Unamsifia JK sababu mlifanya TZ shamba la bibi sio. Sasa mtakula mlipo fanyia kazi nyambaf[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Hujiulizi kwann taasisi zingine zilikataa kua tanzania haikui kwa asilimia walizotaja world bank ikiwepo AFDB ??? au nyinyi hua munakubali kila kitu munachoambiwa bila kutumia akili zako kichwani kutoka LDC tumetoka since 2017 ili walikua wametuweka kwenye muda wa uangalizi so usitumie kama hoja ya kisiasa tulieni sindano zipenye.Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Watatutambua tu, hatuchezi na kima mara hii, kazi ya ukombozi ilishaisha sasa kilichobaki ni kujenga uchumi tu, ni lazima akae chini kama siyo kusimama kabisa.Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1493018
Kweli dawa ya deni ni kulipa, na wao watulipe deni la kutengeneza bilionea, tuone kama wanajeuri.Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1493018
Mwanzoni nilipokuwa naitumia walikuwa nao wanaweka ile yao ya ldc, but tng walipokugundua kuwa Tz co ldc wamekuwa hawaijibu tena [emoji3][emoji3][emoji3]Kweli dawa ya deni ni kulipa, na wao watulipe deni la kutengeneza bilionea, ma.mae. Tuone kama wanajeuri.
NDINDA unakumbuka nilikuambia hii picha tuiweke itatufaa kupigia hawa nyang'au, sasa naona The best 007 anaitumia vizuri sana.
Dah! Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati tupo peke yetu tu. Tumezungukwa na wabangaizaji.Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1493018
Wavivu sn hawa jamaa [emoji3][emoji3][emoji3]Dah! Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati tupo peke yetu tu. Tumezungukwa na wabangaizaji..
Yaani for the first time mkenya kupost thread ya habari njema kuhusu TZ,inaonesha mmeanza kukubali mziki wetu.The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.
Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hongereni watanzania!
Magufuli aliyoyafanya kama angefanya JK muda huu tungekua tunakusanya mapato maradufu,Kipindi ambacho ke ndio mlikua mnaongoza kuuza Tanzanite hakiwezi jirudia
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Eti JK, ww Hamna kitu unajua, ni ushabiki maandazi tu umekujaa. Unajua JK alikuwa anakusanya sh ngapi ukicompare na JPM, same resources, but JPM outperformed JK, u know perfect well, lkn sababu unamwonea wivu JPM, mnatafutaga tusababu twa kifara kumdiscredit jiwe.
Kila goti litapigwa awamu hii, hata kisirisiri
Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
Mauritius inakuwa first world? Yaani wanaitwa high income country. Hongera sana kwao.
Wanabaki kusifia tu ela yetu ina thamani wakati hawana billionea sasa thamani inafaida gani.Kweli dawa ya deni ni kulipa, na wao watulipe deni la kutengeneza bilionea, ma.mae.... tuone kama wanajeuri.
NDINDA unakumbuka nilikuambia hii picha tuiweke itatufaa kupigia hawa nyang'au, sasa naona The best 007 anaitumia vizuri sana.