Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Sawa. Nakubali. First world inatumika sana kutofautisha nchi zilizoendelea zamani za Ulaya na marekani na nchi second world huwa Eastern block akina Russia, Georgia n.k. Third world nayo ni nchi zingine zote ikiwemo nchi za Afrika na India na Latin America na nchi nyingi za Asia. Ni kweli kwamba first world sio neno la kiuchumi hata kidogo. Hilo neno lilitumika sana wakati wa cold war kati ya Marekani na Russia ila sasa hivi halitumiki sana. Ni neno la mtaani tu ila halina maana yoyote kiuchumi.
Ni dhahiri hujanielewa sasa.Mimi sijakukatalia hoja yako.
Au labda niseme hivi:Mambo ya first, second&third world yapo kiutamaduni zaidi ila haya ya high,middle na low income yapo zaidi kiuchumi.Rejea post uliyoqoute mwanzo mtu uliyemqoute alijiuliza kama Mauritius itaingia first world na Per capita USD 12,000.Hapo alifaa aseme high income na sio first world.We nae ukamnukuu hivyohivyo.
Ila ripoti yako sijaipinga maana nafahamu WB wanarank kwa high, middle na low income.