World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Wakenya wanampenda JK maana hakua anagusa maslahi yao ya magendo,

Wanamchukia JPM maana anawanyoosha mnoo.
JPM anawanyoosha wala Rushwa wahujum Uchumi ambao walikuwa wanaifanya Tanzania iwe Dampo,sasa wanasaga meno,hatakama wapo wapigaji kwasababu tunajua hawaishagi ila wamepungua kwa kiwango kikubwa
 
Ikishaingia tu kwenye Uchumi wa Kati haijalishi ni upi,ingekuwa ni rahisi kufikia hapo basi Nchi zote zingeingia tu Uchumi wa kati
Kwani Tanzania ndio imeiambia Bank ya Dunian isiitangaze Kenya?wenyewe ndio wanaona wana Hesabu zao ambazo zikiwa sawa ndio Nchi inastahili kutangazwa,labda kuna sheria imeiangusha unajuaje?au kawaulize Wahusika wa Bank ya Dunia
 
JPM anawanyoosha wala Rushwa wahujum Uchumi ambao walikuwa wanaifanya Tanzania iwe Dampo,sasa wanasaga meno,hatakama wapo wapigaji kwasababu tunajua hawaishagi ila wamepungua kwa kiwango kikubwa
Na ndio maana wanazidi kumchukia JPM maana anawanyoosha mnoo,

Kuna kipindi Tanzania haikuwa kwenye orodha ya wazalishaji wakubwa wa Tanzanite aisee nilikuwa nakereka sio mchezo ila sasa hivi heshima imerudi,

Hapa kazi tu.
 
Hahahaaa usimsikilize yule mpuuzi wa juu huko anayetaka kuaminisha umma kwmb Jk ndie aliyefanya tuingie MIC, kwnz ajue kabisa tuliwekwa kwny uangalizi 2017 ss mbn hatukuwekwa kwny uangalizi chini ya Jk, pia yule jamaa ni ana wivu na chuki dhidi ya Magu inawezekana ametumbuliwa kwa uzembe wake au ndugu yake ametumbuliwa kwa uzembe pia hivyo anahamishia hasira zake humu but majority washamjua na wanamkaushia, ukitaka kuamini yule jamaa ni ana chuki mwanzoni kabisa ilipoanza kusemekana soon tutaingia MIC akaanza kuponda lkn tulipoingia tu akabadili hadithi now anaongea hadithi za Jk so mpuuzeni tu huyo ana stress.

Simsklizi mtu, nasoma takwimu za WB, tumekua humu JF tangia kipindi cha JK na tumejadili hizi takwimu muda wote huo, wewe naona ni kijana umejiunga mwaka jana, tuliza mihemko urejelee nyuzi zote za kipindi kile na mpaka leo. Nakumbuka wakati huo uchumi wenu ulikua unapaa kwa 7.4% wakati sisi tukihangaika kwenye 4%, ilikua wazi kwa muda wa miaka michache mngetunusia nusia, ila ghafla mkaangukia pua, leo pengo limeongezeka hadi sisi tunachezea kwenye $100B wakati nyie mpo huko mbali kwa $63B.
 
Kwangu mimi huwezi kuniambia kitu nikakuelewa kuhusu uchumi wa kwenye makaratasi, mm nataka nione vitu kwa macho yangu, wkt wa Jk hzo takwimu kila zilipokuwa zikisomwa raia walikuwa wakilalamika kwamba uchumi unakuwa mbn hatuuoni, maji safi shida huduma za afya shida, usafiri shida, serikalini nidhamu hakuna, gepu la tajiri na maskini linazidi kuongezeka, lkn sasa hivi huwezi msikia mwananchi akilalamikia takwimu cz anaona yanafanyika na ana hope kwamba soon mambo yatazd kuwa poa, hizo ni kanuni za kiuchumi kwmb kuna transition period wkt mnajenga uchumi wa kweli perhaps unajua ila unataka kupoteza watu maboya humu, infact Jpm anafanya vzr sn cz zile shida zilizotusumbua na kutukera WaTz zote zimebaki kenya na sidhani kama zitaondoka.
 
hahaa hii ndo inaitwa kuwa naive! haha, ngoja mbaniwe uone vile mtapiga magoti mbio mmbio mkiomba msamaha
Haya sasa umeona walivyo tuingiza MIC huku tukiwaita mabeberu na WB wanakuja kumbembeleza magufuli akope Pesa yoyote hatakayo
 
Kwangu mimi huwezi kuniambia kitu nikakuelewa kuhusu uchumi wa kwenye makaratasi, mm nataka nione vitu kwa macho yangu, wkt wa Jk hzo takwimu kila zilipokuwa zikisomwa raia walikuwa wakilalamika kwamba uchumi unakuwa mbn hatuuoni, maji safi shida huduma za afya shida, usafiri shida, serikalini nidhamu hakuna, gepu la tajiri na maskini linazidi kuongezeka, lkn sasa hivi huwezi msikia mwananchi akilalamikia takwimu cz anaona yanafanyika na ana hope kwamba soon mambo yatazd kuwa poa, hizo ni kanuni za kiuchumi kwmb kuna transition period wkt mnajenga uchumi wa kweli perhaps unajua ila unataka kupoteza watu maboya humu, infact Jpm anafanya vzr sn cz zile shida zilizotusumbua na kutukera WaTz zote zimebaki kenya na sidhani kama zitaondoka.

Huo mstari wa kwanza umetosha nikupuuze, maana kama unasema takwimu za WB ni makaratasi basi acha kuamini hizi taarifa za nyie kuingizwa LMIC, japo WB wenyewe wamekiri imewabidi wabadilishe namna wanavyochanganua ili kuingiza mataifa mengi yaliyokua yameganda kwenye LDC.
 
Wajuzi wa mambo hii ni habari njema au mbaya?
Na Kwanini
 
Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Mkuu hapa umeleta hoja nzuri sana na nzito.
Bahati mbaya sana watu hawajakuelewa hawaijadili hoja hii wanakimbilia kushangilia au kushambuliana kuhusu vyama na ukada.

Hoja ya EPA ni ya msingi sana kujadiliwa.
 
Huo mstari wa kwanza umetosha nikupuuze, maana kama unasema takwimu za WB ni makaratasi basi acha kuamini hizi taarifa za nyie kuingizwa LMIC, japo WB wenyewe wamekiri imewabidi wabadilishe namna wanavyochanganua ili kuingiza mataifa mengi yaliyokua yameganda kwenye LDC.
Hahahaaaa siamini km Tanzania imechelewa hv kuingia MIC mm nnachoamini tuliingia kitambo tu hv we huoni km ni uongo Kenya kuwa MIC af Tz ldc? Ukiangalia maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata maendeleo ya nchi kwa ujumla Tz iko mbele ya kenya cz Tz maendeleo yametawanyika ila kenya ni nairobi tu na kidogo mombasa but the rest ni uozo mtupu pia Tz iko mbele kimaendeleo zaidi ya nchi nyingi tu zilizo MIC hata ww unalijua hilo na ndiyo mana nasema huwa siamini uchumi wa kwenye makaratasi japo nafurahi kuona kwenye hayo makaratasi mnayoyaamini pia tumo cz Wakenya mnawaamini sn mabeberu kwa ujinga mlio nao.
 
Sasa kuamini au kutokuamini kwako hakuna umuhimu wowote maana wewe hapo huna zaidi ya kuvimbiwa ubwabwa kisha unalala, kuna watu wenye akili kubwa hukeshea haya mahesabu na wewe huna jeuri wala elimu ya kuwarekebisha.
 
Itachukua muda sn kukuelewesha cz u r a Kenyan tng umezaliwa umekuwa ukiambiwa kuwa whites are better than any race on our Earth na kwamba kila analosema muzungu ndiyo liko hivyo, ofcz utumwa upo ndani ya damu ya mkenya n thus y corona haita stop bothering you idiots.
 
The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.

Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hongereni watanzania!

Kwa nini neno 'Lower' limekuwa committed kwenye haya masifa? Ni bahati mbaya ama makusudi? Lower Middle Economy. Naona kuna Upper Middle Economy. Tuambizane ukweli jamani!
 
Itachukua muda sn kukuelewesha cz u r a Kenyan tng umezaliwa umekuwa ukiambiwa kuwa whites are better than any race on our Earth na kwamba kila analosema muzungu ndiyo liko hivyo, ofcz utumwa upo ndani ya damu ya mkenya n thus y corona haita stop bothering you idiots.

Huna jeuri au elimu au utaalam wa kuweza kunielewesha, haya mahesabu hayafanywi na watu level yako, wewe ukishiba ubwabwa shukuru kisha lala, wacha wenye akili kubwa waendelee kukokotoa mambo ya uchumi. Waimba mapambio kama nyie hamna lolote zaidi ya ushabiki, mnaponda takwimu zikitawasema vibaya, mnasifia zikiwasema vingine, hao hao ndio wamesema uchumi wetu unaelekea kuwa mara mbili ya wa kwenu....$100B na $63B

Wakati wa JK mngetusababishia msukosuko maana uchumi wenu ulikua unapaa kwa 7.4% huku sisi tukiyumba kwenye 4%, ila kwa sasa mtusahau kabisa, tena yaani tu.
 
Sasa kuamini au kutokuamini kwako hakuna umuhimu wowote maana wewe hapo huna zaidi ya kuvimbiwa ubwabwa kisha unalala, kuna watu wenye akili kubwa hukeshea haya mahesabu na wewe huna jeuri wala elimu ya kuwarekebisha.
kauli za kitumwa
 
Huna jeuri au elimu au utaalam wa kuweza kunielewesha, haya mahesabu hayafanywi na watu level yako, wewe ukishiba ubwabwa shukuru kisha lala, wacha wenye akili kubwa waendelee kukokotoa mambo ya uchumi. Waimba mapambio kama nyie hamna lolote zaidi ya ushabiki, mnaponda takwimu zikitawasema vibaya, mnasifia zikiwasema vingine, hao hao ndio wamesema uchumi wetu unaelekea kuwa mara mbili ya wa kwenu....$100B na $63B

Wakati wa JK mngetusababishia msukosuko maana uchumi wenu ulikua unapaa kwa 7.4% huku sisi tukiyumba kwenye 4%, ila kwa sasa mtusahau kabisa, tena yaani tu.
Shida inakuja pale mwanauchumi anapochanganya uchumi na siasa heheheheheeee unachekesha sn ww yn unaongea bila aibu eti wakati wa Jk ndo tulikuwa tunawapa homa kwa kuwa uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa 7% ss mbn miaka yote hiyo 10 ya Kikwete hatukuwakaribia na wala hamkuwa na wasi wasi km mliokuwa nao ss? Yn kipindi cha Jk ambapo uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa kasi Wakenya hawakuwa na adabu kwa Tz lkn wakati huu wa Magu ambapo uchumi wetu unasua sua ndipo Wakenya mmekuwa na adabu na wasi wasi mkuu, nadhani ss neno langu nililokuambia kwamba huwa sibabaishwi na uchumi wa kwenye makaratasi umeanza kuelewa [emoji3][emoji3]
 
Itachukua muda sn kukuelewesha cz u r a Kenyan tng umezaliwa umekuwa ukiambiwa kuwa whites are better than any race on our Earth na kwamba kila analosema muzungu ndiyo liko hivyo, ofcz utumwa upo ndani ya damu ya mkenya n thus y corona haita stop bothering you idiots.
Hii comment [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa umeandika ukweli mtupu sikupingi na huu ndio ukweli kenya not yet uhuru coz wanapenda mnoo kuwalamba mabwana zao na kudhani wao ndio kila kitu na kila wakisemacho ni kweli hata kama hakihakisi yaliyomo.
 
Wana vimaneno fulani vinavyothibitisha utumwa wao kwa wazungu ila tunabanana nao hv hv na wameanza kuelewa somo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom