mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajifunze kuandika kwanza wewe lumumba buku 7!Mtapata taabu saaaana mkuu! SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MWENYE HAKI, zitto mwenyewe katoa pongezi kupitia twiter! Naubaya sasa nayeye zitto yupo copyd.
Niaibu ya mchana kweupe, naitakuwa moja ya siraha yakumpigia zanziber na kigoma.
Yaani kumruhusu mtoto aendelee na shule ndiyo mambo ya hovyo?! Nyie watu ni watu wa ajabu sana!! Eti hawatakiwi kurudi shule za serikali. Jambazi anaua watu lakini akipelekwa hospitali huwezi kusema huyu hastahili kutibiwa hospitali za serikali!!Unawezekana huo utaratibu na hiyo "sheria" ya kuzuia watoto wakipata ujauzito hawatakiwi tena kurudi shuke za serikali ali iko cpy na ku paste kutoka USA! Huko ndivyo ilivyo! Lakini kwa akili zetu hizi wanatudanganya sisi tufanye mambo ya HOVYO katika shule zetu, Waende zao!
1. Why is the World Bank supporting Tanzania’s education sector through the SEQUIP project?
The main goal of the project is to provide children in Tanzania with better, safer, and more accessible secondary education to help build the country’s human capital. Specifically, the project will: (a) keep children in school and help all secondary school dropouts, including pregnant girls, pursue their secondary education; and (b) provide them with a path back into the formal public education system in the next cycle.[/QUOTE]Na sehemu ya pili Benki ya Dunia wanasema:-
Sasa wewe hizo simulizi zako za MEMKWA zimetolewa na Benki ya Dunia ipi?!2. How will SEQUIP support access to secondary school education for girls who drop out of school due to pregnancy?
Of the 60,000 students who drop out of secondary school every year in Tanzania, 5,500 leave due to pregnancy. While there is no government policy that states that students who become pregnant must be expelled from public schools, most pregnant girls do drop out.
Through the project and our ongoing policy dialogue with the government, the World Bank and other development partners will continue to advocate halting the practice of expelling pregnant girls from public schools in Tanzania so that they can continue their education in their existing school if they wish.
Na ikiwa msimamo wao kwa wanafunzi wa sekondari ndo huo, what about primary school dropouts?
Kumbe unaleta ushabiki wa kisiasa hapa... shame on y'all!! Yaani upo radhi kuona watoto wa maskini wanakosa elimu kisa tu Magufuli aonekane alikuwa sahihi?!Basi hilo jeshi jingine chini ya Mfalme wa CDM limsaidie!
Mkuu apa umenipa elimu...kumbe nchi au mtu anaweza kutaka tu kukopa ata kama pesa anazo za kufanya ilo jambo. Alafu anakopa kwa masharti na ribs juu...Ahsante kwa Elimu hiiKama una uwezo wa kukopeshwa ina maana una uwezo wa kulipa. Pesa unazotumia kulipa ni pesa zako za ndani. Kwa maana hiyo huo mkopo ni kama unatumia pesa zako mwenyewe. Ni tofauti na msaada ambao pesa si zako hivyo mwenye kauli ni yule aliyrkupa msaada.
Na kimsingi, kwa sasa hakuna uhakika wa 100% kwamba mkopo utatolewa kwa sababu serikali wana kibarua kingine cha kufanya, na wakikamilisha na kuwa approved na WB, ndipo mkupuo wa kwanza utatoka kwenye FY 2021... katika sakata hili Zitto ametoka kidedea. Maoni na mapendekezo yake yamezingatiwa.
..gazeti la mwananchi wameripoti kuwa fedha hazitatoka mpaka 2021.
..pia kutakuwa na ukaguzi wa WB ktk matumizi ya fedha hizo.
..vilevile hazitoki zote kwa wakati mmoja. Maana yake ni kwamba tukiharibu hapo katikati zinaweza kusitishwa.
..lingine ni kwamba huu ni MKOPO. Ni jambo la fedheha kununua ndege zinazotutia hasara halafu tunakwenda kukopa kwa ajili ya elimu.
Cc Chige
Kwa kifungu hicho hapo juu utaona wazi kwamba suala la mkopo kutoka hata kwa hiyo awamu ya kwanza, bado ni conditional.10. When will funds for SEQUIP be disbursed?No disbursements will be made under the project until it is declared effective. It can only become effective when a detailed Project Operations Manual (POM) is prepared by the government and is reviewed and cleared by the World Bank
Hapa sikubaliani nao kabisaa. Ni ujinga.It gives pregnant girls, young mothers, and other vulnerable children who leave school early the possibility to return to the formal system and complete their education.
Na kimsingi hayo maboresho yalishafanyika bali Magufuli ndie alitaka kufanya mambo tofauti na na mwongozo wa wizara uliotolewa tangia 2009.Egnecious,
Huna haja ya kukuza mambo, kumbeza mtu mmoja na kumtukuza mwingine! Almost kilichofanyika ndicho kilikua kilio cha wanaharakati wote kwamba ni lazima yafanyike maboresho ili watoto waliokatiza masomo wapate fursa ya kuendelea na masomo.
Kama umeielewa hiyo article bila shaka utagundua kua mapungufu yaliyopigiwa kelele yameboreshwa. Tusipende kua bendera fuata upepo!
Pole sana, mwongozo wa 2009 haukuandaliwa na Ziito!!Chige,
Tangu lini zito akajali masikini ww? Hicho ni kiini macho na siasa za maji taka! Zito aliwajali acasia na wenzie!
Tatizo huelewi! Nimeshasema mara kadhaa wote wanapata mimba lakini wanaoathirika ni watoto wa maskini kwa sababu wale wenye uwezo hata wakipata mimba wanaendelea na masomo hata kama ikibidi kwenda Ulaya kusoma... watasoma!Na ustake kutuaminisha mimba wanabeba watoto wa maskini! Na pointi hapa ni kuzuia mimba hizo za utotoni zisitokee!
Mtoto anayejitambua hawezi kupata mimba hata kama anafanya mapenzi, na ndio maana mimba nyingi zipo primary hadi somewhere kidato cha pili kwa sababu bado wanakuwa wadogo wasiolewa lolote!Na kwa kiasi kikubwa sheria zetu ziliwatisha watoto waliokuwa wakijitambua kutoshiriki mapenzi kwa kuhofia kukatiza ndoto zao za kufikia malengo yao kiuchumi!
Serikali ni ya wote... vichaa, vilaza, majuha, wendawazimu, wezi, watakatifu, n.k!Wakati huohuo hazikuwatisha kivile wale watoto mbulula wasiojitambua na wasio na malengo waliojipangia kuamua kufupisha safari!
Hao wanaoshawishiwa ni watoto wa primary, na ndio mara kwa mara tumekuwa tukisikia wakishawishiwa hata mitihani yao vibaya ili wasifaulu!Pia kuna wazazi ambao wao waliwashawishi watoto wao kutoendelea na masomo na badala yake waolewe!
Ubakaji ni ubakaji... so longo mtoto hajafikisha 18, hakuna suala la kukubali mwenyewe hapo, bali anakuwa amebakwa!Kijumlisha na matukio ya ubakaji wa kibabe, Sceneria zote hizi ndio zilipelekea idadi hiyo ambayo kimsingi ni ndogo ya watoto kuwa wazazi!
Norms zinazokiukwa?! Miafrika ndo inaongoza kwa mambo ya hovyo hovyo na ya kipumbavu!! Miafrika ndo inaongoza kwa kupenda ngono! Miafrka ndo ina tabia za kutembea au hata kuoa watoto wadogo! Sasa hizo norms zinazokiukwa ni zipi?!Huo muongozo japokuwa ni wa 2009, haujawa 'implemented' kwa kuwa unapingana na all norms za kitz! Hauna mantiki, na hata walioupitisha tungetamani kuwajua!
Kamuulize JPM, ili iweje anakubali wazazi wasome darasa moja na watoto!!Hao wanaolazimisha wazazi wasome darasa moja na watoto! Ili iweje?
Kwahiyo akienda kusoma shule za binafsi mnakosema wanaweza kwenda huko, network zao ndo zitasoma sawasawa?!Huyu mzazi hata network yake inakuwa imebadirika, akimuwaza mwanae, mapenzi ya baba mtoto, na hata kuwazia makuzi ya mwanae ambae atakuja kumuona babae miaka 30 ijayo!
Mkuu @Chige,tulikosa nondo zako jukwaani. UbarikiweFYI, huwa siandiki mambo kwa hisia kama mfanyavyo wengine especially watetezi wa mfumo! Kwamba ni "utamaduni wa Kitanzania" maana yake nini?! Taifa haliendeshwi kwa tamaduni bali kwa misingi iliyojiwekea!!
Tafuta online, au nenda pale Wizara ya Elimu waombe document titled:
Huo ni muongozo wa serikali kupitia Wizara ya Elimu ambao ulitolewa April 2009. Section 2.3 ya muongozo inatoa maelekezo kwa wazazi/walezi kwamba:-
Aidha, section 2.6 ya Muongozo unatoa maelekezo kwa serikali kwamba:-
- Shall be counseled and guided by the school leadership on the pregnancy of the school girl;
- Shall show empathy and accept to take care of the pregnant girl;
- Shall be guided and counseled by the school leadership concerning maternal health of the pregnant schoolgirl;
- Shall be informed and required to fulfill re-admittance requirements;
- Shall be required to update the school leadership on the health condition during pregnancy and after birth; and
- Shall be involved in deciding on which mode of education (Formal or informal) and school the pregnant girl would like to continue with, after giving birth.
Huo ndio MWONGOZO halali ambao Magufuli anaukanyaga! Sasa wewe niwekee hapa huo utamaduni unaosema kwamba watoto wa kike wakipata ujauzito, ni marufu kuendelea na elimu rasmi kwa shule za serikali!!!
- Shall educate and sensitize the society/community on the importance of readmitting impregnated school girls;
- Shall educate and sensitize the society/community on the process of readmitting impregnated school girls; and
- Shall empower school leadership on the issue of readmission of pregnant school girls; and
- Shall task the ward social welfare officers to monitor the health welfare of the impregnated school girls.
Kwanini uwatishe badala ya kuweka mikakati inayoeleweka kuhakikisha hakuna ujauzito?! Hivi unaweza kunieleza hapa serikali ina mkakati upi kuhakikisha watoto hawafanyi ngono za mapema au angalau hizo ngono salama?
Btw, kama kuwatisha mbona mimba bado zipo pale pale hata siku hizi ambapo watoto wanaanza shule mapema sana?
Unamaanisha Wizara ya Elimu hawana akili timamu, au?!
Ukweli ni kwamba, kama nilivyowahi kusema kwenye post moja wapo hapa jamvini, Mh. JPM ni mkurupukaji, na wala hafahamu misingi ya serikali mwenyewe!!
Hapa JPM alikuwa kama wewe tu kwa kuamini "kutimua shule wanaopata ujauzito ni utamaduni wetu" bila kufahamu mwaka 2009 serikali kupitia wizara ilitengeneza utaratibu wa kuhakikisha watoto wanopata ujauzito hawafukuzwi, bali wanakuwa suspended na kurudi tena shuleni unless kama ataamu mwenyewe kuendelea kwenye mfumo usio rasmi ambao Magufuli na wafuasi wake wanadhani ndo sheria inavyosema!Hoja ya Zitto kivipi?! Kwani Zitto anafanya kazi Wizara ya Elimu au alihusika kwenye kuandaa huo muongozo?
Btw, Wakopeshaji gani waliodharau hoja ya Zitto?! Hivi umesoma maelezo ya WB au unaongea tu?!
Kipengele kimoja cha taarifa ya World Bank kinasema:-Hiyo ndo kauli ya WB ambayo inaakisi sehemu ya mwongozo wa serikali nilioweka hapo juu!
Kwa maana nyingine, suala la wanafunzi kutimuliwa sio la kisera bali ni la JPM na watu wake!!!
Sehemu nyingine ya taarifa hiyo ya WB inasema:-Sasa wewe habari kwamba WB wamempuuza Zitto umezitoa wapi?!
Na labda nikujuze lingine! WB hawatatoa fungu lote kwa pamoja bali watatoa kwa awamu baada ya kuhakikisha serikali inatekeleza masharti waliyopewa, including kuwaacha watoto wajawazito kuendelea na shule kama mwongozo wa wizara unavyosema:-
Of the project funds, 96 percent (US$480 million) are subject to (a) achievement of agreed results verified by an Independent Verification Agent subject to the World Bank’s approval; and (b) submission of evidence that the government has already spent an equivalent amount on eligible expenditures in the secondary education sector. Assuming that these conditions are met each year, the disbursement schedule, is as follows:
Na sio tu kwamba serikali watakuwa wanasema "tumetekeleza kwa kiwango fulani bali hadi pale Independent Verification Agent atakapothibitisha!!!Eti mmesikia wenyewe, achana na hao wengine; niambie wewe ulimsikia wapi kama sio unatumia nukuu za propaganda za Lumumba!!
- FY 2021 - US$72.47 million
- FY 2022 - US$101.10 million
- FY 2023 - US$114.73 million
- FY 2024 - US$98.52 million
- FY 2025 - US$85.37 million
- FY 2026 - US$27.81 million
Ambacho alisema Tundu Lissu, ni hiki hapa chini:-
Hiyo video ni ya dakika 3:43 lakini MATAGA kwa kujua Wa-TZ hamna utamaduni wa kutafuta ukweli, waka wanaongelea maeleo ya dakika 2 za mwanzo na wakawaficha zaidi ya dakika 1 unusu nyingine zilizobaki!
Sasa pamoja na kunitolea povu kwamba eti nimetumwa kuandika uzushi, kwa mwenye akili timamu hapa atajua ni nani aliyetumwa kuleta uzushi kati yangu na wewe! Yote niliyosema hapo kabla nimekuwekea ushahidi, weka hapa ushahidi wa maelezo yako!!!
Umeelewa kilichoandikwa kwenye barua ya WB!?Lakini msimamo wa serikali si upo pale pale? Ukipata mimba altenative program ni veta au kajifunze kijiweni charahani. Kwa mantiki hii aliyeabika ni yule aliyaekurupuka kupinga pesa za mkopo zisitolewe.
Kawaambie wanao wamimbwe hafu warudishe xule uone mambo.