana na kuwatukana. Hivyo kwa takwimu zao kwa JK mlikua mnakuja kwa kasi sio mchezo, ila siku hizi ni makelele tu.
Iwe first World na 12 000 USD/per capital? High income kuna lower, middle na upper, ...
Mkuu amini kwamba hayo ni makaratasi tu ila reality ni kwamba Tz iko mbele ya kenya kitambo tu, inavigezo vyote vya kuwa middle Income, inalisha ukanda huu kitambo tu but now tumeamua kuudhihirishia dunia who we are.Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
Aaah wapi,huyo umeme unaoingia kichwani ni mwingi kuliko output inayotolewa na hiyo kichwa[emoji16][emoji16].Natumai ulikuwa unamjibu huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Namfahamu vizuri mkuu [emoji3][emoji3]Aaah wapi,huyo umeme unaoingia kichwani ni mwingi kuliko output inayotolewa na hiyo kichwa[emoji16][emoji16].
Muda wote anarusha vibonzo vya aiina masoud kipanya,na gado.
The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.
Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hongereni watanzania!