klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hehehe mkuu una moyo kweli, mwenzako invizibo kaona hakieleweki kasepa, inawezekana kabisa ka log out bila kuaga.ha ha ha nipo na SPAIN mkuu bado, mashambulizi ya portugal ni kawaida ya mpira hayanitishi viile.
hapa nadhani leo hakuna underdogs kuna huyu "favourite wa kichina" (SPAIN) ambae anaaga mashindano usiku wa leo. si unamuona anavyokoswa koswa?
Nadhani hiyo w ungeiondoa mkuuSpain watashangazwa hapa!
Nadhani hiyo w ungeiondoa mkuu
sasa mpira utachezwa..........
mimi nilijiuliza sababu ya komona kupewa penati apige baada mtangazaji kutaja historia ya jamaa.kwanza ni beki sio mbaya lakini mabeki ni wazuri sana kupaisha penati,alafu jamaa hajawai kuifungia goli japan,labda hawakuwa na mtu mwingine zaidi ya huyu kama ingekuwa kwenye extra penaties ningeelewa lakini 5 za mwanzo?Yaani we acha tu...miye nilikuwa sina pressure na mechi ile lakini baada ya kumalizika penalties na baadhi ya Wacheza wa Japan kuanza kulia kama watoto niliwaonea huruma sana. I hope hawatamtungua na bunduki yule Komona.
:focus:
Defence yao inavuja sana
hehehe mkuu una moyo kweli, mwenzako invizibo kaona hakieleweki kasepa, inawezekana kabisa ka log out bila kuaga.