World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hivi mbu alipotelea wapi? Maana naona Team England imemuangusha once again.

Yupo mtaani na kama ujuavyo ni mpenzi sana wa soka nahisi alikuwa na wasiwasi na timu yake na kwa mara nyingine tena wamemuangusha.

 
Heheh DeNovo na washabiki wengine wa Liverpool wakikusikia lazima wakubalase na mapanga lol...!!Hii mechi imekaa kama jamaa wanaogopana bana ebo!!

wao wenyewe wanajua kumchezesha Torres europa ni kutafuta stress tu locker room,wachukue hela waende ku-shop waanze upya.
 
Nilimpa server ban baadaya kutoa kejeli kwa Chelsea....will be back soon kabla ya Sept

Hahahahahahaha lol! akisoma hii ataibuka si muda mrefu ujao

:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
 
Hahahahahahah ! Mzee bei ya Jersey za England ziko reduced kwa 70% hahaha zilikuwa hazishikiki thanks to Mueller and co.

Kweli mkuu, siku ya ile match ya kwanza nilimkuta kijana analilia £35 yake. Kwa hiyo sasa itabidi wagawe bure!! Kelele zao pia zinawaponza!!
 
Hii mechi itanoga spain akifungwa......lol......otherwise itakuwa cat n' mouse hadi penati.......
 
Kweli mkuu, siku ya ile match ya kwanza nilimkuta kijana analilia £35 yake. Kwa hiyo sasa itabidi wagawe bure!! Kelele zao pia zinawaponza!!

Hahahahahahahahhhh nimeona JJB buy one get one free! £ 19.99
 
.......Hii game la leo ni ngoma nzito, ila lazima mshindi leo apatikane............yangu machoooooooo!!!
 
Torres kabadilika..Hairstyle sijaifagi kabisa!!..soka nako hanivutii leo..agrr
 
umenikumbusha mechi ya mchana,Japan nilitamani wapite..Ndo hivyo lakini :focus: vp Spain mbona hawafungi?

Yaani we acha tu...miye nilikuwa sina pressure na mechi ile lakini baada ya kumalizika penalties na baadhi ya Wacheza wa Japan kuanza kulia kama watoto niliwaonea huruma sana. I hope hawatamtungua na bunduki yule Komona.

:focus:
 
Bado ni wazushi tu. Hiyo pesa ya kunywa bia mwezi mzima utapoteza ya nini wati timu yenyewe ilishapigwa chini? Watajiju!!

Mkuu unaweka kama kumbu kumbu Souvenirs! Ilikuwa raha sana kwa Anti-England ....! LOL
 
Yaani we acha tu...miye nilikuwa sina pressure na mechi ile lakini baada ya kumalizika penalties na baadhi ya Wacheza wa Japan kuanza kulia kama watoto niliwaonea huruma sana. I hope hawatamtungua na bunduki yule Komona.

:focus:

It was emotional moment for sure BAK..Ndiyo imetoka mpaka 2014 wakiqualify!!.Wamsamehe Komona mana ndo mpira,nikimfikiria yeye binafsi naona hapati usingizi leo!!..
Spain hawafungi tu?!!Ronaldo atalia na yeye leo wakitolewa ha ha
 
Yani bora asikune mana WC itageuka House Cup):- Leo kweli sipo mrengo wowote,Spain wakishinda nitafurahi sababu ya Villa&Xavi!
Hivi kwenye mechi hii nani UNDERDOGS leo?
hapa nadhani leo hakuna underdogs kuna huyu "favourite wa kichina" (SPAIN) ambae anaaga mashindano usiku wa leo. si unamuona anavyokoswa koswa?
 
Back
Top Bottom