World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Ni mkataba flani ivi ulikuwa unabuniwa kati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.....ungelazimisha pande zote mbili kufungua masoko yao na kuruhusu bidhaa kuingizwa kutoka upande wa pili bila kodi/tozo. Kati ya watu waliokuwa mstari wa mbele kupinga ni Rais Mstaafu wa awamu ya tatu mzee mkapa. Alisema kuruhusu bidhaa kutoka Ulaya kuingia Tanzania bila kodi kutaua viwanda vya Tanzania.

Salama ya Tanzania ni kwamba ilikuwa nchi maskini (Low Income Country), kwa hiyo ingeruhusiwa kuingiza bidhaa zake Ulaya ata kama ingegoma kusaini mkataba. Kenya ni nchi ya kipato cha kati na wao ndo wangeumia zaidi. Swali langu limekuja baada ya Tanzania kutaka kupandishwa daraja na kuwa nchi ya kipato cha kati, je bado tutaendelea kugoma kusaini?

SOMA ZAIDI: Trade impasse as EU seeks deal with entire EAC bloc
Uzuri sisi hatupangiwi, sababu zile zile alizotoa mkapa, japo hazipo sasa hivi magu hatakubali hata mara moja.

Ni kama atakuwa anasaliti kaka zake.

MWIKO
 
Hahaha umesha fika...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] muone uyu pimbi mojaa...imewaumaaaa snaaa
Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1590744384546.jpeg
 
Inasadia kupata taarifa zaidi...sio kwamba siamini
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
 
Sio tunakaribia kutoka ldc bali we are no longer an ldc country, pia naomba u update hyo avatar yako cz inaongopa.
 
Hongera watanzania sio hongera JPM
Hongera ya Jpm kusimamia kodi vizur Kwan Watanzania toka hapo mwanzo tulikuwa tunalipa na lasilimali zinauzwa ila pesa zinaishia Kwa vigogo ndio maana hongera zote kwa MUHESHIMIWA JPM maana ukisema hongera Watanzania hata mbowe mtanzania ila hapendi kuona haya maendeleo unampaje hongera?
 
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Magufuli aliyoyafanya kama angefanya JK muda huu tungekua tunakusanya mapato maradufu,Kipindi ambacho ke ndio mlikua mnaongoza kuuza Tanzanite hakiwezi jirudia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Uzuri sisi hatupangiwi,sababu zile zile alizotoa mkapa,japo hazipo sasa hivi magu hatakubali hata mara moja.

Ni kama atakuwa anasaliti kaka zake.MWIKO
Sisi ulaya tutapeleka bidhaa gani mikataba hii itawafaidisha wao ndio maana wanang'ang'ania .Sisi na hatuna uwezo wa kushindana biashara na ulaya mkataba huu unamfaa China, India
 
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Unajua JK alikuwa anakusanya sh ngapi ukicompare na JPM, same resources, but JPM outperformed JK, u know perfect well, lkn sababu unamwonea wivu JPM, mnatafutaga tusababu twa kifara kumdiscredit jiwe.

Kila goti litapigwa awamu hii, hata kisirisiri.
 
Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1493018
Itawachukua miaka 50+. Hawa ni watot iyo siyo level yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241]
 
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Wamechelewa tu tulisha toka kitambo toka2017[emoji16][emoji16] tumeipokea kwa fraah sababu ya kelel za wakenya, humu ndani mtanyoka tu.
 
Back
Top Bottom