Hakuna mtego tukubali tu kuna mmoja kakubali masharti ya mwenzake full stopif
"..if they wish.." Pana mtego hapo. Anyway, bebesha mimba wakwako arudi shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtego tukubali tu kuna mmoja kakubali masharti ya mwenzake full stopif
"..if they wish.." Pana mtego hapo. Anyway, bebesha mimba wakwako arudi shule.
Waliandika barua..?Acha kua popoma wewe,
Sio uzito wa kabwenye ndio pekee aliyesema wazi ,N.G.O kibao ziliseka wazi..
Halafu sio kwamba eti ukiona hivyo kwwnye vitaarifa ndio ujue tayari imeasha implementiwa ,
Jiongeze wewe Kabwenyenye,
Unayetumia ID nyingine
Kiza hakiwezi shindani na Mwanga. Congole JPMBenki ya Dunia imepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola millioni 500M sawa na Tsh Trillion 1.3 ambao ulisitishwa Januari 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kupinga mchakato wa upitishwaji wake.
Taarifa za kuahirishwa kwa kura hiyo ziliungwa mkono na Wanasiasa na wanaharakati wakiitaka Benki hiyo isitoe mkopo huo kwa Serikali kutokana na kile walichokiita kuwa ni sera na sheria ya elimu ya kibaguzi.
Mkopo huu utaenda kuongeza ufanisi kwenye sekta ya elimu ambayo imepitia mapinduzi makubwa miaka 4 iliyopita, ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa Elimu bure Mpaka Sekondari
Mkopo huu utaenda kuongeza ufanisi kwenye sekta ya elimu ambayo imepitia mapinduzi makubwa miaka 4 iliyopita, ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa Elimu bure Mpaka Sekondari.
==========
Habari kwa undani:
WASHINGTON D. C. March 31, 2020 – The World Bank’s Board of Executive Directors today approved a credit from IDA, the World Bank’s fund for the poorest countries, which will enable millions of young Tanzanians to access and complete secondary education in safer and better learning environments.
The $500 million Secondary Education Quality Improvement Project (SEQUIP) will directly benefit about 6.5 million secondary school students by strengthening government-run schools and establishing stronger educational pathways for students who leave the formal school system.
SEQUIP uses a disbursement mechanism that is phased and releases funds in tranches only when previously agreed results have been achieved. These include increasing access to schools, improving education quality for all public secondary education options, and supporting more children to re-enter the formal public system if they drop out.
“Every child in Tanzania deserves a good education, but thousands are denied this life-changing opportunity each year. This project puts the country’s young people front and center; it also dedicates two-thirds of its resources to better and safer learning environments for girls,” said Mara Warwick, World Bank Country Director for Tanzania. She added, “This is an important step in addressing the challenges that Tanzania’s children face throughout their education. The World Bank will continue our dialogue with the government on broader issues concerning equal treatment of schoolchildren.”
Tanzania’s Fee Free Basic Education Policy has led to more children entering school: primary enrollment rose from 8.3 million to 10.1 million between 2015 and 2018, while secondary enrollment increased from 1.8 million to 2.2 million. But despite better access, the secondary education system suffers from low quality and high dropout rates. Nearly 60,000 students (30 percent) fail to complete their schooling each year, and children are not learning enough, particularly in mathematics and science, due to a lack of skilled and motivated teachers, large class sizes, and a poor learning environment. There is also a large gender gap in upper secondary school enrollment, as this learning environment has more effect on girls and their performance in exams.
“Tanzania, like many countries around the world, is suffering from a learning crisis, where children are either not in school, or are in school but not learning,” said Jaime Saavedra, Global Director for Education for the World Bank. “Of 100 children who start school in Tanzania, less than half will finish primary and only three will complete their upper secondary schooling. This is a crisis. This project will support better quality secondary education, while helping make school a safer place where children can thrive, and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education.”
Over the past two years, about 300,000 children, half of them girls, have been unable to continue their lower secondary education due to insufficient space in public schools. In addition, an estimated 5,500 Tanzanian girls who are pregnant drop out every year. SEQUIP has been designed to enable more adolescent girls and boys to transition to upper secondary education. It gives pregnant girls, young mothers, and other vulnerable children who leave school early the possibility to return to the formal system and complete their education. The project tackles the issues facing pregnant girls with an approach informed by civil society organizations and NGOs, in Tanzania and around the world.
“SEQUIP’s design strives to give pregnant girls and young mothers a better chance to complete their education,” said Caren Grown, Senior Director of the Gender Group at the World Bank. “The Bank has stepped up its work to create a new generation of education programs that emphasize safe school environments for girls and boys, including measures that reduce gender-based violence, corporal punishment, bullying, and other forms of violence in and around schools. It gives girls better quality choices and opportunities for completing their secondary education.”
The project will be implemented under the Bank’s new Environmental and Social Framework; the government has committed to offering all stakeholders opportunities to engage in consultations during project implementation and to supporting construction of school infrastructure that is safe and built to good environmental and social standards. Citizen engagement in the project will be enhanced through civil society input and strong mechanisms to redress grievances.
The population of secondary education students in Tanzania could double to 4.1 million by 2024. The five-year SEQUIP operation will help address this demand through four components, with disbursement of funds linked to clearly defined, measurable, and independently verified results through four components.
Component 1: Empowering girls through secondary education and life skills. The project aims to improve access to safe secondary education in schools and alternative education centers and to help girls continue and complete this schooling. It aims to help 900,000 more girls attend secondary school.
Component 2: Digitally-enabled effective teaching and learning. The project will introduce digital technology to facilitate math and science teaching and improve learning and teacher efficiency. It aims to improve the quality of secondary school teaching and learning environments.
Component 3: Reducing barriers to girls’ education by facilitating access to secondary schools. The project will support government efforts to expand the number of secondary school places, reduce the distance between a student’s home and her school, and ensure that schools offer safe and good-quality learning environments. This component will also ensure that adequate funding is available as secondary school enrollment expands.
Component 4: Project coordination, monitoring, and evaluation. The project will help reinforce existing capacity, inform education planning and policy decision-making, and implement key activities. Parent-teacher associations and school boards will be trained for close tracking and support to at-risk students, especially girls.
The SEQUIP operation was redesigned and approved following an extensive dialogue between the World Bank and the government of Tanzania. The increase from the initial project funds is due to two factors: first, the increase of children who are expected to enroll in secondary school would have made it difficult to achieve the goals of the project. Second, the stronger emphasis on girls’ education, which translates into two thirds of funds going exclusively to girls, requires more funds to focus on preventing drop-outs and enabling re-entries.
Source: New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys
ZITTO KABWE AUMBUKA.
Kampeni yake chafu dhidi ya Tanzania yakwama.
_
Benki ya Dunia yaidhinisha Mabilioni ya fedha za kusaidia Elimu alizotaka Tanzania inyimwe.
Saa chache zilizopita Benki ya Dunia kupitia Bodi ya Wakurugenzi Watendaji ya Chama cha Maendeleo ya Kimataifa (IDA) imefanya maamuzi ya kihistoria ya kuruhusu mkopo wa Dola za Marekani Milioni 500 utolewe kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha elimu ya Sekondari baada ya mjadala mrefu uliochukua miezi zaidi ya mitatu.
Uamuzi wa Benki ya Dunia umezima kampeni ya kidhalimu iliyofanywa na Mwanasiasa mpuuzi Zitto Kabwe aliyeandika barua kwenda benki hiyo akitumia nembo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka Tanzania inyimwe mkopo huo bila kujali athari zake kwa wananchi hasa wanyonge na maskini.
Zitto Kabwe akishirikiana na mabeberu wanaomfadhili alifanya uharamia kwa kuchochea uongo kuwa Tanzania inakandamiza wanafunzi wa kike kwa kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito ilihali anajua kuwa sio kweli na kuna utaratibu ulio wazi wa watoto hao kupata elimu kupitia programu mbalimbali za Elimu ya Watu Wazima, Mpango wa Elimu kwa walioikosa na vyuo mbalimbali.
Hili ni pigo jingine baya sana kwa Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakiichonganisha na kuichafua Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Kitamaifa kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa bila kujali athari ambazo wananchi wanazipata kutokana na kuinanga Tanzania ama kukwamisha miradi mikubwa na washirika wa maendeleo.
Katika safari ndefu ya mjadala ambao ulianza tangu Januari mwaka huu wa 2020, Benki ya Dunia imepiga chini msimamo wa mabeberu waliotaka Tanzania inyimwe fedha hizo baada ya kuingizwa mkenge na Zitto Kabwe.
Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Zitto Kabwe na wafadhili wake walikuwa wanashupalia Tanzania inyimwe fedha hizo? Ukweli ni kwamba Zitto na wadhalimu wenzake hawakuzuia fedha hizo kwa sababu ya kupigania wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shule kama wanavyodai, bali walishupalia Tanzania isipewe fedha hizo baada ya msimamo wa Serikali ya Awamu ya Tano kukataa kukopeshwa fedha ambazo zingeingizwa nchi kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) na miradi ambayo haina matokeo kwa wananchi ili baadaye zitumike kwa maslahi ya siasa za upinzani na sio wananchi.
Kwenye hili, Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Jemedali Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli inastahili pongezi za dhati kwa msimamo thabiti usiyoyumba na ushindi mkubwa dhidi ya kibaraka Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakipiga tripu kwenda mabeberu hao kufanya kampeni ya kuiangamiza Tanzania eti wakitaka kuiondoa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.
Kongole Rais Magufuli, hongera Watanzania wote kwa ushindi huu mkubwa. Zitto Kabwe na washirika wake washindwe na walegee.
Sasa Tanzania itapata Dola za Marekani Milioni 500 sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1 na Bilioni 135 kwa ajili ya kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata elimu ya Sekondari, kuboresha mazingira ya elimu kwa wasichana na kuinua ubora wa elimu kwa wasichana na wavulana.
Mkopo huu ni wa gharama nafuu na sio fedha za bure. Watanzania watazilipa, lakini sasa watalipa fedha ambazo zinakopwa na kuelekezwa kuwasaidia mamilioni ya Watoto wa Tanzania na sio kwenda kwenye NGO na miradi ya kupitisha fedha zinazokwenda kwa wachumia tumbo akina Zitto Kabwe na washirika wake.
Tunaamini Serikali ya Tanzania itatoa mchanganuo wa fedha hizi zinakwenda wapi na zitawanufaishaje Wanzania.
Kila la kheri Watanzania na pole sana Zitto Kabwe kwa kuangukia pua katika mchazo huu mchafu. Tambua kuwa Mwenyezi Mungu husimama na wenye haki na katika hili amesimama na Watanzania wenye haki na Rais wao mpendwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli.
Taarifa hii haina uhusiano na siku ya Wajinga Duniani. Ni ukweli mtupu na inapatikana katika tovuti mbalimbali za Kimataifa. Waweza kuisoma hapa kwenye tovuti ya Benki ya Dunia yenyewe
New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys
Mwl. Damas Masele MPJ
Mkufunzi Mstaafu.
31 Machi, 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mada ya kijinga sana. Siku zote Jiwe amekuwa anajinasibu kuwa Tanzania ni nchi Tajiri na yaweza kuwa "donor" country kwa nchi zingine. Na anasema anajenga miundombinu kwa hela za ndani. Sasa nashangaa mtoa mada unataka tukushangilie kupata mkopo wa WB. This is too low for a GTBenki ya Dunia imepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola millioni 500M sawa na Tsh Trillion 1.3 ambao ulisitishwa Januari 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kupinga mchakato wa upitishwaji wake.

Mleta uzi hajui kama watu walisalimu amri ndiyo mana wamepewa mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamanda wamebaki kujifaragua na kujibaraguza kama kawaida yao, duh. Habari imewauma kweli kweli.
M-mbabe,
Lazima uwe na upeo wa hali ya juu kuelewa maana ya hela ya ndani. Baadhi ya mambo sio kwa ajili ya kila kichwa, basi tuu tunapenda kudandia kila kitu.Hii mada ya kijinga sana. Siku zote Jiwe amekuwa anajinasibu kuwa Tanzania ni nchi Tajiri na yaweza kuwa "donor" country kwa nchi zingine. Na anasema anajenga miundombinu kwa hela za ndani. Sasa nashangaa mtoa mada unataka tukushangilie kupata mkopo wa WB. This is too low for a GT
Magufuli alitaka wasiendeleeUlitaka wasiendelee, au?
Tatizo WHO wanaandika kwa Lugha ya Kiingereza ndugu,sasa apo wewe kuelewa mpaka upate labda mkalimani.
Inawezekana mkopo umepitishw baada ya serikali kukubali kuondoa zuio la wasichana wanaopata mimba wasiendelee na masomo. Kama ni hivyo ni sawa kabisa. Hicho ndo Zitto alikuwa anapigania.Siku zote shetani hamshindi Mungu hata siku moja never!
Ila naskia mkulu kakubali wenye mimba wasomeKiza hakiwezi shindani na Mwanga. Congole JPM
Nimeamini. Supporters wa Maghufuli ni misukule ambayo hata ikisoma haielewiZITTO KABWE AUMBUKA.