Check here mkuu: Nigeria vs Argentinagame ya argentina na nigeria si tunaendelea hapa hapa au ndio thread nyingine ishafunguliwa?
Mwanzo tu Nigeria washaanza kunifanya nisikie tumbo linaumaMiye sitalala mapema bali siku yote itakuwa imeharibika na si ajabu kuwa mgonjwa.
Nadhani hukuangalia vema... YETHUUUUU!Tunakoswa koswa jamani!!!!
Abuu et al, this will be a long day. Nendeni tu mkalale mapema.
Sasa nigeria wamefungwa na vuvuzela zikakolea. Ina maana waajentina nao wanazo?
Usipoteze muda wako..Naija hakuna quality.Mkuu, hapa mpaka kieleweke tu...lakini maumivu yameanza mapema sana...:sick::sick::sick: