Huyu jamaa kayeyuka kabisa? Hahahaha... Leo naona siku imekuharibikia kabisaaa...! I told you mkuu:clock:dakika ndiyo zinayoyoma taratibu.
I'm really feeling for Ronaldo,huh!..Spain hureee!!
finaly umeitaja timu uliokuwa unashangilia ha ha ha.
AW kweli una macho, ila mbona hapo nimegusia timu zote ha ha!!..Kweli lakini kwavile Spain wameshinda,ndio nilikuwa nawashabikia!!..Panadol amepotea kimyaa namwambia...ushabiki ni kazi ngumu.he he
finaly umeitaja timu uliokuwa unashangilia ha ha ha.
Kama marefa hawataboronga.
Ghana Ghana Ghana Ghana all the way to semi final.
vuvuzela zangu nimeziamisha Ghanaaa .