Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Jambo jema ni kuwa wale waliokuwa wakitaka wanafunzi waliopata mimba wakiwa mashuleni, wapate nafasi nyingine tena ya kusoma, wameshinda.

Taarifa ya World Bank imesema wazi kuwa miongoni mwa watakaonufaika ni pamoja na wale walioondoka kwenye mfumo rasmi wa shule za serikali.

Kauli ya Rais kuwa aliyepata mimba akiwa shuleni hawezi kusoma tena, imefutwa. Sasa nao watapata elimu. Hatuungi mkono mimba zisizo na utaratibu, na hasa za wanafunzi. Lakini kwa sababu tumesema kuwa mwanafunzi ni mtoto, na anayefanya naye mapenzi, amembaka, huwezi kumwadhibu aliyebakwa bali unamwadhibu mbakaji.

Wasichana walioanguka na kupata mimba wakiwa mashuleni, watapata nafasi ya kusoma tena, na wabakaji wataendelea kuadhibiwa.

Haikuwa sahihi kusema binti mwanafunzi aliyepata mimba asisome. Huyu amekosewa. Afunzwe, arudishwe masomoni. Tunao watu wengi wanafanya makosa mbalimbali lakini baada ya makosa yao, hatuwaondolei fursa zao za kujiendeleza.

Hongera wote waliokuwa wanapigania haki ya mtoto wa kike. Wameshinda, Tanzania imeshinda, na sote tumeshinda. Cha muhimu ni kufuatilia ili kuhakikisha Serikali haikiuki ahadi yake kwa WB ua kuhakikisha mtoto wa kike anapata haki yake.
Kamanda machozi ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya faida kubwa aliyonayo Magufuli ni kuwa na jeshi kubwa la wajinga nyuma yake!!

Wakati unatamba kwamba akina Zitto walipitisha kampeni chafu "iliyokwama", unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo? Hiv umeelewa nini kuhusu vipengele vifuatavyo:-
Labda ukumbushwe jambo moja! Wakati Wapiga Makofi mnadai Zitto akafanay kampeni ya kuzuia mkopo, hoja ya Zitto ilikuwa mkopo huo utabagua watoto maskini kwa sababu unapopiga marufuku watoto waliopata ujauzito wasiendelee na shule, ambae hataendelea ni mtoto wa maskini na sio mtoto from a well-off family ambae anaweza kupelekwa private school!

Hapo juu unaambiwa "and supporting more children to re-enter the formal public system if they drop out" kitu ambacho serikali ya Magufuli ilikuwa haikitaki, na ndicho ambacho Zitto alikuwa anakipigania!!

Waliowapa huo mkopo wanaendelea:-Unapomkejeli Zitto wakati watoa mkopo hiyo ndiyo statement yao basi unaonesha wazi kwamba wala hujui unachokifurahia kwa sababu kimsingi, wanapita mle mle alimopita Zitto, na ndio maana wamesema "Every child in Tanzania deserves a good education, but thousands are denied this life-changing opportunity each year. This project puts the country’s young people front and center"

Kumbe wakati nyie mlikuwa mnataka watoto wakipata ujauzito wasiendelee, wenyewe waliowapa mkopo wanawaambia EVERY CHILD DESERVES A GOOD EDUCATION, na kwamba This project puts the country’s young people front and center"

Waliowapa mkopo wanapigilia msumari kwa kusema:- Kumbe watoa mkopo, project yao inahakikisha WATOTO WOTE WA KIKE, wanamaliza elimu ya sekondari NO MATTER WHAT!!!

Narudia swali langu la awali:- "unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo?"

Hivi tatizo lugha au ulikurupuka ku-post kaba hujasoma?! Kama ulikurupuka ku-post kabla hujasoma, hebu pitia angalau hapa:- What's wrong with JPM's Supporters?! Hivi hadi hapo bado mnashindwa kabisa kuelewa mkopo umetolewa kwa kuangalia maoni ya NGOs pamoja na hao akina Zitto?

In short, Magu na serikali yake wameufyata!!!
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
Hapa Zitto anashambuliwa kuwa kaumbuka wakati ni kinyume chake.
Tatizo kubwa hapa JF ni wachangiaji wengi kutosoma habari na kuelewa kabla ya kuanza kukosoa au kusifu. Wengi wanadoma vichwa vya habari tu na kuanza kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
April fool

Sent from my iPad using JamiiForums
 
• Kampeni yake chafu dhidi ya Tanzania yakwama.

• Benki ya Dunia yaidhinisha Mabilioni ya fedha za kusaidia Elimu alizotaka Tanzania inyimwe.

Saa chache zilizopita Benki ya Dunia kupitia Bodi ya Wakurugenzi Watendaji ya Chama cha Maendeleo ya Kimataifa (IDA) imefanya maamuzi ya kihistoria ya kuruhusu mkopo wa Dola za Marekani Milioni 500 utolewe kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha elimu ya Sekondari baada ya mjadala mrefu uliochukua miezi zaidi ya mitatu.

Uamuzi wa Benki ya Dunia umezima kampeni ya kidhalimu iliyofanywa na Mwanasiasa mpuuzi Zitto Kabwe aliyeandika barua kwenda benki hiyo akitumia nembo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka Tanzania inyimwe mkopo huo bila kujali athari zake kwa wananchi hasa wanyonge na maskini.

Zitto Kabwe akishirikiana na mabeberu wanaomfadhili alifanya uharamia kwa kuchochea uongo kuwa Tanzania inakandamiza wanafunzi wa kike kwa kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito ilihali anajua kuwa sio kweli na kuna utaratibu ulio wazi wa watoto hao kupata elimu kupitia programu mbalimbali za Elimu ya Watu Wazima, Mpango wa Elimu kwa walioikosa na vyuo mbalimbali.

Hili ni pigo jingine baya sana kwa Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakiichonganisha na kuichafua Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Kitamaifa kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa bila kujali athari ambazo wananchi wanazipata kutokana na kuinanga Tanzania ama kukwamisha miradi mikubwa na washirika wa maendeleo.

Katika safari ndefu ya mjadala ambao ulianza tangu Januari mwaka huu wa 2020, Benki ya Dunia imepiga chini msimamo wa mabeberu waliotaka Tanzania inyimwe fedha hizo baada ya kuingizwa mkenge na Zitto Kabwe.

Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Zitto Kabwe na wafadhili wake walikuwa wanashupalia Tanzania inyimwe fedha hizo? Ukweli ni kwamba Zitto na wadhalimu wenzake hawakuzuia fedha hizo kwa sababu ya kupigania wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shule kama wanavyodai, bali walishupalia Tanzania isipewe fedha hizo baada ya msimamo wa Serikali ya Awamu ya Tano kukataa kukopeshwa fedha ambazo zingeingizwa nchi kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) na miradi ambayo haina matokeo kwa wananchi ili baadaye zitumike kwa maslahi ya siasa za upinzani na sio wananchi.

Kwenye hili, Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Jemedali Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli inastahili pongezi za dhati kwa msimamo thabiti usiyoyumba na ushindi mkubwa dhidi ya kibaraka Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakipiga tripu kwenda mabeberu hao kufanya kampeni ya kuiangamiza Tanzania eti wakitaka kuiondoa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.

Kongole Rais Magufuli, hongera Watanzania wote kwa ushindi huu mkubwa. Zitto Kabwe na washirika wake washindwe na walegee.

Sasa Tanzania itapata Dola za Marekani Milioni 500 sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1 na Bilioni 135 kwa ajili ya kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata elimu ya Sekondari, kuboresha mazingira ya elimu kwa wasichana na kuinua ubora wa elimu kwa wasichana na wavulana.

Mkopo huu ni wa gharama nafuu na sio fedha za bure. Watanzania watazilipa, lakini sasa watalipa fedha ambazo zinakopwa na kuelekezwa kuwasaidia mamilioni ya Watoto wa Tanzania na sio kwenda kwenye NGO na miradi ya kupitisha fedha zinazokwenda kwa wachumia tumbo akina Zitto Kabwe na washirika wake.

Tunaamini Serikali ya Tanzania itatoa mchanganuo wa fedha hizi zinakwenda wapi na zitawanufaishaje Wanzania.

Kila la kheri Watanzania na pole sana Zitto Kabwe kwa kuangukia pua katika mchazo huu mchafu. Tambua kuwa Mwenyezi Mungu husimama na wenye haki na katika hili amesimama na Watanzania wenye haki na Rais wao mpendwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli.

Taarifa hii haina uhusiano na siku ya Wajinga Duniani. Ni ukweli mtupu na inapatikana katika tovuti mbalimbali za Kimataifa. Waweza kuisoma hapa kwenye tovuti ya Benki ya Dunia yenyewe [emoji1428][emoji1428] New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys

Mwl. Damas Masele MPJ
Mkufunzi Mstaafu.
31 Machi, 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri masharti ya World Bank ya mkopo. Serikali imekubali yale yote iliyoyakataa mwanzoni...Hivyo Zitto Kabwe ndiyo mshindi.
 
ZITTO KABWE AUMBUKA.

Kampeni yake chafu dhidi ya Tanzania yakwama.
_
Benki ya Dunia yaidhinisha Mabilioni ya fedha za kusaidia Elimu alizotaka Tanzania inyimwe.

Saa chache zilizopita Benki ya Dunia kupitia Bodi ya Wakurugenzi Watendaji ya Chama cha Maendeleo ya Kimataifa (IDA) imefanya maamuzi ya kihistoria ya kuruhusu mkopo wa Dola za Marekani Milioni 500 utolewe kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha elimu ya Sekondari baada ya mjadala mrefu uliochukua miezi zaidi ya mitatu.

Uamuzi wa Benki ya Dunia umezima kampeni ya kidhalimu iliyofanywa na Mwanasiasa mpuuzi Zitto Kabwe aliyeandika barua kwenda benki hiyo akitumia nembo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka Tanzania inyimwe mkopo huo bila kujali athari zake kwa wananchi hasa wanyonge na maskini.

Zitto Kabwe akishirikiana na mabeberu wanaomfadhili alifanya uharamia kwa kuchochea uongo kuwa Tanzania inakandamiza wanafunzi wa kike kwa kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito ilihali anajua kuwa sio kweli na kuna utaratibu ulio wazi wa watoto hao kupata elimu kupitia programu mbalimbali za Elimu ya Watu Wazima, Mpango wa Elimu kwa walioikosa na vyuo mbalimbali.

Hili ni pigo jingine baya sana kwa Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakiichonganisha na kuichafua Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Kitamaifa kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa bila kujali athari ambazo wananchi wanazipata kutokana na kuinanga Tanzania ama kukwamisha miradi mikubwa na washirika wa maendeleo.

Katika safari ndefu ya mjadala ambao ulianza tangu Januari mwaka huu wa 2020, Benki ya Dunia imepiga chini msimamo wa mabeberu waliotaka Tanzania inyimwe fedha hizo baada ya kuingizwa mkenge na Zitto Kabwe.

Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Zitto Kabwe na wafadhili wake walikuwa wanashupalia Tanzania inyimwe fedha hizo? Ukweli ni kwamba Zitto na wadhalimu wenzake hawakuzuia fedha hizo kwa sababu ya kupigania wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shule kama wanavyodai, bali walishupalia Tanzania isipewe fedha hizo baada ya msimamo wa Serikali ya Awamu ya Tano kukataa kukopeshwa fedha ambazo zingeingizwa nchi kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) na miradi ambayo haina matokeo kwa wananchi ili baadaye zitumike kwa maslahi ya siasa za upinzani na sio wananchi.

Kwenye hili, Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Jemedali Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli inastahili pongezi za dhati kwa msimamo thabiti usiyoyumba na ushindi mkubwa dhidi ya kibaraka Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakipiga tripu kwenda mabeberu hao kufanya kampeni ya kuiangamiza Tanzania eti wakitaka kuiondoa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.

Kongole Rais Magufuli, hongera Watanzania wote kwa ushindi huu mkubwa. Zitto Kabwe na washirika wake washindwe na walegee.

Sasa Tanzania itapata Dola za Marekani Milioni 500 sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1 na Bilioni 135 kwa ajili ya kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata elimu ya Sekondari, kuboresha mazingira ya elimu kwa wasichana na kuinua ubora wa elimu kwa wasichana na wavulana.

Mkopo huu ni wa gharama nafuu na sio fedha za bure. Watanzania watazilipa, lakini sasa watalipa fedha ambazo zinakopwa na kuelekezwa kuwasaidia mamilioni ya Watoto wa Tanzania na sio kwenda kwenye NGO na miradi ya kupitisha fedha zinazokwenda kwa wachumia tumbo akina Zitto Kabwe na washirika wake.

Tunaamini Serikali ya Tanzania itatoa mchanganuo wa fedha hizi zinakwenda wapi na zitawanufaishaje Wanzania.

Kila la kheri Watanzania na pole sana Zitto Kabwe kwa kuangukia pua katika mchazo huu mchafu. Tambua kuwa Mwenyezi Mungu husimama na wenye haki na katika hili amesimama na Watanzania wenye haki na Rais wao mpendwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli.

Taarifa hii haina uhusiano na siku ya Wajinga Duniani. Ni ukweli mtupu na inapatikana katika tovuti mbalimbali za Kimataifa. Waweza kuisoma hapa kwenye tovuti ya Benki ya Dunia yenyewe

New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys

Mwl. Damas Masele MPJ
Mkufunzi Mstaafu.
31 Machi, 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mponde tu zitto,lakini kuna funzo kama nchi imelipata..kaa kimya ujui mashariti yaliyomo
 
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
Hapa Zitto anashambuliwa kuwa kaumbuka wakati ni kinyume chake.
Tatizo kubwa hapa JF ni wachangiaji wengi kutosoma habari na kuelewa kabla ya kuanza kukosoa au kusifu. Wengi wanadoma vichwa vya habari tu na kuanza kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichosema ni ukweli mtupu! Kuna mmoja hapo juu nimempa link ya World Bank ikizungumzia masharti ya mkopo na pia nimempa reference ya doc ya Wizara ya Elimu inayosema wazi kwamba serikali ina wajibu wa kuhakikisha watoto waliopata ujauzito wanarudi shuleni na kuendelea na mfumo rasmi unless wenyewe wa-opt kufuata mfumo usio rasmi!

Nashangaa hadi sasa sijamuona tena wakati alikuwa ananitolea povu kwamba nimetumwa kusambaza uzushi!
 
Egnecious,
kwa taarifa yako ni kuwa ni Zitto na wenzake ndiyo waliolazimisha serekali iufyate na kukubali sharti kuwa watoto waliobeba mimba watarejeshwa shule baada ya kujifungua, siyo ile "alternative pathway" rubbish ya MATAGA..... soma hapa chini

Kwa kifupi masharti ni haya:
•watoto warudi shule bila masharti
•hela itaanza kutokewa 2021 baada ya uchaguzi
•itatolewa kwa tranches baada ya kuridhika inatumika sawa sawa
•mradi umerekebishwa
•CSO zihusishwe kwenye mradi
 
Kuna mahali document inasema serikali yetu haina sheria inayokataza wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua! Someone has been disowned! No wonder baada ya kutembelea ofisi za WB waziri wetu amepoa kama maji ya mtungi.
 
Moja ya faida kubwa aliyonayo Magufuli ni kuwa na jeshi kubwa la wajinga nyuma yake!!

Wakati unatamba kwamba akina Zitto walipitisha kampeni chafu "iliyokwama", unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo? Hiv umeelewa nini kuhusu vipengele vifuatavyo:-
Labda ukumbushwe jambo moja! Wakati Wapiga Makofi mnadai Zitto akafanay kampeni ya kuzuia mkopo, hoja ya Zitto ilikuwa mkopo huo utabagua watoto maskini kwa sababu unapopiga marufuku watoto waliopata ujauzito wasiendelee na shule, ambae hataendelea ni mtoto wa maskini na sio mtoto from a well-off family ambae anaweza kupelekwa private school!

Hapo juu unaambiwa "and supporting more children to re-enter the formal public system if they drop out" kitu ambacho serikali ya Magufuli ilikuwa haikitaki, na ndicho ambacho Zitto alikuwa anakipigania!!

Waliowapa huo mkopo wanaendelea:-Unapomkejeli Zitto wakati watoa mkopo hiyo ndiyo statement yao basi unaonesha wazi kwamba wala hujui unachokifurahia kwa sababu kimsingi, wanapita mle mle alimopita Zitto, na ndio maana wamesema "Every child in Tanzania deserves a good education, but thousands are denied this life-changing opportunity each year. This project puts the country’s young people front and center"

Kumbe wakati nyie mlikuwa mnataka watoto wakipata ujauzito wasiendelee, wenyewe waliowapa mkopo wanawaambia EVERY CHILD DESERVES A GOOD EDUCATION, na kwamba This project puts the country’s young people front and center"

Waliowapa mkopo wanapigilia msumari kwa kusema:- Kumbe watoa mkopo, project yao inahakikisha WATOTO WOTE WA KIKE, wanamaliza elimu ya sekondari NO MATTER WHAT!!!

Narudia swali langu la awali:- "unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo?"

Hivi tatizo lugha au ulikurupuka ku-post kaba hujasoma?! Kama ulikurupuka ku-post kabla hujasoma, hebu pitia angalau hapa:- What's wrong with JPM's Supporters?! Hivi hadi hapo bado mnashindwa kabisa kuelewa mkopo umetolewa kwa kuangalia maoni ya NGOs pamoja na hao akina Zitto?

In short, Magu na serikali yake wameufyata!!!
Vita kuu hapa ilikuwa ni je tundelee na mila na tamaduni zetu au tuhamie tamaduni za magharibi?
Nnachokiona hapa Zitto kashindwa.
Hawa ma-big wameidhinisha mkopo bila Tanzania kubadiri hata kipengera kwenye sheria zetu zinazohusu umri wa kuwa mtu mzima. Kila taifa natamaduni zake! Sisi utamaduni wetu ni marufuku mtu mzima kucheza na watoto,
Mwanafunzi mwenye mimba ni mtu mzima tayari, hawezi kukaa darasa moja na watoto. Kibaya zaidi, bajeti yetu hairuhusu kusomesha wazazi.
 
Nyie watu huwa mnachekesha sana! Kurudia tena naona taabu kueleza kitu kile kile tena na tena! Kama vipi, soma post #187... bofya link ifuatayo
Kwenye post nimweka hadi sehemu ya doc ya Wizara ya Elimu inayotoa Mwongzo kwa mzazi na serikali kuhakikisha watoto waliopata ujazito wanarudi shule!

So, hakuna cha kwamba eti tamaduni zetu wakati serikali kupitia wizara husika ilishatoa mwongozo more than 10 years ago!

Sio hivyo tu, nimeweka hadi taarifa rasmi ya the World Bank kwahiyo unaposema eti WB wameidhinisha mkopo bila Tz kubadili sheria, unakuwa unachekesha mzee!!!
 
Nyie watu huwa mnachekesha sana! Kurudia tena naona taabu kueleza kitu kile kile tena na tena! Kama vipi, soma post #187... bofya link ifuatayo Kwenye post nimweka hadi sehemu ya doc ya Wizara ya Elimu inayotoa Mwongzo kwa mzazi na serikali kuhakikisha watoto waliopata ujazito wanarudi shule!

So, hakuna cha kwamba eti tamaduni zetu wakati serikali kupitia wizara husika ilishatoa mwongozo more than 10 years ago!

Sio hivyo tu, nimeweka hadi taarifa rasmi ya the World Bank kwahiyo unaposema eti WB wameidhinisha mkopo bila Tz kubadili sheria, unakuwa unachekesha mzee!!!
Ok sawa, Tusubiri utekelezaji. Usimuamini mwanasiasa!
 
NI kweli, Mwanasiasa haaminiki, na WB wanalifahamu hilo ndio maana hawakutaka kutoa pesa zote kwa mkupuo, na badala yake wanatoa kwa mafungu ili kusikiliizia ikiwa serikali inatekeleza masharti ya mkopo!!
 
Egnecious,
kwa taarifa yako ni kuwa ni Zitto na wenzake ndiyo waliolazimisha serekali iufyate na kukubali sharti kuwa watoto waliobeba mimba watarejeshwa shule baada ya kujifungua, siyo ile "alternative pathway nyenyenyeee" rubbish ya MATAGA..... soma hapa chini

MATAGA kuna ujumbe wenu huku....

Back
Top Bottom