klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hakikisha unakuwepo kwenye hii sredi mpaka kipute kinaisha, (kutakuwa na offer ya supu la utumbo ,BRAZIL akishakufanyishiwa), samba linasambaratishwa leo.Klorokwin naona wewe unafanya utani na Brazil ..angalia samba leo linavyochezwa pale uwanjani ..harafu utanipa majibu.:A S 39:
Kwa Ghana mmmh mungu saidia :A S-confused1: .....I reserve my comment
BRAZIL na URUGUAY wanaaga mashindano rasmi leo (hili halina mjadala kabisa, hata FIFA wanaelewa)
larissa riquelme, a curvy lingerie model who loves her national team, has been cheering the paraguay squad on from asuncion, clad in revealing outfits. The 24-year-old beauty has pledged to run naked through the streets "with my body painted with the colors of paraguay" if paraguay wins the world cup.
The gorgeous football fanatic is not the first person to promise to streak in the event of a world cup win. Argentina's coach diego maradona was the first prominent person to issue such a guarantee, and his team has also made the quarterfinals.
he he he ka laptopu kaliisha chaji bana, lakini leo BRAZIL anapelekwa kuzimu tu, mkuu kama ulikuwa upande wa BRAZIL ,muda bado upo wa kubadilisha kibao.sijui kuhusu Brazil mkuu ha ha ha usije ukakimbia tena kama siku hile lol.
hakikisha unakuwepo kwenye hii sredi mpaka kipute kinaisha, (kutakuwa na offer ya supu la utumbo ,BRAZIL akishakufanyishiwa), samba linasambaratishwa leo.
BTW:hako ka avatar kama unanitazama mimi hivi? hehehehe
he he he ka laptopu kaliisha chaji bana, lakini leo BRAZIL anapelekwa kuzimu tu, mkuu kama ulikuwa upande wa BRAZIL ,muda bado upo wa kubadilisha kibao.
Mechi itakuwa kali sana hii leo.siwezi kuchagua timu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu lool.
May the best team win.
hehehehe haya AW, utashangilia mshindi baada ya mechi kuisha. Nawe umejiunga na timu BJ lol! nadhani yeye leo atakuwa na Holland.