Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
ZITTO KABWE AUMBUKA.
Kampeni yake chafu dhidi ya Tanzania yakwama.
_
Benki ya Dunia yaidhinisha Mabilioni ya fedha za kusaidia Elimu alizotaka Tanzania inyimwe.
Saa chache zilizopita Benki ya Dunia kupitia Bodi ya Wakurugenzi Watendaji ya Chama cha Maendeleo ya Kimataifa (IDA) imefanya maamuzi ya kihistoria ya kuruhusu mkopo wa Dola za Marekani Milioni 500 utolewe kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha elimu ya Sekondari baada ya mjadala mrefu uliochukua miezi zaidi ya mitatu.
Uamuzi wa Benki ya Dunia umezima kampeni ya kidhalimu iliyofanywa na Mwanasiasa mpuuzi Zitto Kabwe aliyeandika barua kwenda benki hiyo akitumia nembo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka Tanzania inyimwe mkopo huo bila kujali athari zake kwa wananchi hasa wanyonge na maskini.
Zitto Kabwe akishirikiana na mabeberu wanaomfadhili alifanya uharamia kwa kuchochea uongo kuwa Tanzania inakandamiza wanafunzi wa kike kwa kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito ilihali anajua kuwa sio kweli na kuna utaratibu ulio wazi wa watoto hao kupata elimu kupitia programu mbalimbali za Elimu ya Watu Wazima, Mpango wa Elimu kwa walioikosa na vyuo mbalimbali.
Hili ni pigo jingine baya sana kwa Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakiichonganisha na kuichafua Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Kitamaifa kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa bila kujali athari ambazo wananchi wanazipata kutokana na kuinanga Tanzania ama kukwamisha miradi mikubwa na washirika wa maendeleo.
Katika safari ndefu ya mjadala ambao ulianza tangu Januari mwaka huu wa 2020, Benki ya Dunia imepiga chini msimamo wa mabeberu waliotaka Tanzania inyimwe fedha hizo baada ya kuingizwa mkenge na Zitto Kabwe.
Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Zitto Kabwe na wafadhili wake walikuwa wanashupalia Tanzania inyimwe fedha hizo? Ukweli ni kwamba Zitto na wadhalimu wenzake hawakuzuia fedha hizo kwa sababu ya kupigania wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shule kama wanavyodai, bali walishupalia Tanzania isipewe fedha hizo baada ya msimamo wa Serikali ya Awamu ya Tano kukataa kukopeshwa fedha ambazo zingeingizwa nchi kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) na miradi ambayo haina matokeo kwa wananchi ili baadaye zitumike kwa maslahi ya siasa za upinzani na sio wananchi.
Kwenye hili, Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Jemedali Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli inastahili pongezi za dhati kwa msimamo thabiti usiyoyumba na ushindi mkubwa dhidi ya kibaraka Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakipiga tripu kwenda mabeberu hao kufanya kampeni ya kuiangamiza Tanzania eti wakitaka kuiondoa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.
Kongole Rais Magufuli, hongera Watanzania wote kwa ushindi huu mkubwa. Zitto Kabwe na washirika wake washindwe na walegee.
Sasa Tanzania itapata Dola za Marekani Milioni 500 sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1 na Bilioni 135 kwa ajili ya kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata elimu ya Sekondari, kuboresha mazingira ya elimu kwa wasichana na kuinua ubora wa elimu kwa wasichana na wavulana.
Mkopo huu ni wa gharama nafuu na sio fedha za bure. Watanzania watazilipa, lakini sasa watalipa fedha ambazo zinakopwa na kuelekezwa kuwasaidia mamilioni ya Watoto wa Tanzania na sio kwenda kwenye NGO na miradi ya kupitisha fedha zinazokwenda kwa wachumia tumbo akina Zitto Kabwe na washirika wake.
Tunaamini Serikali ya Tanzania itatoa mchanganuo wa fedha hizi zinakwenda wapi na zitawanufaishaje Wanzania.
Kila la kheri Watanzania na pole sana Zitto Kabwe kwa kuangukia pua katika mchazo huu mchafu. Tambua kuwa Mwenyezi Mungu husimama na wenye haki na katika hili amesimama na Watanzania wenye haki na Rais wao mpendwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli.
Taarifa hii haina uhusiano na siku ya Wajinga Duniani. Ni ukweli mtupu na inapatikana katika tovuti mbalimbali za Kimataifa. Waweza kuisoma hapa kwenye tovuti ya Benki ya Dunia yenyewe
New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys
Mwl. Damas Masele MPJ
Mkufunzi Mstaafu.
31 Machi, 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
kumbe IMF na benki ya dunia sio mabeberu? Sikujua
Mwalimu sijamuelewa baadhi ya vitu vingiYani Mwalimu umeshindwa hata kuelewa hii Project na namna inavyopaswa kutekelezwa! Zitto kaibuka MSHINDI, alichopigania ni kuhakikisha watoto wakike wanapata elimu bila kujali changamoto za mimba. Kwenye taarifa ya WB imeeleza content ya hii project vizuri kuwa ni watoto kupata elimu bila kujali changamoto zozote (This project will support better quality secondary education, while helping make school a safer place where children can thrive, and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education). Hiki ndiyo kilikuwa kilio cha Zitto & watu wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
You can rig election votes but you can't rig economic data. Lazima zikuumbue tuKuna akili ipi ya kuelewa neno fedha za ndani we kiazi? Jiwe alikuwa anaropoka maneno ili aonekane kapandisha uchumi, bila kijua kwamba anaowaongopea walikuwa mjini kabla yake.
Endelea kujidanganya na Jiwe wenu. Mtamaliza miaka 10 SGR haijafika hata MakutoporaWw acha hizo, Tz ni donor country, siyo maskini, ofcourse ww huwezi elewa sasa ila baadae kama Mungu atakujalia maisha utaelewa in near future! Tunaweza kuukataa kama tulivyoikataa misaada mingi mingine...soma historia rafiki uelewe!
Hao waliohusika kuandaa muongozo huu wanatakiwa wajitathmini kama kweli hizi sio akili za kushikiwa!FYI, huwa siandiki mambo kwa hisia kama mfanyavyo wengine especially watetezi wa mfumo! Kwamba ni "utamaduni wa Kitanzania" maana yake nini?! Taifa haliendeshwi kwa tamaduni bali kwa misingi iliyojiwekea!!
Tafuta online, au nenda pale Wizara ya Elimu waombe document titled:
Huo ni muongozo wa serikali kupitia Wizara ya Elimu ambao ulitolewa April 2009. Section 2.3 ya muongozo inatoa maelekezo kwa wazazi/walezi kwamba:-
Aidha, section 2.6 ya Muongozo unatoa maelekezo kwa serikali kwamba:-
- Shall be counseled and guided by the school leadership on the pregnancy of the school girl;
- Shall show empathy and accept to take care of the pregnant girl;
- Shall be guided and counseled by the school leadership concerning maternal health of the pregnant schoolgirl;
- Shall be informed and required to fulfill re-admittance requirements;
- Shall be required to update the school leadership on the health condition during pregnancy and after birth; and
- Shall be involved in deciding on which mode of education (Formal or informal) and school the pregnant girl would like to continue with, after giving birth.
Huo ndio MWONGOZO halali ambao Magufuli anaukanyaga! Sasa wewe niwekee hapa huo utamaduni unaosema kwamba watoto wa kike wakipata ujauzito, ni marufu kuendelea na elimu rasmi kwa shule za serikali!!!
- Shall educate and sensitize the society/community on the importance of readmitting impregnated school girls;
- Shall educate and sensitize the society/community on the process of readmitting impregnated school girls; and
- Shall empower school leadership on the issue of readmission of pregnant school girls; and
- Shall task the ward social welfare officers to monitor the health welfare of the impregnated school girls.
Kwanini uwatishe badala ya kuweka mikakati inayoeleweka kuhakikisha hakuna ujauzito?! Hivi unaweza kunieleza hapa serikali ina mkakati upi kuhakikisha watoto hawafanyi ngono za mapema au angalau hizo ngono salama?
Btw, kama kuwatisha mbona mimba bado zipo pale pale hata siku hizi ambapo watoto wanaanza shule mapema sana?
Unamaanisha Wizara ya Elimu hawana akili timamu, au?!
Ukweli ni kwamba, kama nilivyowahi kusema kwenye post moja wapo hapa jamvini, Mh. JPM ni mkurupukaji, na wala hafahamu misingi ya serikali mwenyewe!!
Hapa JPM alikuwa kama wewe tu kwa kuamini "kutimua shule wanaopata ujauzito ni utamaduni wetu" bila kufahamu mwaka 2009 serikali kupitia wizara ilitengeneza utaratibu wa kuhakikisha watoto wanopata ujauzito hawafukuzwi, bali wanakuwa suspended na kurudi tena shuleni unless kama ataamu mwenyewe kuendelea kwenye mfumo usio rasmi ambao Magufuli na wafuasi wake wanadhani ndo sheria inavyosema!Hoja ya Zitto kivipi?! Kwani Zitto anafanya kazi Wizara ya Elimu au alihusika kwenye kuandaa huo muongozo?
Btw, Wakopeshaji gani waliodharau hoja ya Zitto?! Hivi umesoma maelezo ya WB au unaongea tu?!
Kipengele kimoja cha taarifa ya World Bank kinasema:-Hiyo ndo kauli ya WB ambayo inaakisi sehemu ya mwongozo wa serikali nilioweka hapo juu!
Kwa maana nyingine, suala la wanafunzi kutimuliwa sio la kisera bali ni la JPM na watu wake!!!
Sehemu nyingine ya taarifa hiyo ya WB inasema:-Sasa wewe habari kwamba WB wamempuuza Zitto umezitoa wapi?!
Na labda nikujuze lingine! WB hawatatoa fungu lote kwa pamoja bali watatoa kwa awamu baada ya kuhakikisha serikali inatekeleza masharti waliyopewa, including kuwaacha watoto wajawazito kuendelea na shule kama mwongozo wa wizara unavyosema:-
Of the project funds, 96 percent (US$480 million) are subject to (a) achievement of agreed results verified by an Independent Verification Agent subject to the World Bank’s approval; and (b) submission of evidence that the government has already spent an equivalent amount on eligible expenditures in the secondary education sector. Assuming that these conditions are met each year, the disbursement schedule, is as follows:
Na sio tu kwamba serikali watakuwa wanasema "tumetekeleza kwa kiwango fulani bali hadi pale Independent Verification Agent atakapothibitisha!!!Eti mmesikia wenyewe, achana na hao wengine; niambie wewe ulimsikia wapi kama sio unatumia nukuu za propaganda za Lumumba!!
- FY 2021 - US$72.47 million
- FY 2022 - US$101.10 million
- FY 2023 - US$114.73 million
- FY 2024 - US$98.52 million
- FY 2025 - US$85.37 million
- FY 2026 - US$27.81 million
Ambacho alisema Tundu Lissu, ni hiki hapa chini:-
Hiyo video ni ya dakika 3:43 lakini MATAGA kwa kujua Wa-TZ hamna utamaduni wa kutafuta ukweli, waka wanaongelea maeleo ya dakika 2 za mwanzo na wakawaficha zaidi ya dakika 1 unusu nyingine zilizobaki!
Sasa pamoja na kunitolea povu kwamba eti nimetumwa kuandika uzushi, kwa mwenye akili timamu hapa atajua ni nani aliyetumwa kuleta uzushi kati yangu na wewe! Yote niliyosema hapo kabla nimekuwekea ushahidi, weka hapa ushahidi wa maelezo yako!!!
Mie nakubaliana na mawazo na msimamo wa dhati wa Magu ktk hili! Haifai kuwachanganya wazazi na wanafunzi, haijakaa sawa hata kidogo hii! Walioandaa upuuzi huo wajitathmini vichwa vyao!Ndio tushanywea hivyo!Kenya na Uganda hawawazuii watoto kurudi shule wanapojifungua,hakuna ushahidi wowote wa madhara wanayoleta kuchanganyika na wenzao wa umri wao!Zinabaki tu hisia za Jiwe!Team ya CCM ilikaa na kuandaa sera na ilani za CCM 2015,moja ya mambo waliyoahidi ni pamoja na hilo la watoto watakapata ujauzito watapewa fursa ya kurydi shule katika mfumo rasmi kumalizia masomo yao!Hata Mama Samia Suluhu wakati mmoja akihutubia alizungumza hayo kabla ya siku chache baadae JPM kuja na msimamo wake!So suala hilo la kuondoa kabisa watoto wa aina hiyo kwenye mfumo rasmi ni mawazo ya JPM na si CCM!Hapa ndio tunaona madhara ya Rais wa nchi kuwa kichwa ngumu na kutoshaurika au kusikiliza wengine!
Subiri uone tutakapoizindua very soon!Endelea kujidanganya na Jiwe wenu. Mtamaliza miaka 10 SGR haijafika hata Makutopora
Jedwali Na. 18: Mafunzo/Stadi katika kila Chuo
Na Mikoa Wilaya Chuo Stadi Zilizopo Stadi za Ziada 1Arusha Monduli Monduli FDC Useremala, Uashi, Ushoni, Udereva, Kompyuta, Kilimo, Ufugaji, Upishi na Lishe na Ufundi Chuma Ufundi Chuma, Ufundi Magari, Udereva, Ujasiriamali, Ushonaji, Useremala, Uashi, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magari, Kilimo na Ususi. 2Dar es Salaam Ilala ArnautogluFDC Biashara, Umeme na Ufundi wa Magari Ufundi Viatu, Kompyuta, Udereva, Ufundi Magari, Ufundi Bomba, Uchomeleaji na Ufundi Rangi 3Dodoma Mpwapwa Chisalu FDC Useremala, Maarifa ya Nyumbani na Kilimo Kompyuta, Udereva, Ufugaji,Ufundi Magari, Secretatarial, Ufundi Bomba, Uchomeleaji na Ufundi Rangi Kondoa Munguri FDC Useremala, Uashi,ushonaji, Upishi na lishe Ufundi Magari, uchomeleaji, Umeme wa Majumbani, Umeme Jua, Udereva, Kompyuta, Uhazili, Ufundi Bomba, Uchomeleaji na Ufundi rangi 4Kagera Biharamulo Rbondo FDC Ushonaji (Sayansi Kimu), Uashi, Useremala na Ufundi Chuma. Kilimo, Ufugaji, Ujasiliamali, Kompyuta, Electronics, Umeme wa Majumbani, Uungaji Vyuma, MV Mechanics, Udereva, Ujenzi Barabara, Kompyuta na Upishi. Bukoba (M) Bukoba RVT&SC - - Bukoba (V) GeraFDC S/Kimu, Useremala, Uashi, Mafunzo ya muda mfupi – UKIMWI, Kilimo na Uchaguzi. Umeme wa Majumbani, Uchomeleaji, Kompyuta, Electronics, Usindikaji, Umeme wa Magari, Mv Mechanics, Udereva, Kupiga Chapa, Kilimo na Catering. Ngara Ngara FEDC Ushonaji, Uashi, Useremala, Ufundi magari, Udereva, Bidhaa za ngozi, mafunzo ya Uelewa Ushonaji, Uashi, Uchomeleaji vyuma, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Electonics, Usindikaji Mazao, Ushonaji Bidhaa za Ngozi, Useremala, Kompyuta, Ufundi Bomba, Upishi, Ufundi Rangi, Kilimo na Ufugaji. 5Kilimanjaro Moshi (V) Msinga FDC Useremala, Uashi,ufundi magari, Ushonaji, Upishi na Lishe, Umeme wa Majumbani, Udereva, Ufundi Bomba, Kompyuta, Kilimo na Ufugaji Umeme, Ufundi Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Ufundi Rangi, Electronics na Uchimbaji Madini, Userermala, Uashi, Umakenika, Udereva, Kilimo na Ufugaji Rombo Mamtukuna FDC Useremala, Uashi, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Upishi na Lishe, Ushonaji na Kompyuta Ufundi Magari, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Uashi, Udereva, Uafundi wa Friji, Ufundi Umeme wa Majumbani, Upishi na Lishe, Kilimo na Ufugaji Same Same FDC Kompyuta, Udereva, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Useremala, Ushonaji. Umeme, Ufundi Magari, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Uchomeleaji, Udereva, Umakenika wa Kilimo, Electronics, Ufundi Friji na Usanii 6Kigoma Kasulu Kasulu FDC Kilimo, Ufugaji, Usremala, Uashi, Ushonaji (S/Kimu), Umakenika. Computer Maintenance, ICT, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kilimo cha Mitambo na Matengezo yake, Ushonaji, Uashi, Kilimo cha Matunda, Ufundi Bomba, Ufundi Magari, Uashi, Useremala, Uungaji Vyuma, Upishi na Uhazili. Kibondo Kibondo FDC Uashi, Umakanika, Upishi, Kilimo na Ushonaji. Useremala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Kompyuta, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Utengenezaji wa Majokofu, Utengezaji wa Barabara, Uhazili, Ufundi Magari, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Ufundi Rangi na Uchoraji, Udereva na Ufundi Viatu. Kigoma Kihinga FDC Ushonaji, Uashi, Umakanika, Upishi, na Kilimo. Useremala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Kompyuta, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Utengenezaji wa Majikofu, Utengezaji wa Bara bara, Mafunzo ya Uelewa, Ufundi Magari, Uungaji Vyuma, Umeme, Kompyuta, Lishe na Upishi, Ufundi Bomba na Udereva. 7Iringa Kilolo Ilula FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Ufumaji, Kilimo cha mboga, Ufugaji wa ng’ombe na Computer Ufundi magari, Mafunzo ya Computer, Udereva, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba na Uungaji Vyuma. Njombe Njombe FDC Useremala, Uashi, Umeme, Ufundi magari Ushonaji, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Userermala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Uungaji Vyuma na Kompyuta. Njombe Ulembwe FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umeme majumbani. Umeme wa Majumbani, Ufundi wa Magari, Uungaji Vyuma, Udereva, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Kompyuta na stadi zilizopo sasa ziendelee, 8Lindi Lindi (V) Chilala FDC Useremala, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi. Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji na Kompyuta. Kilwa Kilwa Masoko FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi. Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Uungaji Vyuma na Ujasiriamali, 9Manyara Mbulu Tango FDC Useremala na Ushonaji Userermala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Umeme, Ufundi Umeme mbadala, Ufundi Magari, Udereva na Ujasiriamali 10Mara Musoma Musoma FDC Uashi, Kilimo, Upishi, Ushoni na Useremala Kilimo; Udereva; Uvuvi; Utengenezaji wa Maboti/Mashua; Useremara; Uashi/Ujenzi; Ushonaji; Umeme; Ufundi Magari, Upishi, Uendeshaji Canteen, Hotel Management, Umeme wa Magari, Udereva na Kompyuta Tarime Tarime FDC Ushonaji, Useremala, Umeme na Uashi. Computer, Udereva, Kilimo, Mechanics, Ujasiliamali, Useremala, Umeme, Udereva, Kompyuta na Uchomeaji Vyuma. Bunda Kisangwa FDC Useremala, Ushonaji, Upishi na Uashi. Umeme, Mechanics, Udereva, Ufundi Bomba, Kilimo, Useremala, Welding, Ufugaji, MV Mechanics na Hotel Management. 11Mtwara Masasi Masasi FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Umeme wa majumbani, Upishi na Elimu ya Sekondari. Usindikaji, Ujasiliamali, Udereva, Uchomeleaji, Hotel Management. Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Uungaji Vyuma na Kompyuta. Mtwara Mtawanya FDC Useremala, Ujenzi, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Uraia na Udereva Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba na Kompyuta. Newala Newala FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Magari, Kilimo, Umeme wa majumbani, Uchomeleaji Udereva, Kompuyta, ICT, Hotelia, Userermala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Uungaji Vyuma, Electronics na stadi zote zilizopo sasa ziendelee. 12Morogoro Morogoro Bigwa FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Upishi na Lishe, Umeme wa Majumbani, Ufundi Magari na Elimu ya Chekechea. Uchomeleaji, Ujasiliamali, Usindikaji wa Vyakula, Udereva, Upishi, Upambaji, Uhifadhi wa Vyakula, Ufundi Magari, Uashi, Kompyuta, Kilimo na Ufugaji Kilosa Kilosa FDC Useremala, Ushonaji, Kilimo na Ususi Kilimo cha Matunda, Uashi, Uchomeleaji, Electronics, Umakenika, Udereva, Kilimo, Ufugaji na Umeme. Ifakara Ifakara FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Kilimo, Mifugo na Sanyansi Kimu Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Kilimo, Umeme na stadi za sasa na elimu ya sekondari ziendelee. Ulanga Sofi FDC Uashi, Useremala, Ushonaji, Kilimo, Ufugaji, Sayansi Kimu na Upishi. Useremala, Ushonaji, S/Kimu, Kilimo, Ushonaji, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magri, Ususi na Ujasiriamali. 13Mwanza Maswa Malya FDC Kilimo, Ufugaji, Useremala, Ushonaji, Uashi na Welding. Mechanics, Computer, Udereva, Upishi, Umeme, Uungaji Vyuma, Kilimo, Ufugaji, Kompyuta na Catering. Misungwi Misungwi CDTI - - Mwanza (M) Mwanza RVT&SC - - Mwanza (V) Karumo FDC Kilimo, Useremala, Ushonaji na Uashi Umeme, Udereva, Uvuvi, Ushonaji, Uashi, Useremala, Uungaji Vyuma, Umeme, Ufundi Magari, Utengenezaji bidhaa za Ngozi na stadi za sasa ziendelee. Sengerema Sengerema FDC Welding, Hifadhi za Mazao, Mazingira, UKIMWI, Kilimo na Udereva. Ujasiliamali, Usindikaji mazao ya Kilimo, Kompyuta, Uashi, Uvuvi, Umeme, Kuunga Vyuma, Uashi, Useremala, Ushonaji, Udereva, Makenika, Mama Lishe, Kilimo na Ufugaji. 14Mbeya Rungwe Katumba FDC Useremala, Umeme, Uashi, Ushonaji, Hotel Management, Biashara, UKIMWI, Kilimo Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Uashi, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Electronics na stadi za sasa ziendelee. Mbeya (M) Nzovwe FDC Uashi, Useremala, Ushonaji na Kilimo. Kompyuta,Elctronics,Umakenika, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Udereva, Upishi na Hotel Managaement, Uashi, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Kilimo, Ususi, S/Kimu na Ujasiriamali 15Pwani Kibaha Kibaha FDC Useremala, Uashi, Umeme Majumbani, Ufundi Chuma, Ufundi Magari, Udereva, Upishi, Menejimenti ya Hotel, Ushonaji, Kilimo, mifugo na Ufundi Bomba Ufundi Viatu, Ufundi Magari, Kompyuta, Secretarial, Uchomeleaji na Ufundi Rangi na stadi za sasa ziendelee Kisarawe Kisarawe FDC Kompyuta, Udereva, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Useremala na Ushonaji Umeme, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Udereva, Ufundi Magari, Uhazili, Uchomeleaji na Ufundi Rangi Ikwiriri Ikwiriri FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi. Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Udereva, Upishi, Hotel Management, Kilimo, Ufugaji, Ufundi Bomba, Uungaji Vyuma, Electronics na Umeme Jua na stadi za sasa ziendelee. 16Tabora Sikonge Sikonge FDC Uashi, Useremala, Ushonaji na Kilimo. Kompyuta, Elctronics, Umakenika, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Udereva, Upishi na Hotel Managaement, Uashi, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magri, Kilimo na Ususi. Urambo Urambo FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi. Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Udereva, Kilimo, Ufugaji, Kompyuta na stadi za sasa ziendelee. Nzega Nzega FDC Useremala, Uashi, Ushoni, Udereva, Kompyuta, Ufugaji na Kilimo Umeme, Ufundi Magari, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Ufundi Rangi, Electronics, Uchimbaji Madini, Uashi, Umakenika, Ufugaji na Umeme Nzega Mwanahala FDC Useremala, Uashi, Ufundi Magari, Kilimo, Ufugaji, Ushonaji, Upishi na Lishe. Uumeme, Ufundi Magari, Ufundi Bomba, Upambaji, Kompyuta, Ujasiriamali, Useremala, Uashi, Udereva, Ufundi wa Friji, Upishi na Uendeshaji wa Migahawa 17Tanga Handeni Handeni FDC Ushonaji, Useremala, Upishi na Lishe, Uashi, Menejimenti ya Hotel, Umeme wa Majumbani, Ufundi Magari na Kompyuta Ujasiriamali, Kompyuta, Uchomeleaji, Udereva, Uhandisi wa Kilimo, Electronic, Ufundi Friji na Usanii Muheza Kiwanda FDC Useremala, Uashi, Upishi na Lishe, Ushonaji na Kilimo, Ufugaji na Ujasiriamali Udereva, Ufundi Magari, Uashi, Ufundi wa Friji, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Upishi na Uendeshaji wa Migahawa. Lushoto Mabughai CDTI - - 18Rukwa Mpanda Msaginya FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Mifugo, Ujasiliamali. Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, na Hotel Management, Userermala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Electronics na zilizopo ziendelee. Nkasi Challa FDC Uashi, Useremala, Ushonaji na Kilimo. Useremala, Uashi, Ushonaji, Kilimo, Umeme na Computer, Ushonaji, Useremala, Uashi, Umeme, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Umeme wa Magri, Kilimo, Ususi S/Kimu na Ujasiriamali. 19Ruvuma Mbinga Mbinga FDC Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Ufumaji, Kilimo, Mifugo, Mafunzo nje ya Chuo na Mafunzo ya Muda Mfupi Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji, Electronics na zilizopo sasa ziendelee. Songea (V) Muhukuru FDC Uashi, Useremala, Ushonaji Kilimo, Ufundi Magari, Umeme na Mifugo Kompyuta, Elctronics, Umakenika, Umeme wa Magari, Umeme wa Majumbani, Udereva, Upishi, Hotel Managaement, Ushonaji, Uselemala, Ufugaji, Uashi, Uungaji Vyuma, Ufundi Bomba, Kilimo, Ususi, S/Kimu na Ujasiriamali. Tunduru Nandembo FDC Useremala, Uashi na Ushonaji Kilimo, Ufugaji, Kompyuta, Uchomeleaji, Ufundi Bomba, Udereva, Upishi, Hotel Management, Useremala, Uashi, Ushonaji, Umakenika, Kilimo, Ufugaji na stadi zilizopo ziendelee. 20Singida Singida Singida FDC Useremala,Uashi, umeme wa nyumbani,ushoni, na upishi na lishe Ufundi Magari, Udereva, Kompyuta, Menejimenti ya Hoteli na Utalii, Userermala, Uashi, Umakenika, Kilimo, Ufugaji na Umeme Iramba Msingi FDC Useremala, Upishi, Ushonaji, Uchomeleaji Chuma. Kilimo, Ushirika, Ufugaji wa nyuki na Urinaji wa asali, Upishi na Lishe, Udereva, Ufundi Magari, Uashi, Udereva, Ufundi wa Friji, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Upishi na Uendeshaji wa migahawa. 21Shinyanga Shinyaga (M) Buhangija FDC Ushonaji, Upishi, Ujasiliamali, Useremala, Umeme Majumbani, Uchomeleaji, Stadi za Maisha na Masomo ya Jioni. Mitambo na Magari, Ufundi Bomba, Udereva, Uashi, Kompyuta, Upambaji, Usindikaji Mazao, Umeme wa Magari, Umeme, Useremala, Ushonaji, Upishi, Uungaji Vyuma, Uashi, Kilimo, Ufugaji na Hotel Management na stadi za sasa ziendelee. Geita Mwanva FDC Umeme wa Majumbani, Uashi, Useremala, Umakenika, Kompyuta, Udereva, Kilimo, Ushonaji na Welding. Ufundi Bomba, Ujasiliamali, Umeme wa Mgari, Electronics, Fitter Mechanics, IT, Ushonaji, Useremala, Uashi, Uhazili, Kompyuta, Ufundi Magari, Uungaji Vyuma, Umeme Majumbani, Ufundi Rangi, Uchoraji, Kilimo, Udereva na Ufundi Viatu. Malampaka Malampaka FDC Kilimo, Ufugaji, Useremala, Uashi, Ujasiriamali. Udereva; Kilimo; Ufugaji; Welding; Fitter Mechanics na Mv Mechanics, Ushonaji, Useremala, Uashi, Umeme, Mv Mechanics, Udereva, Catering & Hotel Management na Computer Applications Bariadi Baradi FDC Useremala, Kilimo, Uashi, Ushonaji, Udereva, Ujasiliamali, Elimu ya Biashara, Elimu ya Jinsia, Elimu ya UKIMWI na Uraia. Kompyuta, Umakenika, Ufundi Chuma, Uchmeleaji, Umeme wa Majumbani, Umeme wa Magari, Electronics, Udereva, Ufundi Magari, Useremala, Ushonaji, Upishi, Kilimo, Uungaji Vyuma, Uchongaji Vyuma, Ufundi Bomba, Uchoraji na Ufundi Rangi.
Ambatisho Na. 1: Mafunzo yanayotolewa katika Vyuo vya Ufundi Stadi nchini
S/N Training Area Occupations 1 Building Construction 1.1 Masonary & Bricklaying
1.2 Capentry & Joimery
1.3 Plumbing & Pipe Fitting
1.4 Painting and Decoration2 Metal Work 2.1 Welding and Fabnrication
2.2 Blacksmithing
2.3 Fitter Mechanics Work3 General Maintenance and Mechanics 3.1 Motor Vehicle Mechanics
3.2 Agro – Mechanics
3.3 Motor Cycle/Bicycle Maintenance4 Electrical Installation 4.1 Domestic Electrical Inatallation
4.2 Telecommunications5 Clothing and Textile 5.1 Tailoring
5.2 Tie and Dye
5.3 Batik
5.4 Handloom Weaving6 Agriculture and Food Processing 6.1 Crop Production
6.2 Horticulture
6.3 Floriculture
6.4 Meat Processing Technology
6.5 Mushroom Production
6.6 Dairy Production
6.7 Wine Making
6.8 Poultry Production
6.9 Vegetable Production
6.10 Vegetable Processing
6.11 Animal Husbandry7 Hotel & Services 7.1 Food Production
7.2 Food & Beverage Services
7.3 House Keeping
7.4 Front Office
Hivi povu lote hilo la nini?!Hao waliohusika kuandaa muongozo huu wanatakiwa wajitathmini kama kweli hizi sio akili za kushikiwa!
Unaongea kana kwamba hao waandaa miongozo ni malaika vile, mengine huwa ni mambulula tu na hupelekea hata kuharibu mfumo mzima wa elimu! Hivi mmesahau yule waziri wa elimu mwenye asili ya kikenya akishirikiana na wenzie walivyoikoroka elimu ya tz kipindi chao! Majitu mengi yakichaguliwa kukaa na kutengeneza miongozo huwa yanakimbilia posho tu! Na hata nafasi hizo muda mwingine huwa zinatolea kwa upendeleo, wanaachwa vipanga yanapelekwa kujadiri mambulula na matokeo yake ndio kama haya...upuuuzi tupu!
Utamwaga sana mapovu lakini haitakusaidia kitu manake uamuzi ndo umeshapita!!! Yaani ulivyo-mind utadhani hiyo pesa unatoa wewe; aaaaaargh!! Yaani yote hiyo kwa sababu ya siasa... yaani povu lote hilo ni kwa sababu hutaki ionekane Magufuli alikurupuka, na kwa sasa ameshaufyata!!!Hivi ndivyo vinavyowafaa wazazi(wanaopata mimba shuleni) ili waweze kusapoti watoto wao na wao pia! Siyo kuwarudisha kwenye mfumo rasmi wa primary na secondary school!
Sasa nani anayemwaga povu kati yangu na ww 😂 😂 😂 😂 😂 !Hivi povu lote hilo la nini?!
Huyo mtoto aliyepata mimba akiruhusiwa kuendelea na shule wewe au familia yako mnapungukiwa na nini?!
Ni kwamba una roho mbaya na hutaki kuona watoto wa maskini wakifanikiwa au hayo mapovu ni kwa sababu unataka kuendelea kumtetea Magufuli ambae hata mwenyewe na serikali yake wameshaufyata?!
Yaani upo tayari kuona watoto wa maskini wanaishia kuuza maandazi ili mradi tu Magu aonekane alikuwa sahihi ingawaje ni kinyume ni miongozo ya serikali?
Hivi kwa akili yako kuna mtoto wa mwenye nacho anayeweza kupata mimba na kuacha shule kifala namna hiyo wakati wazaz wake wana uwezo wa kwenda kuichoropoa hiyo mimba ikibidi hata nje ya nchi?!
Au hata kama wasipochoropoa, unaamini msimamo wa Magu wa kutaka wanafunzi wasirudi serikalini wao utawaathiri wakati uwezo wa kusomesha private wanao?!
Yaani upo tayari kuona kizazi cha maskini kinaendelea kuwa maskini kwa ajili ya kumtetea Magu?!
Yaani bila aibu unalinganisha suala la Mungai na suala la kumpa mtoto second chance?! Inaonekana uamuzi wa Mungai uliathiri elimu... huyo mtoto akipewa fursa ya kuendelea elimu inaathirika kwa namna gani hadi ufananishe na suala la Mungai?
Again, wewe kama wewe unapungukiwa na nini mtoto kama huyo akiendelea na masomo?!
Familia yako itapungukiwa na nini?
Kama una watoto, watoto wako watapungukiwa hao mabinti wakipewa second na ikibidi hata third to tenth chance?! Utapungukiwa na nini?!
Usiseme wazazi na wanafunzi,sema wanafunzi waliozaa na ambao hawajazaa!Mie nakubaliana na mawazo na msimamo wa dhati wa Magu ktk hili! Haifai kuwachanganya wazazi na wanafunzi, haijakaa sawa hata kidogo hii! Walioandaa upuuzi huo wajitathmini vichwa vyao!
Utamwaga sana mapovu lakini haitakusaidia kitu manake uamuzi ndo umeshapita!!! Yaani ulivyo-mind utadhani hiyo pesa unatoa wewe; aaaaaargh!! Yaani yote hiyo kwa sababu ya siasa... yaani povu lote hilo ni kwa sababu hutaki ionekane Magufuli alikurupuka, na kwa sasa ameshaufyata!!!
Acha upuuzi, ww umefanya utafiti gani wa madhara yatakayotokea tukiamua kutekeleza upuuzi huo!Usiseme wazazi na wanafunzi,sema wanafunzi waliozaa na ambao hawajazaa!
Halafu tumia tafiti,je kuna madhara gani kufanya hivyo?Sio kuendeshwa kwa hisia tu!
Whether namtetea Magu kwa jinsi ufahamu wako ukutumavyo au naelezea mambo ambayo uwezo wako kwa sasa ni mdogo sana kuelewa, hayo siyo muhimu kwa sasa! Sina tatizo na hiyo fedha, ninatatizo na future ya watoto wa kike nchini ukitekeleza utaratibu unaowaonyesha kutokuwa na tangible consequences za kubeba mimba kama kupoteza nafasi ya mfumo rasmi wa shule, ukiacha yale yanayoweza kumuathiri kibiologia!Utamwaga sana mapovu lakini haitakusaidia kitu manake uamuzi ndo umeshapita!!! Yaani ulivyo-mind utadhani hiyo pesa unatoa wewe; aaaaaargh!! Yaani yote hiyo kwa sababu ya siasa... yaani povu lote hilo ni kwa sababu hutaki ionekane Magufuli alikurupuka, na kwa sasa ameshaufyata!!!
Marekani (US) yaiasa Benki ya Dunia: "Tanzania isipewe mkopo wa maendeleo ya elimu kwa wakati huu, bado kuna masuala yanahitajika kuwekwa sawa kwanza" - JamiiForumsBenki ya Dunia imepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola millioni 500M sawa na Tsh Trillion 1.3 ambao ulisitishwa Januari 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kupinga mchakato wa upitishwaji wake.
Taarifa za kuahirishwa kwa kura hiyo ziliungwa mkono na Wanasiasa na wanaharakati wakiitaka Benki hiyo isitoe mkopo huo kwa Serikali kutokana na kile walichokiita kuwa ni sera na sheria ya elimu ya kibaguzi.
Mkopo huu utaenda kuongeza ufanisi kwenye sekta ya elimu ambayo imepitia mapinduzi makubwa miaka 4 iliyopita, ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa Elimu bure Mpaka Sekondari
Mkopo huu utaenda kuongeza ufanisi kwenye sekta ya elimu ambayo imepitia mapinduzi makubwa miaka 4 iliyopita, ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa Elimu bure Mpaka Sekondari.
==========
Habari kwa undani:
WASHINGTON D. C. March 31, 2020 – The World Bank’s Board of Executive Directors today approved a credit from IDA, the World Bank’s fund for the poorest countries, which will enable millions of young Tanzanians to access and complete secondary education in safer and better learning environments.
The $500 million Secondary Education Quality Improvement Project (SEQUIP) will directly benefit about 6.5 million secondary school students by strengthening government-run schools and establishing stronger educational pathways for students who leave the formal school system.
SEQUIP uses a disbursement mechanism that is phased and releases funds in tranches only when previously agreed results have been achieved. These include increasing access to schools, improving education quality for all public secondary education options, and supporting more children to re-enter the formal public system if they drop out.
“Every child in Tanzania deserves a good education, but thousands are denied this life-changing opportunity each year. This project puts the country’s young people front and center; it also dedicates two-thirds of its resources to better and safer learning environments for girls,” said Mara Warwick, World Bank Country Director for Tanzania. She added, “This is an important step in addressing the challenges that Tanzania’s children face throughout their education. The World Bank will continue our dialogue with the government on broader issues concerning equal treatment of schoolchildren.”
Tanzania’s Fee Free Basic Education Policy has led to more children entering school: primary enrollment rose from 8.3 million to 10.1 million between 2015 and 2018, while secondary enrollment increased from 1.8 million to 2.2 million. But despite better access, the secondary education system suffers from low quality and high dropout rates. Nearly 60,000 students (30 percent) fail to complete their schooling each year, and children are not learning enough, particularly in mathematics and science, due to a lack of skilled and motivated teachers, large class sizes, and a poor learning environment. There is also a large gender gap in upper secondary school enrollment, as this learning environment has more effect on girls and their performance in exams.
“Tanzania, like many countries around the world, is suffering from a learning crisis, where children are either not in school, or are in school but not learning,” said Jaime Saavedra, Global Director for Education for the World Bank. “Of 100 children who start school in Tanzania, less than half will finish primary and only three will complete their upper secondary schooling. This is a crisis. This project will support better quality secondary education, while helping make school a safer place where children can thrive, and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education.”
Over the past two years, about 300,000 children, half of them girls, have been unable to continue their lower secondary education due to insufficient space in public schools. In addition, an estimated 5,500 Tanzanian girls who are pregnant drop out every year. SEQUIP has been designed to enable more adolescent girls and boys to transition to upper secondary education. It gives pregnant girls, young mothers, and other vulnerable children who leave school early the possibility to return to the formal system and complete their education. The project tackles the issues facing pregnant girls with an approach informed by civil society organizations and NGOs, in Tanzania and around the world.
“SEQUIP’s design strives to give pregnant girls and young mothers a better chance to complete their education,” said Caren Grown, Senior Director of the Gender Group at the World Bank. “The Bank has stepped up its work to create a new generation of education programs that emphasize safe school environments for girls and boys, including measures that reduce gender-based violence, corporal punishment, bullying, and other forms of violence in and around schools. It gives girls better quality choices and opportunities for completing their secondary education.”
The project will be implemented under the Bank’s new Environmental and Social Framework; the government has committed to offering all stakeholders opportunities to engage in consultations during project implementation and to supporting construction of school infrastructure that is safe and built to good environmental and social standards. Citizen engagement in the project will be enhanced through civil society input and strong mechanisms to redress grievances.
The population of secondary education students in Tanzania could double to 4.1 million by 2024. The five-year SEQUIP operation will help address this demand through four components, with disbursement of funds linked to clearly defined, measurable, and independently verified results through four components.
Component 1: Empowering girls through secondary education and life skills. The project aims to improve access to safe secondary education in schools and alternative education centers and to help girls continue and complete this schooling. It aims to help 900,000 more girls attend secondary school.
Component 2: Digitally-enabled effective teaching and learning. The project will introduce digital technology to facilitate math and science teaching and improve learning and teacher efficiency. It aims to improve the quality of secondary school teaching and learning environments.
Component 3: Reducing barriers to girls’ education by facilitating access to secondary schools. The project will support government efforts to expand the number of secondary school places, reduce the distance between a student’s home and her school, and ensure that schools offer safe and good-quality learning environments. This component will also ensure that adequate funding is available as secondary school enrollment expands.
Component 4: Project coordination, monitoring, and evaluation. The project will help reinforce existing capacity, inform education planning and policy decision-making, and implement key activities. Parent-teacher associations and school boards will be trained for close tracking and support to at-risk students, especially girls.
The SEQUIP operation was redesigned and approved following an extensive dialogue between the World Bank and the government of Tanzania. The increase from the initial project funds is due to two factors: first, the increase of children who are expected to enroll in secondary school would have made it difficult to achieve the goals of the project. Second, the stronger emphasis on girls’ education, which translates into two thirds of funds going exclusively to girls, requires more funds to focus on preventing drop-outs and enabling re-entries.
Source: New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys
Kenya na Uganda wanawaruhusu,kuna madhara gani yametokea?Acha upuuzi, ww umefanya utafiti gani wa madhara yatakayotokea tukiamua kutekeleza upuuzi huo!
Eti usiseme wazazi, kwani mtu aliyezaa huitwaje? Hebu toa upuuzi wako, hao ni wazazi wanafunzi, na wale ni watoto wa shule! Huwezi kuwaweka pamoja bika kufundishana elimu nyingine hapi shule!!