World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

I second your opinion AW....labda wanaogopa kuwaoffend waliotoa jina la Jabulani

tatizo sio jina la mpira,ni jinsi ulivyotengenezwa.....wangerekebisha jinsi walivyotengeneza na jina linabaki lile lile JABULANI.....
 
Hahahahahahah ! Mzee bei ya Jersey za England ziko reduced kwa 70% hahaha zilikuwa hazishikiki thanks to Mueller and co.

redknapp anaitaka timu,wampe tu haone kwamba tatizo sio kocha tatizo wachezaji maanake jamaa yule jeuri sana na analia sana na makocha wakigeni.
 
Hahahahahahah ! Mzee bei ya Jersey za England ziko reduced kwa 70% hahaha zilikuwa hazishikiki thanks to Mueller and co.

Si mali kitu tena...lakini sasa ndiyo wakati mzuri wa kununua kujiandaa na EURO 2012 na WC Brazil 2014
:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
 
Baby can have ile miguu ya Kizenji? hii nahitaji mawani ya Kapello loooh LOL

Naona hiyo ya Kapello itasaidia kuzoom zaidi!..lenzi yake inaelekea kali kweli!!Atakuwa ameshatua Eng sasa!!Ya kizenj iko kapuni bby!
 
redknapp anaitaka timu,wampe tu haone kwamba tatizo sio kocha tatizo wachezaji maanake jamaa yule jeuri sana na analia sana na makocha wakigeni.

Kocha England ni Roy Hodgson hao wengine pamoja Harry ni VUVUZELAS tu!
 
Kiongozi mnatuumiza masikio na Mavuvuzela yenu! LOL

Chukua moja nawe upulize Mkuu...maana ni raha tupu kupuliza Vuvuzela au ukipenda zeelavuvu lol!
:horn::horn::horn::horn::horn:
:horn::horn::horn::horn::horn:

Hivi mbu alipotelea wapi? Maana naona Team England imemuangusha once again.
 
huyu Torres liverpool wawape tu Chelsea hili wapate hela jamaa ana sinzia sometimes kinoma.

Heheh DeNovo na washabiki wengine wa Liverpool wakikusikia lazima wakubalase na mapanga lol...!!Hii mechi imekaa kama jamaa wanaogopana bana ebo!!
 
hako ka mguu nimeka zoom ,lakini hakaji kabisa (senk god waifu hayupo home ), hivi leo uko upande gani?

Yani bora asikune mana WC itageuka House Cup):- Leo kweli sipo mrengo wowote,Spain wakishinda nitafurahi sababu ya Villa&Xavi!
Hivi kwenye mechi hii nani UNDERDOGS leo?
 
Back
Top Bottom