Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Yani Mwalimu umeshindwa hata kuelewa hii Project na namna inavyopaswa kutekelezwa! Zitto kaibuka MSHINDI, alichopigania ni kuhakikisha watoto wakike wanapata elimu bila kujali changamoto za mimba. Kwenye taarifa ya WB imeeleza content ya hii project vizuri kuwa ni watoto kupata elimu bila kujali changamoto zozote (This project will support better quality secondary education, while helping make school a safer place where children can thrive, and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education). Hiki ndiyo kilikuwa kilio cha Zitto & watu wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZITTO KABWE AUMBUKA.

Kampeni yake chafu dhidi ya Tanzania yakwama.
_
Benki ya Dunia yaidhinisha Mabilioni ya fedha za kusaidia Elimu alizotaka Tanzania inyimwe.

Saa chache zilizopita Benki ya Dunia kupitia Bodi ya Wakurugenzi Watendaji ya Chama cha Maendeleo ya Kimataifa (IDA) imefanya maamuzi ya kihistoria ya kuruhusu mkopo wa Dola za Marekani Milioni 500 utolewe kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha elimu ya Sekondari baada ya mjadala mrefu uliochukua miezi zaidi ya mitatu.

Uamuzi wa Benki ya Dunia umezima kampeni ya kidhalimu iliyofanywa na Mwanasiasa mpuuzi Zitto Kabwe aliyeandika barua kwenda benki hiyo akitumia nembo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka Tanzania inyimwe mkopo huo bila kujali athari zake kwa wananchi hasa wanyonge na maskini.

Zitto Kabwe akishirikiana na mabeberu wanaomfadhili alifanya uharamia kwa kuchochea uongo kuwa Tanzania inakandamiza wanafunzi wa kike kwa kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito ilihali anajua kuwa sio kweli na kuna utaratibu ulio wazi wa watoto hao kupata elimu kupitia programu mbalimbali za Elimu ya Watu Wazima, Mpango wa Elimu kwa walioikosa na vyuo mbalimbali.

Hili ni pigo jingine baya sana kwa Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakiichonganisha na kuichafua Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Kitamaifa kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa bila kujali athari ambazo wananchi wanazipata kutokana na kuinanga Tanzania ama kukwamisha miradi mikubwa na washirika wa maendeleo.

Katika safari ndefu ya mjadala ambao ulianza tangu Januari mwaka huu wa 2020, Benki ya Dunia imepiga chini msimamo wa mabeberu waliotaka Tanzania inyimwe fedha hizo baada ya kuingizwa mkenge na Zitto Kabwe.

Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Zitto Kabwe na wafadhili wake walikuwa wanashupalia Tanzania inyimwe fedha hizo? Ukweli ni kwamba Zitto na wadhalimu wenzake hawakuzuia fedha hizo kwa sababu ya kupigania wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shule kama wanavyodai, bali walishupalia Tanzania isipewe fedha hizo baada ya msimamo wa Serikali ya Awamu ya Tano kukataa kukopeshwa fedha ambazo zingeingizwa nchi kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) na miradi ambayo haina matokeo kwa wananchi ili baadaye zitumike kwa maslahi ya siasa za upinzani na sio wananchi.

Kwenye hili, Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Jemedali Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli inastahili pongezi za dhati kwa msimamo thabiti usiyoyumba na ushindi mkubwa dhidi ya kibaraka Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakipiga tripu kwenda mabeberu hao kufanya kampeni ya kuiangamiza Tanzania eti wakitaka kuiondoa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.

Kongole Rais Magufuli, hongera Watanzania wote kwa ushindi huu mkubwa. Zitto Kabwe na washirika wake washindwe na walegee.

Sasa Tanzania itapata Dola za Marekani Milioni 500 sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1 na Bilioni 135 kwa ajili ya kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata elimu ya Sekondari, kuboresha mazingira ya elimu kwa wasichana na kuinua ubora wa elimu kwa wasichana na wavulana.

Mkopo huu ni wa gharama nafuu na sio fedha za bure. Watanzania watazilipa, lakini sasa watalipa fedha ambazo zinakopwa na kuelekezwa kuwasaidia mamilioni ya Watoto wa Tanzania na sio kwenda kwenye NGO na miradi ya kupitisha fedha zinazokwenda kwa wachumia tumbo akina Zitto Kabwe na washirika wake.

Tunaamini Serikali ya Tanzania itatoa mchanganuo wa fedha hizi zinakwenda wapi na zitawanufaishaje Wanzania.

Kila la kheri Watanzania na pole sana Zitto Kabwe kwa kuangukia pua katika mchazo huu mchafu. Tambua kuwa Mwenyezi Mungu husimama na wenye haki na katika hili amesimama na Watanzania wenye haki na Rais wao mpendwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli.

Taarifa hii haina uhusiano na siku ya Wajinga Duniani. Ni ukweli mtupu na inapatikana katika tovuti mbalimbali za Kimataifa. Waweza kuisoma hapa kwenye tovuti ya Benki ya Dunia yenyewe

New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys

Mwl. Damas Masele MPJ
Mkufunzi Mstaafu.
31 Machi, 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE

kumbe IMF na benki ya dunia sio mabeberu? Sikujua
 
Yani Mwalimu umeshindwa hata kuelewa hii Project na namna inavyopaswa kutekelezwa! Zitto kaibuka MSHINDI, alichopigania ni kuhakikisha watoto wakike wanapata elimu bila kujali changamoto za mimba. Kwenye taarifa ya WB imeeleza content ya hii project vizuri kuwa ni watoto kupata elimu bila kujali changamoto zozote (This project will support better quality secondary education, while helping make school a safer place where children can thrive, and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education). Hiki ndiyo kilikuwa kilio cha Zitto & watu wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu sijamuelewa baadhi ya vitu vingi
 
Ww acha hizo, Tz ni donor country, siyo maskini, ofcourse ww huwezi elewa sasa ila baadae kama Mungu atakujalia maisha utaelewa in near future! Tunaweza kuukataa kama tulivyoikataa misaada mingi mingine...soma historia rafiki uelewe!
Endelea kujidanganya na Jiwe wenu. Mtamaliza miaka 10 SGR haijafika hata Makutopora
 
FYI, huwa siandiki mambo kwa hisia kama mfanyavyo wengine especially watetezi wa mfumo! Kwamba ni "utamaduni wa Kitanzania" maana yake nini?! Taifa haliendeshwi kwa tamaduni bali kwa misingi iliyojiwekea!!

Tafuta online, au nenda pale Wizara ya Elimu waombe document titled:
Huo ni muongozo wa serikali kupitia Wizara ya Elimu ambao ulitolewa April 2009. Section 2.3 ya muongozo inatoa maelekezo kwa wazazi/walezi kwamba:-
  • Shall be counseled and guided by the school leadership on the pregnancy of the school girl;
  • Shall show empathy and accept to take care of the pregnant girl;
  • Shall be guided and counseled by the school leadership concerning maternal health of the pregnant schoolgirl;
  • Shall be informed and required to fulfill re-admittance requirements;
  • Shall be required to update the school leadership on the health condition during pregnancy and after birth; and
  • Shall be involved in deciding on which mode of education (Formal or informal) and school the pregnant girl would like to continue with, after giving birth.
Aidha, section 2.6 ya Muongozo unatoa maelekezo kwa serikali kwamba:-
  • Shall educate and sensitize the society/community on the importance of readmitting impregnated school girls;
  • Shall educate and sensitize the society/community on the process of readmitting impregnated school girls; and
  • Shall empower school leadership on the issue of readmission of pregnant school girls; and
  • Shall task the ward social welfare officers to monitor the health welfare of the impregnated school girls.
Huo ndio MWONGOZO halali ambao Magufuli anaukanyaga! Sasa wewe niwekee hapa huo utamaduni unaosema kwamba watoto wa kike wakipata ujauzito, ni marufu kuendelea na elimu rasmi kwa shule za serikali!!!
Kwanini uwatishe badala ya kuweka mikakati inayoeleweka kuhakikisha hakuna ujauzito?! Hivi unaweza kunieleza hapa serikali ina mkakati upi kuhakikisha watoto hawafanyi ngono za mapema au angalau hizo ngono salama?

Btw, kama kuwatisha mbona mimba bado zipo pale pale hata siku hizi ambapo watoto wanaanza shule mapema sana?
Unamaanisha Wizara ya Elimu hawana akili timamu, au?!

Ukweli ni kwamba, kama nilivyowahi kusema kwenye post moja wapo hapa jamvini, Mh. JPM ni mkurupukaji, na wala hafahamu misingi ya serikali mwenyewe!!

Hapa JPM alikuwa kama wewe tu kwa kuamini "kutimua shule wanaopata ujauzito ni utamaduni wetu" bila kufahamu mwaka 2009 serikali kupitia wizara ilitengeneza utaratibu wa kuhakikisha watoto wanopata ujauzito hawafukuzwi, bali wanakuwa suspended na kurudi tena shuleni unless kama ataamu mwenyewe kuendelea kwenye mfumo usio rasmi ambao Magufuli na wafuasi wake wanadhani ndo sheria inavyosema!Hoja ya Zitto kivipi?! Kwani Zitto anafanya kazi Wizara ya Elimu au alihusika kwenye kuandaa huo muongozo?

Btw, Wakopeshaji gani waliodharau hoja ya Zitto?! Hivi umesoma maelezo ya WB au unaongea tu?!

Kipengele kimoja cha taarifa ya World Bank kinasema:-Hiyo ndo kauli ya WB ambayo inaakisi sehemu ya mwongozo wa serikali nilioweka hapo juu!

Kwa maana nyingine, suala la wanafunzi kutimuliwa sio la kisera bali ni la JPM na watu wake!!!

Sehemu nyingine ya taarifa hiyo ya WB inasema:-Sasa wewe habari kwamba WB wamempuuza Zitto umezitoa wapi?!

Na labda nikujuze lingine! WB hawatatoa fungu lote kwa pamoja bali watatoa kwa awamu baada ya kuhakikisha serikali inatekeleza masharti waliyopewa, including kuwaacha watoto wajawazito kuendelea na shule kama mwongozo wa wizara unavyosema:-
Of the project funds, 96 percent (US$480 million) are subject to (a) achievement of agreed results verified by an Independent Verification Agent subject to the World Bank’s approval; and (b) submission of evidence that the government has already spent an equivalent amount on eligible expenditures in the secondary education sector. Assuming that these conditions are met each year, the disbursement schedule, is as follows:
  • FY 2021 - US$72.47 million
  • FY 2022 - US$101.10 million
  • FY 2023 - US$114.73 million
  • FY 2024 - US$98.52 million
  • FY 2025 - US$85.37 million
  • FY 2026 - US$27.81 million
Na sio tu kwamba serikali watakuwa wanasema "tumetekeleza kwa kiwango fulani bali hadi pale Independent Verification Agent atakapothibitisha!!!Eti mmesikia wenyewe, achana na hao wengine; niambie wewe ulimsikia wapi kama sio unatumia nukuu za propaganda za Lumumba!!

Ambacho alisema Tundu Lissu, ni hiki hapa chini:-



Hiyo video ni ya dakika 3:43 lakini MATAGA kwa kujua Wa-TZ hamna utamaduni wa kutafuta ukweli, waka wanaongelea maeleo ya dakika 2 za mwanzo na wakawaficha zaidi ya dakika 1 unusu nyingine zilizobaki!

Sasa pamoja na kunitolea povu kwamba eti nimetumwa kuandika uzushi, kwa mwenye akili timamu hapa atajua ni nani aliyetumwa kuleta uzushi kati yangu na wewe! Yote niliyosema hapo kabla nimekuwekea ushahidi, weka hapa ushahidi wa maelezo yako!!!

Hao waliohusika kuandaa muongozo huu wanatakiwa wajitathmini kama kweli hizi sio akili za kushikiwa!
Unaongea kana kwamba hao waandaa miongozo ni malaika vile, mengine huwa ni mambulula tu na hupelekea hata kuharibu mfumo mzima wa elimu! Hivi mmesahau yule waziri wa elimu mwenye asili ya kikenya akishirikiana na wenzie walivyoikoroka elimu ya tz kipindi chao! Majitu mengi yakichaguliwa kukaa na kutengeneza miongozo huwa yanakimbilia posho tu! Na hata nafasi hizo muda mwingine huwa zinatolea kwa upendeleo, wanaachwa vipanga yanapelekwa kujadiri mambulula na matokeo yake ndio kama haya...upuuuzi tupu!
 
Ndio tushanywea hivyo!Kenya na Uganda hawawazuii watoto kurudi shule wanapojifungua,hakuna ushahidi wowote wa madhara wanayoleta kuchanganyika na wenzao wa umri wao!Zinabaki tu hisia za Jiwe!Team ya CCM ilikaa na kuandaa sera na ilani za CCM 2015,moja ya mambo waliyoahidi ni pamoja na hilo la watoto watakapata ujauzito watapewa fursa ya kurydi shule katika mfumo rasmi kumalizia masomo yao!Hata Mama Samia Suluhu wakati mmoja akihutubia alizungumza hayo kabla ya siku chache baadae JPM kuja na msimamo wake!So suala hilo la kuondoa kabisa watoto wa aina hiyo kwenye mfumo rasmi ni mawazo ya JPM na si CCM!Hapa ndio tunaona madhara ya Rais wa nchi kuwa kichwa ngumu na kutoshaurika au kusikiliza wengine!
Mie nakubaliana na mawazo na msimamo wa dhati wa Magu ktk hili! Haifai kuwachanganya wazazi na wanafunzi, haijakaa sawa hata kidogo hii! Walioandaa upuuzi huo wajitathmini vichwa vyao!
 
Hivi ndivyo vinavyowafaa wazazi(wanaopata mimba shuleni) ili waweze kusapoti watoto wao na wao pia! Siyo kuwarudisha kwenye mfumo rasmi wa primary na secondary school!
Jedwali Na. 18: Mafunzo/Stadi katika kila Chuo
Na​
Mikoa​
Wilaya​
Chuo​
Stadi Zilizopo​
Stadi za Ziada​
1​
ArushaMonduliMonduli FDCUseremala, Uashi, Ushoni, Udereva, Kompyuta, Kilimo, Ufugaji, Upishi na Lishe na Ufundi ChumaUfundi Chuma, Ufundi Magari, Udereva, Ujasiriamali, Ushonaji, Useremala, Uashi, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magari, Kilimo na Ususi.
2​
Dar es SalaamIlalaArnautogluFDCBiashara, Umeme na Ufundi wa MagariUfundi Viatu, Kompyuta, Udereva, Ufundi Magari, Ufundi Bomba, Uchomeleaji na Ufundi Rangi
3​
DodomaMpwapwaChisalu FDCUseremala, Maarifa ya Nyumbani na KilimoKompyuta, Udereva, Ufugaji,Ufundi Magari, Secretatarial, Ufundi Bomba, Uchomeleaji na Ufundi Rangi
KondoaMunguri FDCUseremala, Uashi,ushonaji, Upishi na lisheUfundi Magari, uchomeleaji, Umeme wa Majumbani, Umeme Jua, Udereva, Kompyuta, Uhazili, Ufundi Bomba, Uchomeleaji na Ufundi rangi
4​
KageraBiharamuloRbondo FDCUshonaji (Sayansi Kimu), Uashi, Useremala na Ufundi Chuma.Kilimo, Ufugaji, Ujasiliamali, Kompyuta, Electronics, Umeme wa Majumbani, Uungaji Vyuma, MV Mechanics, Udereva, Ujenzi Barabara, Kompyuta na Upishi.
Bukoba (M)Bukoba RVT&SC--
Bukoba (V)GeraFDCS/Kimu, Useremala, Uashi, Mafunzo ya muda mfupi – UKIMWI, Kilimo na Uchaguzi.Umeme wa Majumbani, Uchomeleaji, Kompyuta, Electronics, Usindikaji, Umeme wa Magari, Mv Mechanics, Udereva, Kupiga Chapa, Kilimo na Catering.
NgaraNgara FEDCUshonaji, Uashi, Useremala, Ufundi magari, Udereva, Bidhaa za ngozi, mafunzo ya UelewaUshonaji, Uashi, Uchomeleaji vyuma, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Electonics, Usindikaji Mazao, Ushonaji Bidhaa za Ngozi, Useremala, Kompyuta, Ufundi Bomba, Upishi, Ufundi Rangi, Kilimo na Ufugaji.
5​
KilimanjaroMoshi (V)Msinga FDCUseremala, Uashi,ufundi magari, Ushonaji, Upishi na Lishe, Umeme wa Majumbani, Udereva, Ufundi Bomba, Kompyuta, Kilimo na UfugajiUmeme, Ufundi Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Ufundi Rangi, Electronics na Uchimbaji Madini, Userermala, Uashi, Umakenika, Udereva, Kilimo na Ufugaji
RomboMamtukuna FDCUseremala, Uashi, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Upishi na Lishe, Ushonaji na KompyutaUfundi Magari, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Uashi, Udereva, Uafundi wa Friji, Ufundi Umeme wa Majumbani, Upishi na Lishe, Kilimo na Ufugaji
SameSame FDCKompyuta, Udereva, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Useremala, Ushonaji.Umeme, Ufundi Magari, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Uchomeleaji, Udereva, Umakenika wa Kilimo, Electronics, Ufundi Friji na Usanii
6​
KigomaKasuluKasulu FDCKilimo, Ufugaji, Usremala, Uashi, Ushonaji (S/Kimu), Umakenika.Computer Maintenance, ICT, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kilimo cha Mitambo na Matengezo yake, Ushonaji, Uashi, Kilimo cha Matunda, Ufundi Bomba, Ufundi Magari, Uashi, Useremala, Uungaji Vyuma, Upishi na Uhazili.
KibondoKibondo FDCUashi, Umakanika, Upishi, Kilimo na Ushonaji.Useremala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Kompyuta, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Utengenezaji wa Majokofu, Utengezaji wa Barabara, Uhazili, Ufundi Magari, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Ufundi Rangi na Uchoraji, Udereva na Ufundi Viatu.
KigomaKihinga FDCUshonaji, Uashi, Umakanika, Upishi, na Kilimo.Useremala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Kompyuta, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Utengenezaji wa Majikofu, Utengezaji wa Bara bara, Mafunzo ya Uelewa, Ufundi Magari, Uungaji Vyuma, Umeme, Kompyuta, Lishe na Upishi, Ufundi Bomba na Udereva.
7​
IringaKiloloIlula FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Ufumaji, Kilimo cha mboga, Ufugaji wa ng’ombe na ComputerUfundi magari, Mafunzo ya Computer, Udereva, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba na Uungaji Vyuma.
NjombeNjombe FDCUseremala, Uashi, Umeme, Ufundi magari Ushonaji,Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Userermala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Uungaji Vyuma na Kompyuta.
NjombeUlembwe FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umeme majumbani.Umeme wa Majumbani, Ufundi wa Magari, Uungaji Vyuma, Udereva, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Kompyuta na stadi zilizopo sasa ziendelee,
8​
LindiLindi (V)Chilala FDCUseremala, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi.Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji na Kompyuta.
KilwaKilwa Masoko FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi.Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Uungaji Vyuma na Ujasiriamali,
9​
ManyaraMbuluTango FDCUseremala na UshonajiUserermala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Umeme, Ufundi Umeme mbadala, Ufundi Magari, Udereva na Ujasiriamali
10​
MaraMusomaMusoma FDCUashi, Kilimo, Upishi, Ushoni na UseremalaKilimo; Udereva; Uvuvi; Utengenezaji wa Maboti/Mashua; Useremara; Uashi/Ujenzi; Ushonaji; Umeme; Ufundi Magari, Upishi, Uendeshaji Canteen, Hotel Management, Umeme wa Magari, Udereva na Kompyuta
TarimeTarime FDCUshonaji, Useremala, Umeme na Uashi.Computer, Udereva, Kilimo, Mechanics, Ujasiliamali, Useremala, Umeme, Udereva, Kompyuta na Uchomeaji Vyuma.
BundaKisangwa FDCUseremala, Ushonaji, Upishi na Uashi.Umeme, Mechanics, Udereva, Ufundi Bomba, Kilimo, Useremala, Welding, Ufugaji, MV Mechanics na Hotel Management.
11​
MtwaraMasasiMasasi FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Umeme wa majumbani, Upishi na Elimu ya Sekondari.Usindikaji, Ujasiliamali, Udereva, Uchomeleaji, Hotel Management. Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Uungaji Vyuma na Kompyuta.
MtwaraMtawanya FDCUseremala, Ujenzi, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Uraia na UderevaUmeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba na Kompyuta.
NewalaNewala FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Magari, Kilimo, Umeme wa majumbani, UchomeleajiUdereva, Kompuyta, ICT, Hotelia, Userermala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Uungaji Vyuma, Electronics na stadi zote zilizopo sasa ziendelee.
12​
MorogoroMorogoroBigwa FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Upishi na Lishe, Umeme wa Majumbani, Ufundi Magari na Elimu ya Chekechea.Uchomeleaji, Ujasiliamali, Usindikaji wa Vyakula, Udereva, Upishi, Upambaji, Uhifadhi wa Vyakula, Ufundi Magari, Uashi, Kompyuta, Kilimo na Ufugaji
KilosaKilosa FDCUseremala, Ushonaji, Kilimo na UsusiKilimo cha Matunda, Uashi, Uchomeleaji, Electronics, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji na Umeme.
IfakaraIfakara FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Kilimo, Mifugo na Sanyansi KimuUmeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Kilimo, Umeme na stadi za sasa na elimu ya sekondari ziendelee.
UlangaSofi FDCUashi, Useremala, Ushonaji, Kilimo, Ufugaji, Sayansi Kimu na Upishi.Useremala, Ushonaji, S/Kimu, Kilimo, Ushonaji, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magri, Ususi na Ujasiriamali.
13​
MwanzaMaswaMalya FDCKilimo, Ufugaji, Useremala, Ushonaji, Uashi na Welding.Mechanics, Computer, Udereva, Upishi, Umeme, Uungaji Vyuma, Kilimo, Ufugaji, Kompyuta na Catering.
MisungwiMisungwi CDTI--
Mwanza (M)Mwanza RVT&SC--
Mwanza (V)Karumo FDCKilimo, Useremala, Ushonaji na UashiUmeme, Udereva, Uvuvi, Ushonaji, Uashi, Useremala, Uungaji Vyuma, Umeme, Ufundi Magari, Utengenezaji bidhaa za Ngozi na stadi za sasa ziendelee.
SengeremaSengerema FDCWelding, Hifadhi za Mazao, Mazingira, UKIMWI, Kilimo na Udereva.Ujasiliamali, Usindikaji mazao ya Kilimo, Kompyuta, Uashi, Uvuvi, Umeme, Kuunga Vyuma, Uashi, Useremala, Ushonaji, Udereva, Makenika, Mama Lishe, Kilimo na Ufugaji.
14​
MbeyaRungweKatumba FDCUseremala, Umeme, Uashi, Ushonaji, Hotel Management, Biashara, UKIMWI, KilimoUmeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Uashi, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Electronics na stadi za sasa ziendelee.
Mbeya (M)Nzovwe FDCUashi, Useremala, Ushonaji na Kilimo.Kompyuta,Elctronics,Umakenika, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Udereva, Upishi na Hotel Managaement, Uashi, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Kilimo, Ususi, S/Kimu na Ujasiriamali
15​
PwaniKibahaKibaha FDCUseremala, Uashi, Umeme Majumbani, Ufundi Chuma, Ufundi Magari, Udereva, Upishi, Menejimenti ya Hotel, Ushonaji, Kilimo, mifugo na Ufundi BombaUfundi Viatu, Ufundi Magari, Kompyuta, Secretarial, Uchomeleaji na Ufundi Rangi na stadi za sasa ziendelee
KisaraweKisarawe FDCKompyuta, Udereva, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Useremala na UshonajiUmeme, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Udereva, Ufundi Magari, Uhazili, Uchomeleaji na Ufundi Rangi
IkwiririIkwiriri FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi.Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Udereva, Upishi, Hotel Management, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Uungaji Vyuma, Electronics na Umeme Jua na stadi za sasa ziendelee.
16​
TaboraSikongeSikonge FDCUashi, Useremala, Ushonaji na Kilimo.Kompyuta, Elctronics, Umakenika, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Udereva, Upishi na Hotel Managaement, Uashi, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magri, Kilimo na Ususi.
UramboUrambo FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi.Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Kompyuta na stadi za sasa ziendelee.
NzegaNzega FDCUseremala, Uashi, Ushoni, Udereva, Kompyuta, Ufugaji na KilimoUmeme, Ufundi Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Ufundi Rangi, Electronics, Uchimbaji Madini, Uashi, Umakenika, Ufugaji na Umeme
NzegaMwanahala FDCUseremala, Uashi, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Ushonaji, Upishi na Lishe.Uumeme, Ufundi Magari, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Uashi, Udereva, Ufundi wa Friji, Upishi na Uendeshaji wa Migahawa
17​
TangaHandeniHandeni FDCUshonaji, Useremala, Upishi na Lishe, Uashi, Menejimenti ya Hotel, Umeme wa Majumbani, Ufundi Magari na KompyutaUjasiriamali, Kompyuta, Uchomeleaji, Udereva, Uhandisi wa Kilimo, Electronic, Ufundi Friji na Usanii
MuhezaKiwanda FDCUseremala, Uashi, Upishi na Lishe, Ushonaji na Kilimo, Ufugaji na UjasiriamaliUdereva, Ufundi Magari, Uashi, Ufundi wa Friji, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Upishi na Uendeshaji wa Migahawa.
LushotoMabughai CDTI--
18​
RukwaMpandaMsaginya FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Mifugo, Ujasiliamali.Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, na Hotel Management, Userermala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Electronics na zilizopo ziendelee.
NkasiChalla FDCUashi, Useremala, Ushonaji na Kilimo.Useremala, Uashi, Ushonaji, Kilimo, Umeme na Computer, Ushonaji, Useremala, Uashi, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magri, Kilimo, Ususi S/Kimu na Ujasiriamali.
19​
RuvumaMbingaMbinga FDCUseremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda MfupiUmeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Electronics na zilizopo sasa ziendelee.
Songea (V)Muhukuru FDCUashi, Useremala, Ushonaji Kilimo, Ufundi Magari, Umeme na MifugoKompyuta, Elctronics, Umakenika, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Udereva, Upishi, Hotel Managaement, Ushonaji, Uselemala, Ufugaji, Uashi, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Kilimo, Ususi, S/Kimu na Ujasiriamali.
TunduruNandembo FDCUseremala, Uashi na UshonajiKilimo, Ufugaji, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji na stadi zilizopo ziendelee.
20​
SingidaSingidaSingida FDCUseremala,Uashi, umeme wa nyumbani,ushoni, na upishi na lisheUfundi Magari, Udereva, Kompyuta, Menejimenti ya Hoteli na Utalii, Userermala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Ufugaji na Umeme
IrambaMsingi FDCUseremala, Upishi, Ushonaji, Uchomeleaji Chuma.Kilimo, Ushirika, Ufugaji wa nyuki na Urinaji wa asali, Upishi na Lishe, Udereva, Ufundi Magari, Uashi, Udereva, Ufundi wa Friji, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Upishi na Uendeshaji wa migahawa.
21​
ShinyangaShinyaga (M)Buhangija FDCUshonaji, Upishi, Ujasiliamali, Useremala, Umeme Majumbani, Uchomeleaji, Stadi za Maisha na Masomo ya Jioni.Mitambo na Magari, Ufundi Bomba, Udereva, Uashi, Kompyuta, Upambaji, Usindikaji Mazao, Umeme wa Magari, Umeme, Useremala, Ushonaji, Upishi, Uungaji Vyuma, Uashi, Kilimo, Ufugaji na Hotel Management na stadi za sasa ziendelee.
GeitaMwanva FDCUmeme wa Majumbani, Uashi, Useremala, Umakenika, Kompyuta, Udereva, Kilimo, Ushonaji na Welding.Ufundi Bomba, Ujasiliamali, Umeme wa Mgari, Electronics, Fitter Mechanics, IT, Ushonaji, Useremala, Uashi, Uhazili, Kompyuta, Ufundi Magari, Uungaji Vyuma, Umeme Majumbani, Ufundi Rangi, Uchoraji, Kilimo, Udereva na Ufundi Viatu.
MalampakaMalampaka FDCKilimo, Ufugaji, Useremala, Uashi, Ujasiriamali.Udereva; Kilimo; Ufugaji; Welding; Fitter Mechanics na Mv Mechanics, Ushonaji, Useremala, Uashi, Umeme, Mv Mechanics, Udereva, Catering & Hotel Management na Computer Applications
BariadiBaradi FDCUseremala, Kilimo, Uashi, Ushonaji, Udereva, Ujasiliamali, Elimu ya Biashara, Elimu ya Jinsia, Elimu ya UKIMWI na Uraia.Kompyuta, Umakenika, Ufundi Chuma, Uchmeleaji, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Electronics, Udereva, Ufundi Magari, Useremala, Ushonaji, Upishi, Kilimo, Uungaji Vyuma, Uchongaji Vyuma, Ufundi Bomba, Uchoraji na Ufundi Rangi.


Ambatisho Na. 1: Mafunzo yanayotolewa katika Vyuo vya Ufundi Stadi nchini

S/NTraining AreaOccupations
1Building Construction1.1 Masonary & Bricklaying
1.2 Capentry & Joimery
1.3 Plumbing & Pipe Fitting
1.4 Painting and Decoration
2Metal Work2.1 Welding and Fabnrication
2.2 Blacksmithing
2.3 Fitter Mechanics Work
3General Maintenance and Mechanics3.1 Motor Vehicle Mechanics
3.2 Agro – Mechanics
3.3 Motor Cycle/Bicycle Maintenance
4Electrical Installation4.1 Domestic Electrical Inatallation
4.2 Telecommunications
5Clothing and Textile5.1 Tailoring
5.2 Tie and Dye
5.3 Batik
5.4 Handloom Weaving
6Agriculture and Food Processing6.1 Crop Production
6.2 Horticulture
6.3 Floriculture
6.4 Meat Processing Technology
6.5 Mushroom Production
6.6 Dairy Production
6.7 Wine Making
6.8 Poultry Production
6.9 Vegetable Production
6.10 Vegetable Processing
6.11 Animal Husbandry
7Hotel & Services7.1 Food Production
7.2 Food & Beverage Services
7.3 House Keeping
7.4 Front Office
 
Hao waliohusika kuandaa muongozo huu wanatakiwa wajitathmini kama kweli hizi sio akili za kushikiwa!
Unaongea kana kwamba hao waandaa miongozo ni malaika vile, mengine huwa ni mambulula tu na hupelekea hata kuharibu mfumo mzima wa elimu! Hivi mmesahau yule waziri wa elimu mwenye asili ya kikenya akishirikiana na wenzie walivyoikoroka elimu ya tz kipindi chao! Majitu mengi yakichaguliwa kukaa na kutengeneza miongozo huwa yanakimbilia posho tu! Na hata nafasi hizo muda mwingine huwa zinatolea kwa upendeleo, wanaachwa vipanga yanapelekwa kujadiri mambulula na matokeo yake ndio kama haya...upuuuzi tupu!
Hivi povu lote hilo la nini?!

Huyo mtoto aliyepata mimba akiruhusiwa kuendelea na shule wewe au familia yako mnapungukiwa na nini?!

Ni kwamba una roho mbaya na hutaki kuona watoto wa maskini wakifanikiwa au hayo mapovu ni kwa sababu unataka kuendelea kumtetea Magufuli ambae hata mwenyewe na serikali yake wameshaufyata?!

Yaani upo tayari kuona watoto wa maskini wanaishia kuuza maandazi ili mradi tu Magu aonekane alikuwa sahihi ingawaje ni kinyume ni miongozo ya serikali?

Hivi kwa akili yako kuna mtoto wa mwenye nacho anayeweza kupata mimba na kuacha shule kifala namna hiyo wakati wazaz wake wana uwezo wa kwenda kuichoropoa hiyo mimba ikibidi hata nje ya nchi?!

Au hata kama wasipochoropoa, unaamini msimamo wa Magu wa kutaka wanafunzi wasirudi serikalini wao utawaathiri wakati uwezo wa kusomesha private wanao?!

Yaani upo tayari kuona kizazi cha maskini kinaendelea kuwa maskini kwa ajili ya kumtetea Magu?!

Yaani bila aibu unalinganisha suala la Mungai na suala la kumpa mtoto second chance?! Inaonekana uamuzi wa Mungai uliathiri elimu... huyo mtoto akipewa fursa ya kuendelea elimu inaathirika kwa namna gani hadi ufananishe na suala la Mungai?

Again, wewe kama wewe unapungukiwa na nini mtoto kama huyo akiendelea na masomo?!

Familia yako itapungukiwa na nini?

Kama una watoto, watoto wako watapungukiwa hao mabinti wakipewa second na ikibidi hata third to tenth chance?! Utapungukiwa na nini?!
 
Hivi ndivyo vinavyowafaa wazazi(wanaopata mimba shuleni) ili waweze kusapoti watoto wao na wao pia! Siyo kuwarudisha kwenye mfumo rasmi wa primary na secondary school!
Utamwaga sana mapovu lakini haitakusaidia kitu manake uamuzi ndo umeshapita!!! Yaani ulivyo-mind utadhani hiyo pesa unatoa wewe; aaaaaargh!! Yaani yote hiyo kwa sababu ya siasa... yaani povu lote hilo ni kwa sababu hutaki ionekane Magufuli alikurupuka, na kwa sasa ameshaufyata!!!
 
Hivi povu lote hilo la nini?!

Huyo mtoto aliyepata mimba akiruhusiwa kuendelea na shule wewe au familia yako mnapungukiwa na nini?!

Ni kwamba una roho mbaya na hutaki kuona watoto wa maskini wakifanikiwa au hayo mapovu ni kwa sababu unataka kuendelea kumtetea Magufuli ambae hata mwenyewe na serikali yake wameshaufyata?!

Yaani upo tayari kuona watoto wa maskini wanaishia kuuza maandazi ili mradi tu Magu aonekane alikuwa sahihi ingawaje ni kinyume ni miongozo ya serikali?

Hivi kwa akili yako kuna mtoto wa mwenye nacho anayeweza kupata mimba na kuacha shule kifala namna hiyo wakati wazaz wake wana uwezo wa kwenda kuichoropoa hiyo mimba ikibidi hata nje ya nchi?!

Au hata kama wasipochoropoa, unaamini msimamo wa Magu wa kutaka wanafunzi wasirudi serikalini wao utawaathiri wakati uwezo wa kusomesha private wanao?!

Yaani upo tayari kuona kizazi cha maskini kinaendelea kuwa maskini kwa ajili ya kumtetea Magu?!

Yaani bila aibu unalinganisha suala la Mungai na suala la kumpa mtoto second chance?! Inaonekana uamuzi wa Mungai uliathiri elimu... huyo mtoto akipewa fursa ya kuendelea elimu inaathirika kwa namna gani hadi ufananishe na suala la Mungai?

Again, wewe kama wewe unapungukiwa na nini mtoto kama huyo akiendelea na masomo?!

Familia yako itapungukiwa na nini?

Kama una watoto, watoto wako watapungukiwa hao mabinti wakipewa second na ikibidi hata third to tenth chance?! Utapungukiwa na nini?!
Sasa nani anayemwaga povu kati yangu na ww 😂 😂 😂 😂 😂 !
Sijasema wasiende shule, bali waendelee na shule ktk utaratibu mbadala! Na kwa taarifa yako, wanaopata mimba sio watoto wa maskini tu! Hiyo unaisema roho mbaya sijui, utetezi wa Magu...hayo yote hayana mashiko! Nachosema ni makosa makubwa sana kuwachanganya wanafunzi watoto pamoja na wazazi kusoma pamoja! Hata mazingira siyo rafiki tena kwa wazazi kusoma kupitia mfumo rasmi! Ipo mifumo mbadala ambayo wazazi hao wanaweza pitia na kufikia malengo yao! Kinachotakiwa ni kuiboresha mifumo mbadala! Sijui kwa nini !nang'ang'ania tu wazazi wajichanganye na watoto? Na hamuoni madhara ya taarifa mtakayokuwa mnatuma kwa watoto wa shule!
 
Mie nakubaliana na mawazo na msimamo wa dhati wa Magu ktk hili! Haifai kuwachanganya wazazi na wanafunzi, haijakaa sawa hata kidogo hii! Walioandaa upuuzi huo wajitathmini vichwa vyao!
Usiseme wazazi na wanafunzi,sema wanafunzi waliozaa na ambao hawajazaa!
Halafu tumia tafiti,je kuna madhara gani kufanya hivyo?Sio kuendeshwa kwa hisia tu!
 
Tutaupitia upya mchako mzima, ili kurudisha maadili mashuleni, haya ndio madhara ya kuwaachia mataga na mapoyoyo kutunga sera na taratibu zinazoathiri taifa!
Tutafanya referendum soon! Tuone kama maamuzi haya yanakubarika na watz waliowengi au kuna majuha wachache walikaa na kutusukumia utaratibu wa kipuuzi! Kwa kuwaachia watu wa sampuli hii kufanya maamuzi yanayoathiri taifa zima ipo siku mtakuja jikuta mnalazimishwa kuukubali ushoga na kuuheshimu!
Utamwaga sana mapovu lakini haitakusaidia kitu manake uamuzi ndo umeshapita!!! Yaani ulivyo-mind utadhani hiyo pesa unatoa wewe; aaaaaargh!! Yaani yote hiyo kwa sababu ya siasa... yaani povu lote hilo ni kwa sababu hutaki ionekane Magufuli alikurupuka, na kwa sasa ameshaufyata!!!
 
Usiseme wazazi na wanafunzi,sema wanafunzi waliozaa na ambao hawajazaa!
Halafu tumia tafiti,je kuna madhara gani kufanya hivyo?Sio kuendeshwa kwa hisia tu!
Acha upuuzi, ww umefanya utafiti gani wa madhara yatakayotokea tukiamua kutekeleza upuuzi huo!
Eti usiseme wazazi, kwani mtu aliyezaa huitwaje? Hebu toa upuuzi wako, hao ni wazazi wanafunzi, na wale ni watoto wa shule! Huwezi kuwaweka pamoja bika kufundishana elimu nyingine hapi shule!!
 
Utamwaga sana mapovu lakini haitakusaidia kitu manake uamuzi ndo umeshapita!!! Yaani ulivyo-mind utadhani hiyo pesa unatoa wewe; aaaaaargh!! Yaani yote hiyo kwa sababu ya siasa... yaani povu lote hilo ni kwa sababu hutaki ionekane Magufuli alikurupuka, na kwa sasa ameshaufyata!!!
Whether namtetea Magu kwa jinsi ufahamu wako ukutumavyo au naelezea mambo ambayo uwezo wako kwa sasa ni mdogo sana kuelewa, hayo siyo muhimu kwa sasa! Sina tatizo na hiyo fedha, ninatatizo na future ya watoto wa kike nchini ukitekeleza utaratibu unaowaonyesha kutokuwa na tangible consequences za kubeba mimba kama kupoteza nafasi ya mfumo rasmi wa shule, ukiacha yale yanayoweza kumuathiri kibiologia!
Sitaki hata kuwaza kizazi gani tutakachokuwa tunatengeneza(kizazi cha watoto wazazi)
 
Benki ya Dunia imepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola millioni 500M sawa na Tsh Trillion 1.3 ambao ulisitishwa Januari 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kupinga mchakato wa upitishwaji wake.

Taarifa za kuahirishwa kwa kura hiyo ziliungwa mkono na Wanasiasa na wanaharakati wakiitaka Benki hiyo isitoe mkopo huo kwa Serikali kutokana na kile walichokiita kuwa ni sera na sheria ya elimu ya kibaguzi.

Mkopo huu utaenda kuongeza ufanisi kwenye sekta ya elimu ambayo imepitia mapinduzi makubwa miaka 4 iliyopita, ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa Elimu bure Mpaka Sekondari
Mkopo huu utaenda kuongeza ufanisi kwenye sekta ya elimu ambayo imepitia mapinduzi makubwa miaka 4 iliyopita, ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa Elimu bure Mpaka Sekondari.

==========
Habari kwa undani:

WASHINGTON D. C. March 31, 2020
– The World Bank’s Board of Executive Directors today approved a credit from IDA, the World Bank’s fund for the poorest countries, which will enable millions of young Tanzanians to access and complete secondary education in safer and better learning environments.

The $500 million Secondary Education Quality Improvement Project (SEQUIP) will directly benefit about 6.5 million secondary school students by strengthening government-run schools and establishing stronger educational pathways for students who leave the formal school system.

SEQUIP uses a disbursement mechanism that is phased and releases funds in tranches only when previously agreed results have been achieved. These include increasing access to schools, improving education quality for all public secondary education options, and supporting more children to re-enter the formal public system if they drop out.

Every child in Tanzania deserves a good education, but thousands are denied this life-changing opportunity each year. This project puts the country’s young people front and center; it also dedicates two-thirds of its resources to better and safer learning environments for girls,” said Mara Warwick, World Bank Country Director for Tanzania. She added, “This is an important step in addressing the challenges that Tanzania’s children face throughout their education. The World Bank will continue our dialogue with the government on broader issues concerning equal treatment of schoolchildren.”

Tanzania’s Fee Free Basic Education Policy has led to more children entering school: primary enrollment rose from 8.3 million to 10.1 million between 2015 and 2018, while secondary enrollment increased from 1.8 million to 2.2 million. But despite better access, the secondary education system suffers from low quality and high dropout rates. Nearly 60,000 students (30 percent) fail to complete their schooling each year, and children are not learning enough, particularly in mathematics and science, due to a lack of skilled and motivated teachers, large class sizes, and a poor learning environment. There is also a large gender gap in upper secondary school enrollment, as this learning environment has more effect on girls and their performance in exams.

“Tanzania, like many countries around the world, is suffering from a learning crisis, where children are either not in school, or are in school but not learning,” said Jaime Saavedra, Global Director for Education for the World Bank. “Of 100 children who start school in Tanzania, less than half will finish primary and only three will complete their upper secondary schooling. This is a crisis. This project will support better quality secondary education, while helping make school a safer place where children can thrive, and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education.”

Over the past two years, about 300,000 children, half of them girls, have been unable to continue their lower secondary education due to insufficient space in public schools. In addition, an estimated 5,500 Tanzanian girls who are pregnant drop out every year. SEQUIP has been designed to enable more adolescent girls and boys to transition to upper secondary education. It gives pregnant girls, young mothers, and other vulnerable children who leave school early the possibility to return to the formal system and complete their education. The project tackles the issues facing pregnant girls with an approach informed by civil society organizations and NGOs, in Tanzania and around the world.

SEQUIP’s design strives to give pregnant girls and young mothers a better chance to complete their education,” said Caren Grown, Senior Director of the Gender Group at the World Bank. “The Bank has stepped up its work to create a new generation of education programs that emphasize safe school environments for girls and boys, including measures that reduce gender-based violence, corporal punishment, bullying, and other forms of violence in and around schools. It gives girls better quality choices and opportunities for completing their secondary education.

The project will be implemented under the Bank’s new Environmental and Social Framework; the government has committed to offering all stakeholders opportunities to engage in consultations during project implementation and to supporting construction of school infrastructure that is safe and built to good environmental and social standards. Citizen engagement in the project will be enhanced through civil society input and strong mechanisms to redress grievances.

The population of secondary education students in Tanzania could double to 4.1 million by 2024. The five-year SEQUIP operation will help address this demand through four components, with disbursement of funds linked to clearly defined, measurable, and independently verified results through four components.

Component 1: Empowering girls through secondary education and life skills. The project aims to improve access to safe secondary education in schools and alternative education centers and to help girls continue and complete this schooling. It aims to help 900,000 more girls attend secondary school.

Component 2: Digitally-enabled effective teaching and learning. The project will introduce digital technology to facilitate math and science teaching and improve learning and teacher efficiency. It aims to improve the quality of secondary school teaching and learning environments.

Component 3: Reducing barriers to girls’ education by facilitating access to secondary schools. The project will support government efforts to expand the number of secondary school places, reduce the distance between a student’s home and her school, and ensure that schools offer safe and good-quality learning environments. This component will also ensure that adequate funding is available as secondary school enrollment expands.

Component 4: Project coordination, monitoring, and evaluation. The project will help reinforce existing capacity, inform education planning and policy decision-making, and implement key activities. Parent-teacher associations and school boards will be trained for close tracking and support to at-risk students, especially girls.

The SEQUIP operation was redesigned and approved following an extensive dialogue between the World Bank and the government of Tanzania. The increase from the initial project funds is due to two factors: first, the increase of children who are expected to enroll in secondary school would have made it difficult to achieve the goals of the project. Second, the stronger emphasis on girls’ education, which translates into two thirds of funds going exclusively to girls, requires more funds to focus on preventing drop-outs and enabling re-entries.

Source: New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys
Marekani (US) yaiasa Benki ya Dunia: "Tanzania isipewe mkopo wa maendeleo ya elimu kwa wakati huu, bado kuna masuala yanahitajika kuwekwa sawa kwanza" - JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Acha upuuzi, ww umefanya utafiti gani wa madhara yatakayotokea tukiamua kutekeleza upuuzi huo!
Eti usiseme wazazi, kwani mtu aliyezaa huitwaje? Hebu toa upuuzi wako, hao ni wazazi wanafunzi, na wale ni watoto wa shule! Huwezi kuwaweka pamoja bika kufundishana elimu nyingine hapi shule!!
Kenya na Uganda wanawaruhusu,kuna madhara gani yametokea?
Kuzaa hakuwaondolei utoto wao,acha upuuzi!
 
Changa la Macho, hii ndio kuingizwa chaka la miba makalamata
Mnajua RIBA ni kiasi gani?
Hawa World Bank NI WAJANJA WA DUNIA HII
CHOO CHA KIKE
 
Back
Top Bottom