Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Acha kua popoma wewe,
Sio uzito wa kabwenye ndio pekee aliyesema wazi ,N.G.O kibao ziliseka wazi..

Halafu sio kwamba eti ukiona hivyo kwwnye vitaarifa ndio ujue tayari imeasha implementiwa ,

Jiongeze wewe Kabwenyenye,
Unayetumia ID nyingine
Waliandika barua..?
 
Kiza hakiwezi shindani na Mwanga. Congole JPM
 

Sidhani kama umelielewa tamko la World Bank.

Amandla........
 
Hii mada ya kijinga sana. Siku zote Jiwe amekuwa anajinasibu kuwa Tanzania ni nchi Tajiri na yaweza kuwa "donor" country kwa nchi zingine. Na anasema anajenga miundombinu kwa hela za ndani. Sasa nashangaa mtoa mada unataka tukushangilie kupata mkopo wa WB. This is too low for a GT
 
tatizo sio zito wala mkopo wala jpm. tatizo ni system ya elim hpata tz inatakiwa ifumuliwe yote tuweke standards kiasi kwamba mtoto wa wazir na mwanangu wasome shule moja ya serikali sio elimu bure hakuna mtoto hata mmoja wa kiongozi kwenye hio elimu bure..? halafu kingine tunakaa shule miaka mingi kwann usiwekwe mfumo kijana wa miaka 18 tyar ni professional ana degree na kila elim aloplan kua nayo? tunapoteza muda mwingi kurudia yale yale vidato vyote ujinga tuu matokeo yake kijana akimaliza haahiriki hata interview ya ku jintroduce mwenyew hawezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna baunsa mbele ya njaa, awamu ya tunatekeleza imekubari watoto walipata mimba kurudi shule na wb watatoa huo mkwanja kwa mafungu huku wakimonitor situation, fukuzeni watoto shule mkatiwe misaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima uwe na upeo wa hali ya juu kuelewa maana ya hela ya ndani. Baadhi ya mambo sio kwa ajili ya kila kichwa, basi tuu tunapenda kudandia kila kitu.
 
Hawa majamaa wanafki sana tulishakubiliana izo hela zituzwe kwanza mpaka mchakato wa uchaguzi mkuu ipite ndoo wazitoe, ili zilenge field yenyewe. So now zikiletwa zitaelekezwa kwa uchaguzi, ila nawaza siyo kweli chamsingi tuombe upepo wa corona ipite mbali tyuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tarifa zitto kabwe kaipokea kwa masikitiko makubwa sana kama msiba vile ila ndo washa pewa ivo
 
Siku zote shetani hamshindi Mungu hata siku moja never!
Inawezekana mkopo umepitishw baada ya serikali kukubali kuondoa zuio la wasichana wanaopata mimba wasiendelee na masomo. Kama ni hivyo ni sawa kabisa. Hicho ndo Zitto alikuwa anapigania.
 
Nimeamini Nimeamini. Supporters wa Maghufuli ni misukule ambayo hata ikisoma haielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…