Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Sijui kwanini huwa haonyeshi vitu vyake kwenye timu yake ya Taifa kama alivyokuwa anatumia kipaji chake alivyokuwa MANU na sasa Real Madrid.
Ramos kamtoa goalie kosha kweli kweli!!!..Spain wanatafuta la pili kuwazika hawa Portugal kabisa!
hupo mkuu ?
Match imalizike ndani ya dak 90 tukalale. Itachosha sana kwenda kwenye extra time na matuta! Spani inabidi waendeleze hiyo kasi ili wasije kubabatizwa katika dakika za mwisho na kutupwa nje.
Usikute kimya kimya kalog off!!!!..ha ha
Wacheza si ndiyo wale wale wa kutoka kwenye vilabu ambavyo anaawaadhiri mara nyingi tu? au? Miye nadhani hajitumi kama anavyojituma kwenye klabu.
Wacheza si ndiyo wale wale wa kutoka kwenye vilabu ambavyo anaawaadhiri mara nyingi tu? au? Miye nadhani hajitumi kama anavyojituma kwenye klabu.