World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Mkuu haya mambo hayataki haraka wala papara,yafaa ujitulize halafu utafakari kwa kina.

Kenya ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania lakini mpaka kesho uchumi wake Kwa mujibu wa takwimu za WB wapo katika kundi la lower middle income.

South Africa Higher middle income sasa sijui Sisi tumo kundi gani !.
Ikishaingia tu kwenye Uchumi wa Kati haijalishi ni upi,ingekuwa ni rahisi kufikia hapo basi Nchi zote zingeingia tu Uchumi wa kati
 
Hivi unahisi JK angekuwa rais mpaka Leo tungepanda in this level?
we kweli kiazi,tunacheza na namba au na personal feelings zako? Kwani nani alipandisha uchumi kati ya Magu na JK? Si uingie kwenye hiyo website ya WB utakuta graph za trend ya uchumi since Jk era na za Magu,kiufupi ni kwamba uchumi wa Magu ni increasing at decreasing rate yaani ukuaji wake ni hafifu unakua kwa kasi ndogo tofauti na awali ndio maana kwa sasa Tzn haipo kwenye nchi zenye ukuaji mkubwa wa uchumi kama awamu iliyopita na hapa bado maumivu ya miradi isiyo na tija kama sgr itakapoanza kuuma
Pili kipindi cha sasa umaskini wa kipato umeongezeka naona unazuzuliwa na miradi isiyomsaidia mwananchi unajua ndio imeivusha nchi,pole
 
Unaongea pumba tu

Inaangaliwa GDP yako ratio yake na mkopo unaotaka ndio maana ninyi saivi ni vigumu kukopesheka sababu mnadaiwa zaidi ya 65$b na GDP yenu ya 98$b

Mbona huko kuwa mic kusiwasaidie kupata mikopo mikubwa sababu juzi mlitaka WB iwape msaada wa 4$b kwa ajili ya budget yenu mkaambulia msaada wa 1$b tu.
Hakuna mahali tushawai kuomba $4B kutoka kwa WB.....na kama unabisha leta ushahidi.......

Alafu mikopo haihesabiwi kwa GDP, GDP ni mapato ya nchi kutokana na uzalishaji wa bidhaa na huduma(services)..... Na kwa Kenya, ni sector ya kibinafsi (private sector) ndo inazalisha na kuletea nchi mapato ......

Kwahivyo labda useme mikopo ndo inasababisha Kenya kuboresha miundombinu alafu miundombinu bora inapunguza garama ya uchukuzi au biashara ndo maana biashara zinapata faida kubwa ndo inachangia GDP kuongezeka.
Lakini ukisema eti GDP ni kubwa kwasababu nusu ni mkopo, hapo utafanya waliosomea uchumi kulia kwikwikwi...... Unaweza kuchukua mikopo ambayo ni 100% ya GDP yako na mwaka ujao GDP yenu ikabaki pale pale manake mikopo haikutumika vizuri kwahivyo faida na mapato/uzalishaji wa nchi ulibaki vile vile.
 
we kweli kiazi,tunacheza na namba au na personal feelings zako? Kwani nani alipandisha uchumi kati ya Magu na JK? Si uingie kwenye hiyo website ya WB utakuta graph za trend ya uchumi since Jk era na za Magu,kiufupi ni kwamba uchumi wa Magu ni increasing at decreasing rate yaani ukuaji wake ni hafifu unakua kwa kasi ndogo tofauti na awali ndio maana kwa sasa Tzn haipo kwenye nchi zenye ukuaji mkubwa wa uchumi kama awamu iliyopita na hapa bado maumivu ya miradi isiyo na tija kama sgr itakapoanza kuuma
Pili kipindi cha sasa umaskini wa kipato umeongezeka naona unazuzuliwa na miradi isiyomsaidia mwananchi unajua ndio imeivusha nchi,pole
Kama hii miradi unahisi haitamsaidia mwananchi basi wee utakuwa kiazi Mara mbili... kwajiyo unataka wananchi tupewe hela mkononi et
 
Hapa
Habari mbaya sana hii kwa wapinzani Zito na wa aina yake.
Magu bado anatembelea uchumi waJK maana per capita haijabadilika since 2015 ila kimekuwa sustained tu kwa muda huo wa matazamio ndio maana WB wamejiridhisha kuiweka kwenye MIC otherwise viwango vilifikiwa toka 2015
Pili iradi ya Magu bado haijaanza kuleta tija ambayo kimsingi haitakuwepo bali mzigo..haingii akilini kupeleka sgr ya matilioni sehemu ambayo ina mzigo chini ya 25% ukaacha ukanda wa SADC kwenye mzigo zaidi ya 70% kwa mujibu wa taarifa ya bandari ya Dar?
Pili utanishawishi vipi niamini kwamba kuna propre allocation of resources ikiwa tuna mgwt 1650 za umeme yet kati ya hizo 150 ni excess then unatumia matilioni kuwekeza kwenye mradi wa mgwt zaidi ya 2000 ambazo zitakuwa hazitumiki miaka na miaka badala ya kuwekeza kwenye miradi ya kati kwa awamu kadiri ya mahitaji? Hii ni liability,kwamba umeme utashuka si kweli maana hata sasa kuna excess kwa nini huo umeme usishuke? Si ajabu bado nchi inajikongoja kwenye barabara ambazo zina tija na impacts ya haraka na mda mfupi kwa watu sababu ni kushindwa kuwa na busra ya kiuchumi katika kuwekeza rasilimali
 
Kama hii miradi unahisi haitamsaidia mwananchi basi wee utakuwa kiazi Mara mbili... kwajiyo unataka wananchi tupewe hela mkononi et
Wapi nimeandika upewe pesa mkononi? Kama kupewa mkononi italeta tija is okey maana hata huko tassaf wanapewa pesa mkononi but kwangu natazama kwa jicho la uchumi zaidi kwamba wapi kungeanza na kipi kianze na kipi kifuate..reli zimekuwepo miaka mingi tu kinachofanyika sasa ni kuongezea speed tu ya reli lakini sehemu ambayo haitaleta tija yoyote kulingana na pesa inayotumika..nenda kasome dhana ya opportunity cost na rational expenditure utaelewa nachozungumza hapa
 
Hapa

Magu bado anatembelea uchumi waJK maana per capita haijabadilika since 2015 ila kimekuwa sustained tu kwa muda huo wa matazamio ndio maana WB wamejiridhisha kuiweka kwenye MIC otherwise viwango vilifikiwa toka 2015
Pili iradi ya Magu bado haijaanza kuleta tija ambayo kimsingi haitakuwepo bali mzigo..haingii akilini kupeleka sgr ya matilioni sehemu ambayo ina mzigo chini ya 25% ukaacha ukanda wa SADC kwenye mzigo zaidi ya 70% kwa mujibu wa taarifa ya bandari ya Dar?
Pili utanishawishi vipi niamini kwamba kuna propre allocation of resources ikiwa tuna mgwt 1650 za umeme yet kati ya hizo 150 ni excess then unatumia matilioni kuwekeza kwenye mradi wa mgwt zaidi ya 2000 ambazo zitakuwa hazitumiki miaka na miaka badala ya kuwekeza kwenye miradi ya kati kwa awamu kadiri ya mahitaji? Hii ni liability,kwamba umeme utashuka si kweli maana hata sasa kuna excess kwa nini huo umeme usishuke? Si ajabu bado nchi inajikongoja kwenye barabara ambazo zina tija na impacts ya haraka na mda mfupi kwa watu sababu ni kushindwa kuwa na busra ya kiuchumi katika kuwekeza rasilimali
Ni WB ndo wame-conclude hivo, sio Twaweza au Redet.
Unataka kusema lazima tungeingia tu MIC july 1, hata kama kusingekua na jitihada zozote,kwani zilishafanywa na watangulizi wake, hata kama matonya angekua rais?!
 
Wapi nimeandika upewe pesa mkononi? Kama kupewa mkononi italeta tija is okey maana hata huko tassaf wanapewa pesa mkononi but kwangu natazama kwa jicho la uchumi zaidi kwamba wapi kungeanza na kipi kianze na kipi kifuate..reli zimekuwepo miaka mingi tu kinachofanyika sasa ni kuongezea speed tu ya reli lakini sehemu ambayo haitaleta tija yoyote kulingana na pesa inayotumika..nenda kasome dhana ya opportunity cost na rational expenditure utaelewa nachozungumza hapa
I know well dhana ya opportunity cost and scale of preference, mawazo hasi ni pale unpoona kununua ndege na kutengeneza miondo mbinu ya barabara ya reli, vituo vya afya kwa afya Bora, meli hakuna faida kwa wananchi!
 
Hapa

Magu bado anatembelea uchumi waJK maana per capita haijabadilika since 2015 ila kimekuwa sustained tu kwa muda huo wa matazamio ndio maana WB wamejiridhisha kuiweka kwenye MIC otherwise viwango vilifikiwa toka 2015
Pili iradi ya Magu bado haijaanza kuleta tija ambayo kimsingi haitakuwepo bali mzigo..haingii akilini kupeleka sgr ya matilioni sehemu ambayo ina mzigo chini ya 25% ukaacha ukanda wa SADC kwenye mzigo zaidi ya 70% kwa mujibu wa taarifa ya bandari ya Dar?
Pili utanishawishi vipi niamini kwamba kuna propre allocation of resources ikiwa tuna mgwt 1650 za umeme yet kati ya hizo 150 ni excess then unatumia matilioni kuwekeza kwenye mradi wa mgwt zaidi ya 2000 ambazo zitakuwa hazitumiki miaka na miaka badala ya kuwekeza kwenye miradi ya kati kwa awamu kadiri ya mahitaji? Hii ni liability,kwamba umeme utashuka si kweli maana hata sasa kuna excess kwa nini huo umeme usishuke? Si ajabu bado nchi inajikongoja kwenye barabara ambazo zina tija na impacts ya haraka na mda mfupi kwa watu sababu ni kushindwa kuwa na busra ya kiuchumi katika kuwekeza rasilimali
But the same gvt, so hatakama anatembea ni sawa ila jitihada niza awamu ya hii!
 
Hakuna mahali tushawai kuomba $4B kutoka kwa WB.....na kama unabisha leta ushahidi.......

Alafu mikopo haihesabiwi kwa GDP, GDP ni mapato ya nchi kutokana na uzalishaji wa bidhaa na huduma(services)..... Na kwa Kenya, ni sector ya kibinafsi (private sector) ndo inazalisha na kuletea nchi mapato ......

Kwahivyo labda useme mikopo ndo inasababisha Kenya kuboresha miundombinu alafu miundombinu bora inapunguza garama ya uchukuzi au biashara ndo maana biashara zinapata faida kubwa ndo inachangia GDP kuongezeka.
Lakini ukisema eti GDP ni kubwa kwasababu nusu ni mkopo, hapo utafanya waliosomea uchumi kulia kwikwikwi...... Unaweza kuchukua mikopo ambayo ni 100% ya GDP yako na mwaka ujao GDP yenu ikabaki pale pale manake mikopo haikutumika vizuri kwahivyo faida na mapato/uzalishaji wa nchi ulibaki vile vile.
Ondoa mashudu hapa

Sasa unataka kubisha kwamba hamkusaidiwa 1$b sababu ya kushindwa kugharamia budget yenu ama?
 
I know well dhana ya opportunity cost and scale of preference, mawazo hasi ni pale unpoona kununua ndege na kutengeneza miondo mbinu ya barabara ya reli, vituo vya afya kwa afya Bora, meli hakuna faida kwa wananchi!
Nani kakwambia vyote hivyo napinga,mimi sikubaliani na sgr kupelekwa huko great lakes maana hakuna uchumi wa maana huko hata wakoloni hawakujenga hizi reli kujifurahisha au kufurahisha wananengo,sikubaliani na ndege maana hadi sasa kipindi cha ushindani tulikuwa tunasafiri kwa bei rahisi kuliko hii monopoly na tatu sikubaliani na stiglaz maana naona tume opt kutumia pesa nyingi kuzalisha iddle resources ambayo muda wote tutakuwa tuna incur maintanance costs wakati tungeenda kulingana na mahitaji,haingii akilini GDP ya 60B inatumia umeme wa chini ya mgwt 1600 afu utumie matilioni kuzalisha mgwt zaidi ya 2000 ambazo hata miaka 40 ijayo zitakuwa zipo tuu hazitumiki badala ya kuwekea let say mgwt 400 kadiri ya mahitaji ilipesa nyingine ikafanye mambo mengine maana kuna mengi uya kufanya
Sasa hapo hiyo scale of preferance inazingatia uchumi au personal feelings ?
 
Jamani kujeni hukuuu MK254 hatimaye amechange avatar yake, hahahaha Magu baba laoooo nmecheka sn pia umenifurahisha sn, Safi sn MK254 kwa kutambua heshima ya Tz [emoji122][emoji122]
 
Hehehe!!! ila hiyo avatar ningeibadilisha kitambo kwenye kipindi cha JK kama angeachiwa kuendelea hata miaka miwili zaidi, wakati huo mlikua mnapiga hatua kali sana yaani 7.4%
Mshukuru sana huyo mzee wa Msoga, kawapiga tafu sana ni ile tu hamjui na haitokuja siku mlitambue hilo maana mumelewa mapambio.
 
Hahahaaa usimsikilize yule mpuuzi wa juu huko anayetaka kuaminisha umma kwmb Jk ndie aliyefanya tuingie MIC, kwnz ajue kabisa tuliwekwa kwny uangalizi 2017 ss mbn hatukuwekwa kwny uangalizi chini ya Jk, pia yule jamaa ni ana wivu na chuki dhidi ya Magu inawezekana ametumbuliwa kwa uzembe wake au ndugu yake ametumbuliwa kwa uzembe pia hivyo anahamishia hasira zake humu but majority washamjua na wanamkaushia, ukitaka kuamini yule jamaa ni ana chuki mwanzoni kabisa ilipoanza kusemekana soon tutaingia MIC akaanza kuponda lkn tulipoingia tu akabadili hadithi now anaongea hadithi za Jk so mpuuzeni tu huyo ana stress.
 
Hongera watanzania sio hongera JPM
Hongera JPM nisahihi kaipigania Tanzania sana, wamiliki wakubwa wa Biashara walikuwa wanakwepa kodi kwahiyo kujitoa KWAKE nizaidi ya Utu,wengine walikuwa wanahofia kuwagusa wakijua labda Wanaweza kugoma nakuleta mizozo,lakini JPM kathubutu watakatishaji fedha leo wapo Magerezani
 
Hahahaaa usimsikilize yule mpuuzi wa juu huko anayetaka kuaminisha umma kwmb Jk ndie aliyefanya tuingie MIC, kwnz ajue kabisa tuliwekwa kwny uangalizi 2017 ss mbn hatukuwekwa kwny uangalizi chini ya Jk, pia yule jamaa ni ana wivu na chuki dhidi ya Magu inawezekana ametumbuliwa kwa uzembe wake au ndugu yake ametumbuliwa kwa uzembe pia hivyo anahamishia hasira zake humu but majority washamjua na wanamkaushia, ukitaka kuamini yule jamaa ni ana chuki mwanzoni kabisa ilipoanza kusemekana soon tutaingia MIC akaanza kuponda lkn tulipoingia tu akabadili hadithi now anaongea hadithi za Jk so mpuuzeni tu huyo ana stress.
Huyo ni mpuuzi hasaaa hajielewi,kwanini isingetangazwa basi,aache ujinga huyo, JPM kaiokoa Tanzania Kiuchumi tulikuwa tunadidimia,walaji wakuwa wachache huku wengi wakifa njaa,angalia sasa kama kuna nyumba za starehe zinajaa watu,ukiona mtu anachezea fedha jua kazipata kimteremko kwahiyo hana Uchungu nazo
 
Back
Top Bottom