Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
You do not matter, wewe na watumwa wenzako tumieni hizo takwimu za waume zenu, sisi tutatumia za AfDB na bot.Naona mnaniquote nyote kwa povu bila mantiki, chagueni mmoja nitumie kuwajibu nyote kwa mpigo...hehehe maana sina muda wa kumjibu kila mmoja, nawapuuza wengine wote.
Narudia tena, natumia takwimu za hawa hawa World bank waliosema leo mpo kwenye hatua za kutoka kwenye umaskini, mkaja mbio kwa furaha, wao ndio takwimu zao za ukuaji wa kipindi cha JK na za kipindi hiki zina utofauti mkubwa, kwamba kipindi cha JK takwimu zao zilikua zinapaa.
Tumieni akili acheni mihemko.