World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Mambo kama haya ya kusamehewa madeni musahau kwanzia mwaka ujao, hakuna tena kusamehewa, ukikopa lazima ulipe, hata kama ni kwa kuuza bandari, lazima ulipe.

19 September 2017 | By GCR Staff | 0 Comments
Brazil has forgiven Tanzania its $203m debt dating from a loan made 18 years ago to build a highway between the city of Morogoro and the capital, Dodoma.

The boon to the fast-growing African country has been under discussion for a number of years and, paradoxically, is being billed as the key for unlocking more Brazilian investment in Tanzania.

Tanzania’s ambassador to Brazil and an official from the Brazilian National Treasury signed the agreement on Sunday, 17 September, reports newspaper The Citizen.

The 1979 loan paid for the construction of the roughly 260km road between the two cities.

Brazil writes off Tanzania’s debt for highway to the capital - News - GCR

---------------------------------------------

yani ni kama vile ukiwa under 18, kuna makosa flani unaweza fanya kama kupigana na watu wengine, kukiuka sheria ...etc hata unaweza kuua mtu na ukishikwa unasamehewa na polisi/mahakama , lakini sasa hii middle income ni kama vile Tanzania imebalehe na mmefika over 18 (legal age), ukishikwa unajaribiwa mahakamani kama mtu mzima, hata kosa la kichapa mtu makofi na upatikane na polisi, hicho ni kifungo kisichopungua miezi mitatu!

Brazil?? Like seriously Brazil ilikua imewapa mkopo na ikawasamehea, jameni mbona wabongo, hivi nani hamjamkopa, hebu nimuite yule mdau wa mipovu Oii
 
Sisi ndo taifas we pimbi
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
 
Sio wewe binafsi ila kwenu huko hususan kwenye uongozi na entire JF CCM brigade, wana mazoea ya kuwaponda sana hawa na kuwaita mabeberu ikitokea wametoa namba zisizowakuna, ila wakitoa kama hizi za kusema Tanzania inaaga LDC, inakua full misifa kwa mabeberu.

Sio tu hapa JF, sifungamani na sera zao sana licha ya kufanya nao kazi. Na nimewahi kuwauliza ikiwa kweli wanaufanisi kama wanavyojipambanua kwamba wanapingana na rushwa, kudumisha utawala bora na democrasia, kuboresha maisha ya watu, KUTOKOMEZA UMASKINI, wanitajie nchi moja wanayoweza kuitolea mfano kwamba wameisaidia ikajikwamua na sasa imesimama yenyewe, hawakuweza kujibu hilo.

Nawaelewa vizuri mno sio suala la mihemko wala ushabiki, ndio maana hata hii habari sioni chochote cha kushangilia hapo.
 
Eti sasa wewe unajua mambo haya kushinda World Bank. Eti sasa wewe juha wa Tandale unakosoa World Bank? Eti sasa unapinga data ya World Bank kuwa TZ ni middle income? Aisee ile bangi unavuta weka chini kidogo ubongo upumzike. Hata mimi nimezungumza nao na najua wanavyofanya kazi. Wengi ni Maphd wa economics. Story za vijiweni usilete huku.
 
Eti sasa wewe unajua mambo haya kushinda World Bank. Eti sasa wewe juha wa Tandale unakosoa World Bank? Eti sasa unapinga data ya World Bank kuwa TZ ni middle income? Aisee ile bangi unavuta weka chini kidogo ubongo upumzike.

You are right Sir!
 
I know i am right. World Bank ina heshima yake na ningependa sana kufanya kazi huko siku za usoni. Lakini wanahitaji sana watu wenye Phd ya economics. Sio masters kama sisi.

You are right Sir!
 
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
IMG_20200630_192325.jpg
 
Eti sasa wewe unajua mambo haya kushinda World Bank. Eti sasa wewe juha wa Tandale unakosoa World Bank? Eti sasa unapinga data ya World Bank kuwa TZ ni middle income? Aisee ile bangi unavuta weka chini kidogo ubongo upumzike. Hata mimi nimezungumza nao na najua wanavyofanya kazi. Wengi ni Maphd wa economics. Story za vijiweni usilete huku.

Mkuu lafudhi yako inafanana na makarao!
 
Eti sasa wewe unajua mambo haya kushinda World Bank. Eti sasa wewe juha wa Tandale unakosoa World Bank? Eti sasa unapinga data ya World Bank kuwa TZ ni middle income? Aisee ile bangi unavuta weka chini kidogo ubongo upumzike. Hata mimi nimezungumza nao na najua wanavyofanya kazi. Wengi ni Maphd wa economics. Story za vijiweni usilete huku.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani for the first time mkenya kupost thread ya habari njema kuhusu TZ,inaonesha mmeanza kukubali mziki wetu.
Niliwaambia wasubiri mwakani yani huu mwaka wakabisha sasa wameanza wao wenyewe kujipendekeza kwa kuleta huu Uzi komora096 njoo huku ,,,, sasa nawaambia tena uchaguzi wa Kenya 2022 utakuwa mbaya sana na wahatari sana naona damu Kenya msije sema sikuwaambia maana hata ili LA uchaguzi nimewaambia siku nyingi
 
Natumia takwimu za hao hao mabeberu ambao wamewakuna leo kwamba mtatoka kwenye umaskini na kuja huku tuliko, kipindi cha JK walikua wanataja ukuaji wenu kwenye zaidi ya 7.2% na kwa awamu ya sasa wakashusha mkang'aka sana na kuwatukana. Hivyo kwa takwimu zao kwa JK mlikua mnakuja kwa kasi sio mchezo, ila siku hizi ni makelele tu.
Wewe mbumbumbu nilikuambieni huu mwaka mkabisha sasa ndiyo kwanza miezi 7 bado miezi 5 na baada ya hapo wakenya wote watapiga magoti kwa tz mmoja mmoja hadi viongozi wenu na mabeberu watakili
 
Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
GDP per C ya tz yakweli kwa sasa ni $1500 toka kitambo sema nyinyi wschumi feki amuwezi elewa
 
Duh! hapo kwenye mpaka kabisa na wanavyosifia utadhani ndio wameaga umaskini kabisa tuusan
Jiulizi kwanini wametutangaza kwa haraka??? Kama unayo akili utapata jibu wao siyo wajinga wewe una amini nchi kama Ghana inaweza kuwa juu ya tz kiuchumi !!!
 
Kenya tuna Gdp per capita ya $ 1,710 as of the year 2018 according to world bank data
GDP per capita (current US$) - Kenya | Data

Nyie mna Gdp per capita ya $1,080 chungeni msirudi nyuma mkawa Ldc tena. Fanyeni kazi kwa bidii. Sisi hatuwezi kurudi kuwa Ldc tena kwa sababu sisi tunaendelea na safari na lengo letu ni kuwa Higher middle income.
Mabeberu wanakudanganya maisha ya watz ni bora Mara 3 ya wakenya huo ndiyo ukweli
 
Back
Top Bottom