World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Twende kazi wakuu. Akifungwa mnaija naenda kulala mapemaaa!!!...:A S-omg:

Miye sitalala mapema bali siku yote itakuwa imeharibika na si ajabu kuwa mgonjwa.
 
Gooooaaaaallllllll!!!!!....Argentina moja!

Duh jamani inabidi kutayarisha kikapu hapa.
 
Abuu et al, this will be a long day. Nendeni tu mkalale mapema.
 
Sasa nigeria wamefungwa na vuvuzela zikakolea. Ina maana waajentina nao wanazo?
 
Nigeria umaliziaji vipi? Kuna kipindi kwa dakika chache hivi waliwachezesha Argentina defensive game lakini umaliziaji hamna.
 
hapa leo kazi hipo kwa nigeria manake hata nikiwashauri wawe more physical tatizo linakuja kwenye pace ya argentina ni noma.
 
People have to accept kwamba ile enzi ya akina Okocha imepita..lol..some bitter pill.
 
Back
Top Bottom